Mwinyi Sadallah
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inatarajia kutumia Sh. bilioni 412.6 katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2009/2010.
Akitangaza mwelekeo wa bajeti, Waziri wa Nchi...
Jamani nasikitika kwa kusema nchi yetu haina uongozi coz umejaa rushwa na ubinafsi, Kwa nini nasema hivyo:
1. Hivi uliona nchi gani shirika limebinafishwa lakini linapewa pesa na serikali, Mfano...
2009-06-17 08:18:00
MP protests Sh35bn for top officials' trip
By Damas Kanyabwoya, Dodoma
THE CITIZEN
An MP yesterday challenged the allocation of a whopping Sh34.6 billion in the...
Waziri wa fedha ameshindwa kuyafutia makampuni ya mafuta ushuru kwa kigezo cha kwamba mkataba unawabana, lakini nionavyo mimi ni kulinda maslahi yao, kwani kiukweli wao ndio wamiliki wa hayo...
Wana JK
Hotuba za Waheshiwa Raisi wa JMK na mawaziri wa fedha na kilimo walizozitoa hivi karibuni bungeni zinaonyesha kuwa serikali ina mpango wa kukitilia mkazo kilimo, TENA. Hili ni jambo...
Jamani wana JF mimi hili linaniumiza kichwa kila siku hivi kweli ni nini kinashindikana kwa serikali kuamua kuyauza magari yote ambayo yanaliingiza hasara taifa na kubakiza gari moja kila idara la...
Mapinduzi yana sura mbili:ama kutumia majeshi au kuunda serikali mbadala).
Je Tanzania tunahitaji ipi kati ya aina hizo.
LABDA NIDOKEZE MAHITAJIO YA KUFANIKISHA AINA YOYOTE YA MAPINDUZI...
Mbunge Shibuda alishutumu baraza la Mawaziri kwa kubariki ufisadiMbunge John Shibuda (CCM) naye ameungana na wabunge wengine kushutumu Baraza la Mawaziri kubariki ufisadi nchini.* Ahoji uzalendo...
Serikali yapata hasara 93bn/- barabara ya Dodoma- Manyoni
Na Mwandishi wetu
16th June 2009
Barabara ya Dodoma- Singida.
Serikali imepata hasara ya zaidi ya Sh. bilioni 93.4 kutokana na...
It seems everybody can see this coming except our visionary President
EPA Two 'coming'
Adam Lusekelo, 16th June 2009 @ 11:20, Total Comments: 0, Hits: 68
I've heard about the stimulus package...
WATANZANIA tulijitolea kwa hali na mali kuwasaia ndugu zetu wa Zimbabwe wakati wa vita vya ukombozi, lakini kwa sabubu moja au nyngine hivi leo wakati wanahitaji tena msaada wetu wa hali na mali...
Msafara wa Pinda wazua jambo Iringa
Atumia ndege mbili ikiwamo ya kukodi
na Francis Godwin, Iringa
ZIARA ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, mkoani Iringa imezua maswali mengi kuliko majibu...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Amatus Liyumba, amekwaa kisiki tena mahakamani baada ya serikali kushinda rufani dhidi ya uamuzi wa Hakimu...
Bilal Abdul-Aziz
The opposition camp in Parliament yesterday unveiled a 10.27trn/- alternative budget for the 2009/10 financial year, allocating a hefty share of the resources to four key...
Wana JF, mbunge wa Nzega leo ametoa kauli kali pale aliposema kuwa serikali inatumia pesa bila idhini ya bunge na pia kuwashutumu mawaziri kuwa wana hila na hawana nia njema na wabunge
Katoa...
Eti Mrema amepata vijana wa kumrithi? swali amemfundisha nani, kuna mtu yeyote anayeweza kusimama hadharani kwamba amemjenga?
Zaidi ya kuona wenzao wa CHADEMA wameweza!
Mrema kustaafu siasa
na...
Wachimbi wanaendelea kumjadili yule askofu aliyeondolewa kule Same ambako inaelekea ni eneo maarufu kwa mitafaruku ya kidini.
---
Makala ya Tanzania Daima
Website hii: Jacob Koda sasa ni askofu...