Kutofutia misamaha ya Kodi makampuni ya mafuta, ni kuendeleza Ufisadi!

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,391
4,055
Waziri wa fedha ameshindwa kuyafutia makampuni ya mafuta ushuru kwa kigezo cha kwamba mkataba unawabana, lakini nionavyo mimi ni kulinda maslahi yao, kwani kiukweli wao ndio wamiliki wa hayo makampuni, na kama sio mojakwa moja, lakini kwa kupitia mafisadi wenzao.

Pili hilo jambo linakwenda kinyume na fair trading kwani atakayewekeza sasa hatapata hiyo misamaha ya kodi
 
Ndugu zangu watanzania uwe wa CCm au wa Upande Mwingine, leo ningependa kueleza masikitiko yangu kwa muendelezo wa wizi wanaofanyiwa watanzania kupitia hii misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini, kwa kile mafisadi wanachodai kwamba sheria haiwaruhusu kuwafutia lodi ya mafuta.

Huo ni uongo kwani kinacho ongoza nchi ni sheria za nchi na sheria za kodi, na kama mkataba ukionekana unakwenda kinyume na sheria kuu, na basic principle za uendeshaji biashara basi mkataba huo ni batili, lakini kwa kuwa wahusika wengi wanaotengeneza hiyo miswada ya sheria iwe sheria kuu, sheria za kodi na mikataba yenyewe ni mafisadi, ndio maana leo hii kwa kupitia hiyo hiyo mikataba, leo hii wanataka kutuaminisha ya kwamba kitu hicho hakiwezekani (Kufuta hiyo Misamaha ya Kodi).

Pili kanuni za biashara zinataka watu wote waendeshe biashara katika hali sawa. Je leo hii wachimbaji wapya wakija itakuaje? Maana wao tumeambiwa hawatapewa misama wakati mwingine ana msama wa kodi, haki itakuwa wapi?

Hivyo naomba watanzania wote iwe ni mbunge, diwani, mtu wa kawaida nk tupinge wizi huu.
 
2009-06-15
Fresh storm over tax 'negotiations'

  • Chief Executive Officer of mining conglomerate Barrick Gold Tanzania, By Orton Kiishweko

THE CITIZEN

The Government's decision to negotiate with mining companies operating in the country before revoking the tax exemptions they enjoy has provoked widespread backlash.

Some politicians and economic analysts have accused the Government of "bowing to pressure" from multinational mining companies at the expense of the country.

In interviews with The Citizen, most critics dismissed the crackdown on tax havens announced on last Thursday by Finance and Economic Affairs minister Mustafa Mkulo in his 2009/10 Budget speech as a insignificant.

Mr Mkulo said existing mining companies would not be affected by the new tax policy, to be effective from July 1, this year.

He told parliament the Government would first negotiate with the mostly multinational companies, which have reportedly caused the country an estimated Sh181 billion loss in potential revenue in the past four years.

But Kigoma North legislator Kabwe Zitto (Chadema), who was part of a mining committee that proposed the removal of tax exemptions on mining firms, said the Government's decision was a sign "it is succumbing to the whims of mining companies".

"It doesn't make any sense at all for the Government to say it will negotiate with these mining companies. Does it want to ask them first whether or not they will accept the removal of exemptions?" he queried.

Several reports by local and international research institutions have often accused large mining corporations of ripping the country off through evading tax while contributing a little to economic development.

Mining, which at 10 per cent annual growth is the fastest growing sector in Tanzania accounting for about 40 per cent of the country's exports, only contributes about 3.5 per cent to the Gross Domestic Product (GDP).

The sector has attracted 74 per cent of the country's direct foreign investment, and this has been partly due to the tax exemptions, which have made the business very profitable for the investors, but at the expense of the country.

Mr Zitto, who was a member of the Bomani Mining Review Committee that proposed a major review of taxation laws in the sector last year, said there was no need to shield the mining companies from the crackdown since the tax exemptions were not legally binding.

"These exemptions were announced after most of the companies had already signed their contracts, as such they are not part of the agreements," he said.

He added: "This whole idea is protecting the mining companies while at the same time undermining the country's independence."


According to the MP, the exemptions were effective from October 15, 2005, through Government Notice number 22. Since then, the mining companies are exempted from paying tax on petrol products for a period of 25 years.

But the Chief Executive Officer of mining conglomerate Barrick Gold Tanzania, Mr Deo Mwanyika, said the investors had legally binding contracts with the Government, which prohibited one part from making any changes without mutual consent.

"We all have different agreements, signed at different times, therefore, one has to read the contracts carefully and understand what they say," he told The Citizen yesterday.

"Even for those companies that signed their contracts before the announcement of tax exemptions, there are some clauses added to their contracts, which also call for negotiations and mutual consent on any changes," he said.

Last year, the Bomani committee advised the Government to overhaul the taxation laws governing the mining sector.

But its report urged negotiations with mining companies already operating in the country to persuade them into agreeing with the revised policy.

The committee, chaired by Judge Mark Bomani, proposed changes that included enacting a new policy that reserved mining of gemstones to local people only and abolished tax exemptions on imported fuel and other mining equipment.

Judge Bomani also advised the Government that the process to cut tax exemptions should be conducted through negotiations with the firms.

But Mr Zitto said yesterday the Government had shown "a sign of weakness" by allowing the investors to enjoy the exemptions and trying to persuade them to agree with its decisions.

"Why didn't the Government negotiate with religious leaders first before reaching the decision to lift the exemptions they were enjoying?" he queried.

Echoing that, Dr Prosper Ngowi, a researcher at Mzumbe University, said the Government was under no obligation to negotiate with mining companies.

"There was no reason, in the first place, to exempt profit-making organisations from paying taxes," he said.

"Negotiating with the companies will raise questions on who controls the other between the Government and mining companies. It's not for the investors to make the rules and regulations."


Dr Ngowi said if the Government wanted to consult on the issue of tax exemptions, it was supposed to so with all affected institutions, including religious organisations and local business people.

A University of Dar es Salaam (UDSM) economics lecturer, Dr Lenny Kasonga, said despite Mr Mkulo's remarks in parliament, the Government?s position on mining tax exemptions was still "ambiguous".

"It is just a promise whose outcome noone knows. You can never be certain about what comes out of the negotiations," he said.

But Dr Kasonga said the Government should not allow the country to lose billions of shillings each year as a result of tax exemptions, which were being abused by foreign mining investors.

Last year, the Parliamentary Committee on Energy also accused multinational mining firms operating in Tanzania of not complying with some sections of the Income Tax Act 2004.

During discussions on the Bomani report, the chairman of the parliamentary committee, Mr William Shellukindo, said some large mining firms were behaving as though they were above the laws of the country.

Meanwhile, Mr Zitto has urged the Government to revoke its decision to scrap the Value Added Tax (VAT) exemptions on religious organisations.

He said the move would not make any significant contribution to the Government's revenue collections but adversely affect ordinary people who are the beneficiaries of religious organisations' charity work.

The opposition lawmaker said the Government should have withdrawn the exemptions only from religious organisations found abusing them.
 
Ndugu zangu watanzania uwe wa CCm au wa Upande Mwingine, leo ningependa kueleza masikitiko yangu kwa muendelezo wa wizi wanaofanyiwa watanzania kupitia hii misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini, kwa kile mafisadi wanachodai kwamba sheria haiwaruhusu kuwafutia lodi ya mafuta.

Huo ni uongo kwani kinacho ongoza nchi ni sheria za nchi na sheria za kodi, na kama mkataba ukionekana unakwenda kinyume na sheria kuu, na basic principle za uendeshaji biashara basi mkataba huo ni batili, lakini kwa kuwa wahusika wengi wanaotengeneza hiyo miswada ya sheria iwe sheria kuu, sheria za kodi na mikataba yenyewe ni mafisadi, ndio maana leo hii kwa kupitia hiyo hiyo mikataba, leo hii wanataka kutuaminisha ya kwamba kitu hicho hakiwezekani (Kufuta hiyo Misamaha ya Kodi).

Pili kanuni za biashara zinataka watu wote waendeshe biashara katika hali sawa. Je leo hii wachimbaji wapya wakija itakuaje? Maana wao tumeambiwa hawatapewa misama wakati mwingine ana msama wa kodi, haki itakuwa wapi?

Hivyo naomba watanzania wote iwe ni mbunge, diwani, mtu wa kawaida nk tupinge wizi huu.
 
Pili kanuni za biashara zinataka watu wote waendeshe biashara katika hali sawa. Je leo hii wachimbaji wapya wakija itakuaje? Maana wao tumeambiwa hawatapewa misama wakati mwingine ana msama wa kodi, haki itakuwa wapi?

Mbona tumeisha zungumza mengi jamani kwa nini nchi isipate viongozi wapya kama viongozi wa sasa wanaendeleza wizi wa wazi?
 
Mbona tumeisha zungumza mengi jamani kwa nini nchi isipate viongozi wapya kama viongozi wa sasa wanaendeleza wizi wa wazi?
itabidi tuwasiliane muda ukifika kwa ajili ya 2010, ngoja nianze kuchanga hela za kampeni
 
Dr. Slaa amewaambia Serkali Bailout ni kiini macho.

Inatakiwa hiyo stimulus package ijadiliwe na Bunge kwanza ndipo ipitishwe. Kama walivyofanya USA.

Pia Makampuni yakaguliwe kwanza na yatangazwe Mufilisi ndipo serikali iwape pesa za bailout vinginevyo hiyo ni kiini macho na ni dalili za EPA number 2.

Serikali iingie ubie na hayo makampuni na serikali iweke mkono wake kama vile management mpya.
 
Kwa Ukulupukaji wa serikali yetu sita shangaa kusikia vigezo vilivyo fuatwa na nchi zilizo endelea havitafuatwa hapa na baadaye itakuwa EPA au Richmond nyingine. Kumbukeni mwakani kuna uchaguzi na C.C.M lazima watafute pesha za kuwawezesha kushinda kwa kishindo. Hizo pesa kimaandishi zinaweza kwenda kwa makampuni na kurudi mlango wa nyuma kwa vyama au makundi fulani ya watu. Pesa hizo zitakopeswa makampuni na zitarudi kwa njia au utaratibu gani na nani atakuwa msimamizi wake?. Maswali hayo na mengine kama hayo lazima yajibiwe kabla ya mpango huo kuanza. Kuna pesa za Import support bado tunahangaika nazo mpaka leo na hazija rudi, hizi je?. Ni vizuri wadau tukaibana selikali kutoa majibu ya maswali yote kabla ya mpango huu kuanza, kumbukeni hizi ni pesa za walipakodi na kama ni msaada toka nje tutaulipa kwa namna furani kwani dunia hii hakuna kitu cha bure(or No free lunch).
 
Jamani tungekuwa na kina slaa 20 bungeni aisee bunge lingekuwa so hot....lakini wapi bwana wanazimwa kama moto wa kijanjani....inasikitisha wabunge wakikosa hata uzalendo kuipenda nchi yao....sijui wanategemea nini.....kufikiria kupiga tu.
 
1. Naungana na Dr. Slaa ana nia nzuri sana?

2. Lakini namuuliza kuna wabunge wangapi wenye uwezo wakujadili hiyo bailout?

3. Nadhani wakati mwingine tukubali yaliyotokea yametokea, hoja yake iwe kwamba kuwe na kikao kingine kitakachojadili mchakato wa implementation ya bailout.
4. Wakikataa kujadili kuweni makini kwenye implementation maana wakiboronga watakuwa wamejichimbia kaburi
 
Mkuu August,

Tanzania haina viongozi, waziri mzima anatoa misamaha ya kodi kwa watu wanaokuja kuchuma, inashangaza.

Fikiria tunatoa misamaha ya kodi kwenye mafuta ya kula yanayodaiwa kuwa malighafi wakati mafuta hayo hayo yanazalishwa na wananchi masikini ambao serikali ilitakiwa kuwawekea viwanda vya kuyasafisha kuyaongezea thamani ili wayauza nje na kuwaondoa wananchi hawa kwenye umasikini, lakini bado tunaendelea kuwabeba matajiri wezi, inauma sana.

Nchi ndogo kama Malawi wanatushinda katika kufikiri na maamuzi yao. Kwa mfano hivi karibuni wamezindua mgodi wao wa uranium eneo la Karonga mpakani na Tanzania kwa wilaya za Kyela na Ileje, katika mkataba wao Malawi itapata mrahaba wa asilimia 25, watakuwa na hisa asilimia 15 na kampuni inayochimba italipa kodi zote stahili.

Mgodi huo pekee utachangia katika GDP ya nchi hiyo asilimia 10 na kwenye export utachangia asilimia ishirini 20, wakati hapa kwetu tunaelezwa kuwa madini yanachangia hardly five percent.

Lakini hebu angalia CV za Rais wao pamoja na Waziri wake wa fedha, utapenda ni watu wenye upeo mkubwa sio hapa kwetu ambako tuadai kuwa eti uwaziri hausomewi, jee uwezo wa Rais na maziri nao sio mhimu kweli?

Nchi haina mwenyewe, siku wakijitokeza wenyewe patawaka moto.
 
watanzania tuamke jamani tutazidi kuibiwa mpaka lini?wasomi wetu wako wapi maana wao ndio chachu ya mabadiliko katika jamii yoyote ile duniani.
 
watanzania tuamke jamani tutazidi kuibiwa mpaka lini?wasomi wetu wako wapi maana wao ndio chachu ya mabadiliko katika jamii yoyote ile duniani.


Wasomi wako busy wanatunga EPA zingine huko, wakirudi utasikia!!!!
 
Back
Top Bottom