GT Hongera Kwa Kutuuzia Share 4000!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GT Hongera Kwa Kutuuzia Share 4000!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steve Dii, Sep 21, 2008.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Game Theory, naandika haya ndani ya kipindi hiki cha global financial crisis, na kwa abstract kama hii ni imani yangu kubwa kuwa hapo ulipo sasa umekakamaa mbele ya screen yako uki-scroll na kubonyeza manamba-namba kwenye BARX level 2 trading platform...

  Nasi huku kwetu kwenye platform yetu ya JF tupo tunaendelea kuuza na kununua sera za vyama na strategies za maendeleo ya nchi yetu. Ma-brokers wetu hapa JF ni wa aina mbali mbali; wengine wana short-sell takwimu za maendeleo, wengine wanauza reserve bonds za vyama, wengine wana trade CFD katika mahusiano na mapenzi, wengine indexes za vyama vyao zimeporomoka na sasa wanahaha kusubiria federal rescue packages, wengine wanasubiria kuyoyoma na hostile takeovers, n.k, n.k..... almradi tu mambo yanaenda.

  Katika kutoa pongezi zangu kwa kutuuzia shares za ujuzi wako kwa bei nafuu kabisa na ya kutupa; nikiamini, kwa niaba ya Wana JF wote, TUNASHUKURU UWEPO WAKO NA MOYO WAKO WA KIZALENDO WENYE DHAMIRA YA KULIKOMBOA TAIFA LETU kupitia hisa zako.

  Hata hivyo pamoja na kwamba tayari tumeshanunua share nyingi kutoka kwako, naamini WanaJF wapo tayari kununua shares nyingine za ziada kwa kiwango chochote utakacho floatisha. Ma hedge fund na majidubwasha mengineyo wewe tuletee tu, hata yale ya inside trading. Na katika kuhakikisha soko huria linaendelea, nina imani uongozi wa JF umekaza boot kuzungurushia uzio "bad debts" zozote zilizokuwepo katika aina za trading zitokeazo hapa ili kulinda maslahi ya members wake na stakeholders wote. Na policy implementation zozote kama zipo naamini ni kwa ajili ya kuhakikisha progressive motto ya JF inatimizwa na dividends zozote ni kwa ajili ya Watanzania na WanaAfrika wote.

  Hongera GT Kwa Mabandiko 4000!! Uzi Ni Ule Ule na tumkome nyani....

  SteveD.
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Sep 21, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hongera GT kwa 4k, nadhani hutachoka kutusaidia kupata equilibrium
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,609
  Trophy Points: 280
  Hongera sana GT kwa michangi yako ya kina na kusimama kidete kupigania haki hapa JF. Jamaa tayari wana budget deficit ya $470 billion wanataka kuongeza deficit kwa $700 billioni na hivyo kuwa na deficit ya $1.170 Trillioni. Mimi yangu macho tu lakini hii bahati nasibu wanayoitaka kuicheza inaweza ikawa mbaya sana. Hongera sana.
   
 4. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  GT,

  Mungu akubariki, hongera kwa Stoki 4k!
   
 5. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hongera GT.
  "Wanaamini kuwa".. "Mti mkubwa kabisa ukianguka porini na hasiwepo mtu wa kuusikia,basi inawezekana kabisa mti huo haukutoa sauti".Sasa GT lazima ili tusikie sauti yako na sisi (tusiovuma lakini tupo) tuwepo ili kusikia sauti ili kupata logic ya hao wanaphilosofia.Kuwa ndg hongera sana.Tunalidhika na mchango wako.
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hiki kichwa lazima nikipongeze sio yule mzee majina mengi AKA dataz man......Big up GT
   
 7. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  GT

  HOngera mkuu. Karibu sana na endelea kuwepo.

  FP
   
 8. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Hongera sana GT
   
 9. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Congrats GT!!!
   
 10. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  GT, wewe ni guru hapa JF, hongera sana mkuu. Mimi napenda sana picha zako maana zinatoa mafundisho mengi. Hongera kwa kufikisha mabandiko 4000.
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  waheshimiwa natoa shukrani zangu za dhati...actually hata mimi nilikuwa sijui nina posts ngapi lakini zaidi ya yote hayo ningependa kuwafahamisha kuwa contrary to what some might believe kuwa mimi ni anti-JF ukweli ni kuwa I LOVE JF SO MUCH that i wouldnt want it to faiil. JF kwangu ni sawa na mke ambaye nimetokanaye mbali na baada ya muda anaanza kutiwa husda na ndugu ili tuachane na mimi siko tayari kutoa talaka japo inaruhusiwa kuwa na wake 4 lakini sioni sababu ya kuoa mke mwingine bila kupata idhini ya huyu wa kwanza ...akisema hapana basi hamna shaka nitatuliza ball kama walivyoimba IKHWAANI SAFAA ..."vipi nimkathwalie ...keja omba samahani"

  On a flip side as much as kuwa hiki chombo kinaenda mbale lakini nadhani ni wazi kuwa tumekuwa na bumps along the way na nadhani tatizo langu ni kuwa I've been abit straight fowards hata kama mtu angekuwa swahiba wangu vipi kumpa ukweli...na hilo limeleta conflict na baadhi ya posters kama ES na MKJJ ambao kusema ukweli nitakuwa mnafiki kama sitokubali michango yao humu...na angle yangu ni kuleta constructive criticism tuuu nothing more...On a flipside nadhani bado JF ina a very long way to go na naamini tutakuwa pamoja kwenye hiyo safari mpaka tunafika kwenye post of destination

  Kama alivyosema mwaandishi mashuhuri wa Uingereza bwana RUDYARD KIPLING kwenye shairi lake la I amalo kuna kipande alisema hivi:

  [​IMG]


  If you can talk with crowds and keep your virtue,
  ' Or walk with Kings - nor lose the common touch,
  if neither foes nor loving friends can hurt you,
  If all men count with you, but none too much;
  If you can fill the unforgiving minute
  With sixty seconds' worth of distance run,
  Yours is the Earth and everything that's in it,
  And - which is more - you'll be a Man, my son!  Asanteni sana waheshimiwa meet you when we make 6,000...*By the way I would like to point out kuwa I dont condone in anyway shape or form expansionist ideals...i only admired him as a poet

  Lastly if not least isa word of advice to JF members:

  Hatuwezi kukaa kwenye comfort zones kuwa JF inaongoza kwenye AGENDA SETTING....if one would have told me this two years ago then i would have believed him lakini sasa hivi tumepoteza mwelekeo. Tunajadili sana ripoti za magazeti kuliko ku break the news kama ilivyokuwa zamani. Tumekuwa tunajadili sana watu badala ya issues (japo kwa wanasiasa you cant separate the two) ukweli ni kuwa sasa hivi all one needs in a computer with a bradband connection kisha akaanzisha blog ambayo anaweza kuset the agenda sasa the only problem is can we really remain in this comfort ? for how long? I had so much faith with MWANAKIJIJI mpaka pale alipoanza kuwa biased and from there akawa in my eyes amelost the plot lakini he still have some room for improvement kwani KLH NEWS ni chombo madhubuti sana. Sasa its been ages sine tumepata exclusives reports toka kule sasa sijui tatizo liko wapi..maybe ziko nyingi sana mpaka hakuna mahala pa kuziweka au flow of data imeziba

  labda mwenyewe anaweza kutufahamisha...lakini ukweli ni kuwa we cant remain like this for long.
   
 12. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Game Theory, Heshima mbele Mkuu, ila sasa game bado linaendelea
   
 13. M

  Masatu JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hey mate, Didnt see this one out. Indeed I hate numbers since my time at school. Look at it, its here again and the counting is 4000! is it true? dont think so.....

  Mkuu GT your postings worth more than 4000 and in monetary terms ( and u know my profession by the way) it worth more than milion dollars!

  Kamekuwa kama kata boo on my side whenever I see anything posted by u haraka nakimbilia kucheck and believe me u neva let me down.

  Kama Bakari Abeid alivyoimba " Mazoea yana taabu tabia zikilingana, tena ni kubwa adhabu......"

  I dont know whether its coincidentally, accidentally, or planned one kuna wakati ulipotea hapa and to me JF was not the same na nilikuwa mzito sana kubofya bofya kwani back in mind nilikuwa nahisi something is missing.... na kweli uliporudi nikaanza kupata ile mzee Wenger anaita "fluid" katika yale mambo yetu ya kule north karibu na watani down the lane.

  Well hilo la eti huitakii mema jf ni wimbo unaoimbwa na siku zote na mzee wa data nothing new ndio maana Abbas Mzee akasema " akufanyae unabaya bora u- mmnyamazieee....."

  Hakuna maneno tosheleza kuelezea michango yako hapa kama tungekuwa na mfumo wa kikada basi wewe upo katika ligi moja na vingunge kwenye top brass...

  Hongera sana kwa milestone 4k and see u in 6k
   
 14. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2008
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Hongera GT. Ninathamini mchango wako ktk JF, hakika umekuwa wenye changamoto nyingi katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya WaTZ.
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hongera sana Masatu Oops Mkuu GT
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  MASATU
  [​IMG]
  sina la nyongeza zaidi ya kusema kuwa AH SANTHUN na ziaid i ya hayo nimeona bora nikupandishe darja kuwa sahiib'l laaari maana meno yako hapo juu ni mazitho sana


  kama wataka nifurahisha basi hebu nifanyie mpango wa website yenye nyimbo wale EGYPTIAN MUSICAL CLUB ya kariakooo
   
 17. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2008
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mkuu GT kwa posts 4000+. Michango yako ni heavy weight hapa jamvini.
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  namkukuru sana Prince kwa post yako ya hongera
   
 19. M

  Masatu JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Majungu hayo.... mzee wa mafix vp Tarime usharudi? au upo south ku monitor masuala ya Mbeki, oops sori utakuwa kwa bob mitaa ya Zim huko...
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Sep 21, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  well, isingekuwa shukrani kwa waliokupongeza bila kurusha madongo kwa the one, mwanakijiji. It tells the story of my life. Ningeshangaa sana kama usingetaja hilo jina. Hongera kwa kuwa so focused juu yangu katika mabandiko yako 4000! Keep up the good work.
   
Loading...