EPA Two 'coming' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EPA Two 'coming'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alpha, Jun 17, 2009.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  It seems everybody can see this coming except our visionary President

   
 2. G

  Gashle Senior Member

  #2
  Jun 17, 2009
  Joined: Mar 30, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Maskini Tanzania, may the Lord have mercy on this country. Sometimes I can't help but think that si bure, kuna kitu kimetupitia kwenye akili zetu. The worst part of it is continuation of the same stupid song "Tanzania nchi ya amani". Wake up guys, peace does not mean only absence of wars, peace means justice and righteousness prevailing in the society.

  Sijui ni nani wa kuiponya nchi hii!!!!
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Serikali la muozo...hovyo kama nini. Kazi yake ni kuwaza jinsi ya kubaki katika utawala badala ya kusaidia wananchi.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Uozo huu hauhitaji elimu kutambua kuwa hatuna viongozi makini, ni aibu kuwa, hata wale waliopo mijini ambapo taarifa kwa njia ya magazeti, redio, luninga, internet n.k zinawafikia, lakini watawapa watu wale wale kura katika uchaguzi ujao.

  Inanikatisha tamaa!!!, inauma kuona serikali inaweka mikakati ya kushinda uchaguzi,serikali inachukua nafasi ya chama - serikali inatengeneza bajeti ya kushinda badala ya bajeti ya maendeleo ya wananchi.

  ashakhum si matusi, lakini wangelitokea watu wenye nia dhabiti ya kuondoa mbegu hii ya utawala, kwa njia iwayo yote wengi wetu tutawapa kumbato and a pat on the sholder!!
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tanzania kuna wapiga kura zaidi ya mil 11 waliojiandikisha. Nadhani miji yote mikubwa ikiwekwa pamoja haifikii hata nusu ya hawa. Wanaotoka kupiga kura siku za uchaguzi sina uhakika ni wangapi. Lakini the point ni kwamba kura ziko vijijini. Na ndo huko watu wengi hawaoni ujinga unaondelea.
   
 6. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  This man Lusekelo has spoken it all!

  Huu ndio ulikuwa mtazamo wangu binafsi tangia siku ile JK amewahutubia wazee pale Kilimani Dodoma na kutangaza Stimulus Package kwa vyama vya ushirika na wakulima waliopata hasara kutokana na mparanganyiko wa uchumi!

  Hii Stimulus Package is nothing but a clear venue kwa culprits wa CCM kujiandaa kwa ajili ya kununua madaraka in the coming 2010 elections!

  Nasema hii package ni EPA phase 2 kwa kuwa hakuna takwimu ambazo zipo publicly known kuonyesha makampuni yetu jinsi yanavyoperfom, financial results zao zinafichwa sana na hivyo vyama vya ushirika ndo kabisa.....hatujui ufanisi wao ulikuwa vipi hapo nyuma na leo kustahili kupewa bail out eti kwa sababu ya mparangayiko wa uchumi?.....hainiingii akilini kabisa!

  Hapo ndipo itabidi tuwe makini sana na hii ndio modality watakayoitumia kuchota hayo mahela....form fake companies get money reward CCM then filisika......!

  Our time is now ni rahisi kuzuia kupotea kwa pesa kuliko kurecover hela za watanzania zilizopotea......angalia ngonjera za EPA, twin towers etc! So wapenda nchi hii tusimame kidete kutetea pesa ya walalahoi wa Tanzania!
   
 7. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2009
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika muda wa kuwajaza watu mapesa ready for 2010 umefika. Sitaki ila inanibidi kuamini kwamba mabo yalivyo ndivyo yalivyokuwa hapo nyuma. CCM imeamua sasa kukimbilia mahala ambapo uelewa wa mambo uko katika 'infancy.' Vijijini...

  Mungu Ibariki Tanzania!!!
   
Loading...