Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

wana jamii mimi nina wazo kuwa ianzishwe safu inayoitwa "kuelekea uchaguzi mkuu 2010" ndani ya JF ili tuwe tunapashana yatakayojili,ni kina nani wanajiandaa kugombea ubunge na urais.asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali ya mambo ilivyo hapa Nchini Tanzania haina tofauti sana wakati Wanyarwanda wanaelekea kwenye mauaji ya Kimbari. wakati huo kwa kutumia vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havikemewi na wenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama dalili zinazoendelea zitakuwa ni zile zile zinazotarajiwa basi gazeti la Raia Mwema na Dr. Slaa wameanza kumulikwa kwa kurunzi kali zaidi. Raia Mwema kwa kuanza kuchukua nafasi ya magazeti...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Wapo wanaosema tunahitaji utawala bora. Wengine wanadai tunahitaji viongozi bora. Wote wanasahau hitaji kuu la Tanzania na Watanzania. Watanzania wanahitaji msukumo. Wanahitaji kutiwa moyo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Sera hii iliyoshikiwa bango na CCM ndio ninayotaka kuijadili hapa kwa nia ya kuonyesha jinsi inavyohitaji umakini mkubwa katika kuitekeleza. Yakifanyika makosa, nchi itaingia matatani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri Maghembe umetangazia umma kuwa Mtihani wa darasa la Saba uliorudiwa katika baadhi za shule msingi za Dar es Salaam, Arusha na Kilimanjaro haukuwa wa marudio bali ulikuwa ni kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu, mimi napenda kuuliza kama EWURA, yaani mamalaka ya kudhibiti matumizi ya maji na nishati, ni shirika la binafsi au liko chini ya serikali. hii ni kwa sababu ya taarifa fulani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Habari za mchana?. Pamoja na upya wangu katika JF, nimevutiwa kupita kiasi na JF inavyoendeshwa na jinsi wakuu mnavyochangia. Mtoto, Next LeveL, Original Pastor--Hongereni sana. Bila...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Spika Sitta,Waziri MKuu Pinda watofautiana kuhusu TAKUKURU Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Mbunge Silaju Kaboyonga na Spika Samweli Sitta wakijadili jambo nje ya Bunge jana Mjini...
0 Reactions
368 Replies
39K Views
Alipewa nafasi ya kujitetea, akatumia kujiuzulu Angejiuzulu kabla ya Kamati Teule kuundwa, angekuwa shujaa Wanaoamini kaonewa hawajui "natural justice"! Kuna baadhi ya watu ambao wanaamini...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Kuna mwanachama kaja hapa na kubeza kazi ya Slaa na kusema yeye mwenyewe katangaza kwamba hajapata serikali ya mtaa hata moja kwenye jimbo lake . Habari hizi ni za uongo mkubwa . Mimi naongea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ipo mikakati mingi sana inayofanywa na Serikali ya CCM, Usalama wa Taifa, pamoja na jeshi la ulinzi, ili kuweza kudhoofisha nguvu ya chadema Tanzania. Huku CCM ikitumia mfumo wa Usalama wa Taifa...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Geza Ulole Kuna baadhi yetu wakati tunakuwa (growing up) tulisikia sana neno Geza Ulole, hata wakati mwingine tuliweza kuimba mashuleni kuhusu Geza ulole, baadhi yetu hatukuelewa maana halisi...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Mganga wa jadi awania kiti cha Rostam ubunge jimbo la Igunga Nora Damian na Ellen Manyangu, Date::11/5/2009 MGANGA mmoja wa jadi, ametangaza azma ya kuwania ubunge katika Jimbo la Igunga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati vumbi la posho mbili kwa kazi moja halijatua sasa limeibuka tena suala la watumishi wa serikali kulipwa pensheni mbili Serikalini na kwenye Chama! Taarifa za uhakika zinataja orodha ndefu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
No compromise with PCCB - Sitta THE Speaker of the National Assembly, Samwel Sitta, has asserted that no compromise has been reached with the Prevention and Combating of Corruption Bureau...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu moja kati ya mambo ambayo bado hatujafikia kukubaliana humu dani ni kama EL amefutwa kabisa kwenye siasa za Tanzania au kuna uwezekano kuwa ni mbogo aliyejeruhiwa tu, ambaye akirudi kutakuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah ofisini kwake mjini Dodoma...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
JF Siasa ni jukwaa ambalo limekuwa na wapenzi wengi wenye upeo mkubwa sana wa kuona mbali ..na wenye ushauri wenye hekima unaozama ndani sana na kwa kina kabisa ambao wahusika wakitekeleza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…