Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bandugu, nimesoma hii habari kwa mshangao mkubwa, pengine ni 'ignorance' yangu kuhusu umuhimu wa viwanja vya ndege. Lakini mshangao wangu ni hapa ambapo tunalipa watu wa Kipawa kupisha upanuzi wa...
0 Reactions
69 Replies
10K Views
Kikwete amka au unakwenda na maji TATIZO la rais wetu mpendwa ni kujisahau na kuwaachia maofisa wa Ikulu kuendesha nchi. Inaeleweka tena sana kuwa ni aina ya watu gani tuliokuwa nao pale...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MAKAMBA ADAI MAKADA WANALIPWA NA MAFISADI na Hellen Ngoromera MASHAMBULIZI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu udhaifu wake wa uongozi, yameleta sokomoko...
0 Reactions
130 Replies
13K Views
Wakuu Nimeona ni vema niwaletee swali la Msingi la Mhonga Said (MB) VIti Maalum CHADEMA alilouliza kwenye Bunge Nov 4 Mwaka huu. Akitaka kufahamu yafuatayo na Jibu alilopewa na Waziri. Jamani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimelazimika kujibu makala ya ANSBERT NGURUMO nikiamini kwamba kama ilivyo kwa binadamu wote akiwemo NGURUMO mwenyewe wana mapungufu ya kibinadamu. Msingi wa mapungufu haya ndiyo hatua muhimu ya...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wasomi waamua kumuanika Makamba Thobias Mwanakatwe Mtandao wa Wasomi na Wataalam Mkoa wa Mbeya, umemshambulia Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba na kumuonya kuacha kuingiza porojo na utani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wiki chache zilizopita nilitakiwa nitoe taarifa wazazi wangu walizaliwa lini na wapi. Nikataja mwaka na kwamba walizaliwa Tanzania. Jamaa akaniuliza nina uhakika mara tatu na mimi kwa kujiamini...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TBC Taifa saa 2 usiku, IPTL imezima mitambo 6 kati ya saba iliyokuwa ikifanya kazi kwa ukosefu wa mafuta mazito ya kuiendesha. Lakini kuna utata kwani bwana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
3rd December 09 Muhibu Said Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), ‘amerushiwa kombora’ jipya, akituhumiwa kumwaga fedha na simu za mkononi kwa wananchi jimboni humo, zikidaiwa kuwa ni sehemu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
We can take a story of Kalumekenge as a system of accountability in any government system. The story is as follows: Once upon time Kalumekenge alikataa kwenda shule. Fimbo ikaambiwa imchape...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
YAONYESHA MBOWE, NDESAMBURO WANAKIDAI CHAMA SH53 MILIONI Fidelis Butahe CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) kimesema kwamba kama kuna mtu mwenye ushahidi kuwa kuna baadhi ya...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
By Chambi Chachage It is Norwegian interests in the island's strategic location and offshore oil deposits that are behind Norway's recent flurry of engagement in Zanzibar's local politics and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KASHFA KAMPUNI YA RELI: WATANZANIA NDIO WAKUOMBWA RADHI Taarifa inatolewa kwa umma kupitia kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa ya CHADEMA kufuatia kauli...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Makamba katamka Kikwete ni Mtaji wa CCM, ni CCM ipi Makamba anaizungumzia? Je ni nani mmiliki wa CCM aliyetupa Mtaji Kikwete na ni nani mvuna Faida ya Mtaji Kikwete? Je ni Mafisadi ambao ndio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
na Edward Kinabo na Janet Josiah CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameshiriki moja kwa moja kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hakika , hakika, CCM ni vicheko na ndelemo, kile walichotegemea sasa chatimia, walijua kuwa upinzania nguvu yao ni ndogo ni kelele za chura. Ni kweli wapinzani walifanikiwa kuwashika pabaya ila...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf nachukua fursa kumkaribisha mama yetu hapa Tarime kwani nimeona anaweza kufanya kila kinachowezekana kulitwaa jimbo hili mikononi mwa CHADEMA. Nimeamua kulisema hili kwani...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Gold keeps on surging, hits new high of $1,118 By SARA LEPRO, AP Business Writer Sara Lepro, Ap Business Writer – Wed Nov 11, 1:19 pm ET NEW YORK – The price of gold surged to a...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Baada ya Kafulila kuondoka chamani kwenda kwenye NCCR Mageuzi ambayo Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe aliwahi kukitaja humu kwamba kilipewa fedha za EPA kuhujumu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi majuzi nilikwenda kuomba kazi katika gazeti moja jipya ambalo ofisi zake ziko kwenye ghrofa linalomilikiwa kwa sasa na NSSF. Karibu kila korido ilikuwa na harufu mbaya na kali ya kinyesi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom