Ziara ya Katibu Umoja wa Mataifa - Zanzibar

Watawala wa Zanzibar waliungana na Tanganyika then wakadhani wamepata! kumbe wamepatikana.
Watalia na kusaga meno maisha wakijutia nafasi waliyoitupa. (majuto mjukuu)
Nakulilia Zanzibar.
Thanx kwa link mkuu
 
1. Kama sii Muungano hakuna ushahidi Visiwani wangekuwapo mbali zaidi kimaendeleo..huenda wangeuana wenyewe kwa wenyewe! Angalia ya Comoro kwa sasa..je wana afadhali leo hii??

2. Hoja kubwa inatolewa ni Visiwani kutopata msaada toka nje kama IOC n.k je ni wapi uliambiwa misaada ndo chanzo cha maendeleo?

Watu wachape tu kazi ktk Muungano..hakuna mtu aliyemzuia Mzanzibar kufanikiwa kama anachapa kazi..yuko huru kama eneo ni dogo kwenda hata Mtwara kwa uhuru tu!
 
Mzalendohalisi, kunakofukuta ama kunakotoa moshi ujue kuna moto. Na huwezi kufagia uchafu ukausukuma chini ya zulia, kuna siku utakuumbua tu. Suala ni kuwa malalamiko haya toka kwa wananchi ni lazima yafanyiwe kazi, muungano ni wa Wananchi na si Viongozi. Haya malalamiko yako toka zamani. Ni sawa na sasa hivi tunakoelekea kuwa na shirikisho la Afrika Mashariki, wananchi wako makini kuliongelea hilo, haiwezekani viongozi watuamulie sisi wananchi. Hivyo masuala ya Muungano wetu yana haki kusikilizwa siku hadi siku, na ifikie wakati wananchi tuulizwe tunautaka Muungano, na kama tunautaka uwe wa vipi?.
 
1. Kama sii Muungano hakuna ushahidi Visiwani wangekuwapo mbali zaidi kimaendeleo..huenda wangeuana wenyewe kwa wenyewe! Angalia ya Comoro kwa sasa..je wana afadhali leo hii??

2. Hoja kubwa inatolewa ni Visiwani kutopata msaada toka nje kama IOC n.k je ni wapi uliambiwa misaada ndo chanzo cha maendeleo?

Watu wachape tu kazi ktk Muungano..hakuna mtu aliyemzuia Mzanzibar kufanikiwa kama anachapa kazi..yuko huru kama eneo ni dogo kwenda hata Mtwara kwa uhuru tu!

Kwani wanaouwana ni wa visiwani tu mbona Rwanda, Burundi, Congo na kwengineko wanauwana? Au nmbona hao wazenji wanauliwa hawauwani wenyewe kwa wenyewe hivi sasa?
 
1. Kama sii Muungano hakuna ushahidi Visiwani wangekuwapo mbali zaidi kimaendeleo..huenda wangeuana wenyewe kwa wenyewe! Angalia ya Comoro kwa sasa..je wana afadhali leo hii??

2. Hoja kubwa inatolewa ni Visiwani kutopata msaada toka nje kama IOC n.k je ni wapi uliambiwa misaada ndo chanzo cha maendeleo?

Watu wachape tu kazi ktk Muungano..hakuna mtu aliyemzuia Mzanzibar kufanikiwa kama anachapa kazi..yuko huru kama eneo ni dogo kwenda hata Mtwara kwa uhuru tu!

Hiyo ndio imani yako kuwa Wazenj wanauwana wenyewe kwa wenyewe? Wazanzibari hawajapata kuuwana huko nyuma na hata haya matokeo ya karibuni hali ndio hiyo hiyo. Soma Historia na fika visiwani ujue ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom