Ubabe wa Wenye Pesa Wajitokeza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubabe wa Wenye Pesa Wajitokeza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makaayamawe, Mar 23, 2009.

 1. Makaayamawe

  Makaayamawe JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sikumbuki kuwaona hawa wenzetu wakishiriki jeshi la ulinzi au angalau kwenye upolisi. Lakini wametawala nchi kiuchumi kiasi cha kupata kiburi cha kubadili hata majina ya mitaa bila kujali wazawa watakuwa na hisia gani. Angalia picha hapo chini;

   
Loading...