"KUPANGA NI KUCHAGUA" - !~sasa ndio nimemuelewa Mwalimu~! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"KUPANGA NI KUCHAGUA" - !~sasa ndio nimemuelewa Mwalimu~!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Feb 19, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Feb 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Pamoja na ushabiki wangu mkubwa kwa Baba wa Taifa nikiwa mwanafunzi wake nambari moja katika mwamko wa kifikra nimekuwa na matatizo makubwa sana ya kifikra na baadhi ya maamuzi, hatua au mipango aliyochukua au kufanya. Kwamba kwanini kwa mfano, hakuendeleza sekta ya madini kwa kiasi kikubwa na kuamua kusubirri kwa muda mrefu, kwanini aliona ni bora kuwa na chama kimoja mara baada ya uhuru badala ya vyama vingi, kwanini x,y,z

  Nimekuwa nikiamini kuwa kuna mambo ambayo tungeweza kufanya au mengi sana tungeweza kufanya wakati ule ambayo leo yangetufikisha "mbali". Tatizo ni kuwa hatukuyafanya.

  Nikiwa nimetingwa na fikara namna hiyo nikakumbuka kijitabu (pamphlet) yake moja ambayo aliandika kile kitu ambacho baadaye tukawa tumezoea sana nacho kinaitwa "Kupanga ni kuchagua" yaani "To plan is to choose". Nimekipitia tena na humo anaeleza kwa kirefu kwanini hawakuweza kufanya kila kitu kwa wakati mmoja na kulazimika kuweka kipaumbele kutegemea na malengo ya kitaifa na mambo mengine yakiwa deferred baadaye.

  Ninapoangalia jinsi tunavyojaribu kufanya mambo mengi sana kwa wakati mmoja ninajikuta nikishuhudua kuwa kwa wakatimmoja mambo mengi tunajaribu kuyafanya bila tija. Tunabudi kila aina ya mikakati, na miradi lukuki lakini mwisho wa siku tunajikuta kuwa tunafanya kidogo!

  Hapa nikakumbuka kanuni ya diminishing returns ambayo naamini ina apply kwa Tanzania sasa.

  Hoja yangu kwako na swali ambalo unaweza kusaidia kufikiria katika mwanga wa tunachoona kinaendelea nchini sasa katika ujumla wake, unafikiri tumepanga vizuri au tumechagua vizuri au kimojawapo hatujakifanya vizuri? Is in planning that we went amiss or is it in the choosing? Au ni katika kutekeleza kile tulichochagua ndiko kwenye tatizo?

  Lakini sasa nimeelewa kuwa ni lazima tuchague, kwani tukichagua vizuri tutajikuta tumepanga vizuri!
   
  Last edited: Feb 20, 2009
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Feb 19, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Aisee naona wewe na MKJJ mko sayari mbili tofauti kabisa,Mwanakijiji kaanzisha thread so tha we may know where we made mistake, kitu gani kilikuwa lazima tufanye ktk serikali zilizopita na hazikufanya, then from there we can build another new platfrom, another way of thinking-for now and future. Naona MKJJ kakuacha miaka 10 mbele.

  mfano:

  1. Serikali ilitakiwa kubadili mifumo ya elimu, ili kumfanya mtu anayemaliza form six ao form four, awe trainable , au aweze kujiajiri ktika kazi mbali mbali-then from there tukisema wajilipie ghrama ya elimu ya juu, we mean kuwa wafanye kazi na kusoma, sio kuchukuaa fedha za wazazi wao maskini.

  2. Globalisation ; hatukuwa tayari kuingia kwenye globalisation , na mwalimu alipinga kwa nguvu akitoa mifano ya mabondia wawili wenye uzito tofauti, tungekubali ili kuwaridhisha hao jamaa, lakini kivitendo tungehakikisha tuna viwanda, elimu, products ambazo ni competitive worldwide. kama hata pini hatuwezi kuzalisha, then we are not in globalisation-free market world

  3. Kuwatayarisha watanzania waingie karne ya 21, Mwinyi na Mkapa walitakiwa wafanye jitihada kuhakikisha, wanaliingiza taifa kwenye real karne ya 21. Mtanzania asijidanganye kuwa yuko karne ya 21, tumekuwa forced kuingia, sio vazi letu hili, bado tuko karne 17. maana mapinduzi ya viwanda ulaya yalitokea karne ya 18, bado hatuna mapinduzi ya viwanda TZ.

  Prince lee, Anzisha thread yako waaambie watu wakae nyumbani na internet zao wasome tu matangazo! na wapokee hela, wewe unaona hii ni njia nzuri kabisa ya kupata hela-yaani what matters kwako ni kupata hela. Madaktari waacha kuhudumia wagonjwa, mainjinia waacha kazi zao, waalimu mashuleni waaacha kufundisha, majeshi yetu yakae to nyumbani yapate hela free just by having internet.

  So umepata sh.ngapi mkuu? what kind of professional is this?
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mods, kwa nini mnamwachia huyo Prince Lee anaingilia threads kwa hili tangazo lake?
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mpita Njia,

  hata mimi Prince Lee ananikera sana!

  IQ yake iko chini sana!
   
 5. G

  Ghwakukajha Senior Member

  #5
  Feb 19, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  No wonder pia baada ya kufanya hiyo thread hijack,kuna mtu kaja kumpa thanx!Duh,ama kweli wapo wengi...Yaan tukiwasema mafisadi wanachukia...hata tukijiuliza kuwa ni nini tunakosea kwa mustakabali wa taifa letu pia wanachukia.Damn haterz!
   
 6. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  welldone!
  ..Kama anataka kutangaza biashara yake alipie kwa utaratibu unaokubalika. Watu hawaji hapa kupoteza muda kama anavyodhani, mustakabali wa taifa na maisha ya waishio kwenye taifa letu ndiyo mambo yanayojadiliwa hapa. Ustaarabu utumike kuondoa hizo posts zake ikibidi.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Aaaahhggghhrrr

  Namba moja utakuwa weye? hebu acha uchuro aisee
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Feb 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  basi wewe!
   
 9. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mwanakijiji if you really beleive everything you said here which is I don't think so,then Think Twice.

  SAHIBA.
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Feb 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  why wouldn't I? I believe every word.
   
 11. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nop not you,you are smarter than that unless CCM washakutumia mtu utueleze tujue kama ndio unatutoka hivyo. Think Twice.


  SAHIBA.
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,466
  Trophy Points: 280
  Baba wa Taifa Apumzike kwa amani na fikra zake zidumu milele.
  Pamoja na mapungufu yote ya Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, lengo lake lilikuwa zuri. Alitaka Tanzania iwe kama China. Ile kauli ya Ili Tuendelee twahitaji vitu vinne, Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora ilikuwa na pungufu moja la kimaandishi ili theory ya Adam Smith iapply. Land ni Ardhi, Labour ni watu, Capital haikuwepo na Interprenaship ndio Siasa Safi na Uongozi Bora.
  Kosa kubwa la Ujamaa ni kutokubali uwepo wa mtaji kama msingi wa maendeleo. Industrial Revolution ilitengeneza surplus iliyotumika kwa trade na kuzaa capital kubwa zaidi kwa maendeleo.
  Kitendo cha Tanzania kurukia Ujamaa bila mtaji wa kuzalisha viwanda mama, hili ndilo kosa letu kubwa lililotufikisha hapa tulipo na kwa mwendo huu tunaokwenda nao, tutaishia kuwa wapangaji kwenye nchi yetu huku uchumi ukihodhiwa na wageni na Watanzania wachache wenye nacho huku walio wengi wasionacho, watanyang'anywa hata kidogo walichonacho.

  Akitangaza Azimio la Arusha, Nwalimu alisema ingetuchukua miaka 30 kuujenga Ujamaa. Wakati akingatuka alikiri makosa na kusema itatuchukua miaka mingi kuujenga Ujamaa na ndipo akautoa ule msemo maarufu wa 'Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa'
  Awamu zilizofuatia sio zilirekebisha makosa, bali ziliutelekeza kabisa huo Ujamaa na hatimaye kuzikwa naye kaburini japo maneno ya Tanzania ni nchi ya kijamaa bado yako kwenye katiba yetu.
  Mwalimu aliamua tusiwe na haraka kuyachimba madini akiamini ni yetu na yapo wala hayawezi kuhama hivyo alitoa kipaumbele kwa mambo ya haraka ya Umasikini, Ujinga na Maradhi na mengine yote yangefuatia.

  Umuhimu wa mtaji umekuja kukumbukwa kwa kuatract FDC (Foreign Direct Capital) toka kwa the so called investors na sio tukawauzia viwanda vyetu kwa kisingizio cha ubinafsishaji, bali tumewapa bure kwa matumaini ya kujenga sekta imara ya viwanda lakini bado tumecheza pata potea maana hakuna ufufuaji wowote wa viwanda na badala yake, tunaimport kila kitu sasa mpaka nyanya na vitunguu vinatoka nje, huku zile za Lushoto, Makete zinaishia kuoza ama kufikishwa sokoni Kariakoo zikiwa masalo.
  Huu ugonjwa wa Free Market Economy na Globalization ndio umekuja kukomelea misumari ya mwisho kwenye jeneza la viwanda vyetu kwa kufurikisha soko la ndani kwa bidhaa hafifu za bei poa ambapo hata uzalishe bidhaa bora haziwezi shindana bei na hizo imported,
  Mpaka leo, kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu, hivi kilimo cha jembe la mkono kitatutoa kweli?.bila mapinduzi ya kilimo toka jembe la mkono mpaka mechanized agriculture, bado hakuna kitu. Hata hayo hayo mazao ya biashara tunayauza raw badala ya kuyaongezea thamani kwa kuya semi process ama kuyaprocess kabisa tuuze products badala yake tunauza pamba tunaletewa nguo, anaefaidika zaidi ni aliyemalizia na sio mkulima aliyeanza
  Tulitegemea angalau ukombozi utoke sekta madini na utalii, lakini madini ndio hayoo yataishia na utalii Wakenya hao, malipo Nairobi, Tanzania ni kuja kushangaa shangaa tuu.
  Kusema ukweli tulipotoka ni afadhali kuliko tunakokwenda, maisha bora kwa kila Mtanzania ni kwa wenye chama chao na wana mtandao kwa wengine wetu ambao ndio wengi huu ni wimbo utakaohitimishwa 2010 ama tupewe ahadi nyingine ya Maisha Bora bado bado kidogo tuu hapo 2015!.
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Prince Lee BADO HAJAKOMAA KIFIKRA.

  Mwanakijiji SAFI.You have a point hapo.YOU have got something in your head.

  HALLA!
   
 14. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mwkjjj
  tatizo letu kubwa kwa mtazamo wangu ni KUCHAGUA.

  Tunachagua mambo mengi kwa kufanya mambo kwa mazoea. tunahitaji NEW FORMULA ya kuchagua na kutekeleza.

  mfano kwa sasa lazima tungeweka kipaumbele katika kuimarisha uchumi mkubwa unaonyanyua uchumi mdogo.

  mambo ya msingi hapo ni miundo mbinu na elimu kwa ujumla wake.

  sasa angalia tunafanya nini na kwa njia ipi??? DIRA HAMNA!!!!

  hewala bora iendeeee!!!!!!
  we need bold and swift actions kwenye vipaumbele.. mchezo wa kuigiza kwa mfano pale ATCL ni nn?? anu bandarini pale???
   
 15. F

  Felister JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Usijali my genius but help me with this,

  I had been thinking of helping our agriculture sector for past 10 years though not trained in the field I decided to involve my self in releted fields and have been doing number of researches. I at last decided to develop models which still need testing and proper implementation strategies keep in mind that for any project to be viable there should be a political will that is not a problem if the models are right its easy to influence the decision makers. In one of my projects I wanted to involve my profesors into the move kuna shida na hao weupe niligundua nia yao si kuleta mapinduzi nao am trying a different approach. Since we colaborated in many ways into the Ideas if i will give the project document it will be uwizi sipendi kuwa mwizi but I am doing slowly away with them so that I can have my own Ideas and one of it is that which is below. Request I need input from you guys critical analysis hata kama ni kuiponda dont worry is part of the contribution..so that I can fully develop my project and try to find strategies of implementing.

  …………..PROGRAM (General view to the report).


  1. The report is well written and has included all the findings.
  2. In lessons learnt there is one major factor I think is important to make it feature in our report and that is the role of extension staff as I could remember in areas where the extension staff have been fully involved and the staff are capable these were the areas where the adoption rate was high and the diffusion also was to a wider area. And this is seen even in the report as in places where there are institutions involved in agriculture extension places like ……..that’s where farmers were still using the technologies and have even improved from what they received from project. This takes me to my personal perception of the whole issue concerned with agriculture in general in Tanzania which is going to be my 3rd general view.
  3. My perception is farmers in Tanzania to have good results in agriculture have to have long time partnership with extension staff and researchers, working together each learning from the other while extension staff acting as a bridge between the farmers and researchers on which is how it is theoretically supposed to be; the challenge is how could that happen to a population of 80% of farmers in the country be provided with the extension services? The major concern is perhaps the whole issue is going to be more expensive than the expected out put. That made me think critically and came up with a vague concept which really need to be challenged and that’s why I am writing to you privately to see if it fits into the future after this study. In the beginning I thought I would be under your supervision that’s why I hesitated to reveal the Idea before time, I was willing to wait but then the pressure was high for me to go for PhD. Leaving this going back to the issue. These are therefore my views on things to critically study.
  Tanzania has an advantage of its land not being owned by few people privately for that case every family has an advantage that at least if they wish can access land for agricultural activities although this advantage now seem to be of short term as most of the economically powerful people are busy occupying land and conflicts are now starting to be experienced all over the country and especially between livestock and crop farmers. Although most people do not have title deeds to the land the law give them that right and how to get the right under THE LAND ACT, 1999 AND VILLAGE LAND ACT, 1999

  These Acts tell people how the land is to be used, managed and owned throughout mainland Tanzania. What we need to contribute:
  I. Research on how to make land remain accessible to all people and benefit the majority. At this stage I do not see a big problem as the president and the villages have authority over the land in the sphere of influence so incase of any problem we can revoke all the leases. For that case is just a mater of having a right policy on how to utilise this land if for example that land is a common property to all villagers then these people can use their land to alleviate their poverty as its their asset and so instead of every body being engaged into agriculture the village can rent the land to the investors and this is another area to research who should be the investors how should investment be made and so on. (Since there is no free market policy intervention is important to avoid monopolies esp.....)
  II. If the arable land can be rented the rent should be used for village development activities at the same time the investors would be paying taxes to the government the implementation of this also need a research (pareto efficiency and Kicks & Kaldor theories and its application to Tanzania's particularities). Now here is the place of on farm research as far as agriculture is concerned and because the investors would be few then the issues of extension is resolved as not every rural person would be directly involved in extension services.
  III. The rural people who were then participating in agriculture activities most of them would now provide labour to the invested estates in their areas here is another area to research to know as how can this happen without turning the whole business into exploiting these people (modifying the Nyerere’s theories of siasa ni kilimo) but rather making them realise the benefit of their spent time and efforts. In other words turning agriculture into formal employment as you would see they would have double benefit first as the land lords as their land is rented and rent is used for the public development activities i.e education; health and local infrastructure development acticities and as employees as their time and effort being paid for. This will also attract the mass youth who are migrating to urban areas in search of improved livelihoods. Again it would be interesting to research on how these people can contribute to social security bodies i.e pension institutes and health insurances and if contributors are many then these bodies would also cater for the needy such as old, hand caped, orphans and so on. This also is a potential area to research on.
  IV. In conclusion you would see that the three capital as far as sustainable development is concerned is fully utilised such as

  1. Natural capital: Land which will benefit the majority
  2. Human capital: Well informed and economic powerful individuals jointly or with partnership with foreigners (Investors); Agricultural professionals employed as professionals
  Illiterate employed as manual workers
  3. Man made capital: The investment made in the field of agriculture in terms of financial; machineries (Irrigation schemes; tractors etc) and technologies such as seed varieties; mode of cultivation etc

  4. What remains is social capital which is very crucial and now under threat due to poverty, this would develop as time goes as the whole system become stable and benefit realised by every categories of the people. As a result trust would develop between rulers and ruled; the have and have not; the learned and unlearned in the sector of agriculture.

  Conclusion this approach is chosen (Labour intensive approach) as the country's saving ratio is not good enough to justify the capital intensive model for that case the sector would lead into helping the country into better saving for future intensive investiments in the field of minerals and other sectors as you well know the country is resource rich if immediate measures would be taken to rescue the ongoing resource Mis-management and utilization to sustainably support development.

  I don’t know if the idea is viable and fits to our proposal. Since It’s just a private communication now you would see what fits the present need and see how the other concept can be developed into the realities.
   
 16. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #16
  Feb 20, 2009
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni kuwa nchi inaendeshwa kwa style ya "Management by Crisis"
   
 17. M

  MtuKwao Senior Member

  #17
  Feb 20, 2009
  Joined: Oct 7, 2006
  Messages: 190
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Thinking aloud ... you know if you went to a village, right after harvest time and try to convince them them that you have managed to get enough irrigation water to immediately start another crop.. They will probably tell you .. The granaries are full, lets wait the next season, we are not worried! THE ATTITUDE! Low expectations... So we need to cure that first. In other societies this is done by taking everything from them, including land. That way they really come to realize the value of resources, whatever little they may get, as well as value hard work, if they can get it. BRUTAL! We may be blaming extension too much?
  Please include in your proposal to investigate ways to change attitudes!  GREAT IDEA
   
 18. F

  Felister JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
   
 19. Zero

  Zero JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 301
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Katika tu kuendeleza hoja ya Mwanakijiji, ni jana tu nilikuwa nasikiliza hotuba ya Mwalimu wakati anajaribu kuunadi ujamaa kwa watanzania. Kuna jambo moja aliongea na likanigusa sana. Alisema, kupata uhuru halikuwa suala gumu sana. Ilikuwa ni rahisi kuwaunganisha wananchi na wote kwa pamoja wakaweza kudai uhuru. Viongozi wa wakati ule walifanya harakati za kumobilize watu for the common good. And that was uhuru. Matatizo yakaanza baada ya kupata uhuru. Kumbe katika wale wanaharakati katika ngazi zote, kuanzia ngazi ya kijiji mpaka ngazi ya kitaifa, kila mtu alikuwa na lake kichwani. Kila mtu alikuwa akiwaza kwamba atakuwa nani baada ya uhuru. Kila mtu aliwaza kwamba atapewa nafasi gani katika serikali mpya. Kuna wengine waliwaza maduka ya wahindi na vitu vingine vya aina hiyo. Baada ya uhuru, kweli kuna waliopata nafasi na kuna waliokosa. Watu wakaanza kujifanyia mambo bila mpangilio. Muelekeo wa nchi ukawa haueleweki kwa ujumla.

  Ujamaa ulikuja kama sera mpya ya kuwaunganisha watu for the common good. Sera ilikuwa ni kuwaunganisha watanzania, wazalishe pamoja na kufaidi matunda ya ujamaa pamoja. Nchi isiwe na wenye nacho na wasionacho. Nchi iwe na muelekeo mmoja kwenye common good. Sasa ndio naanza na mimi kumuelewa.

  Sasa nimeelewa na mimi.
   
 20. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
   
Loading...