Zanzibar wants its own currency?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza kwamba mimi nime sikia tu kama tetesi kutoka kwa mtu.
 
If is true, we welcome the news. Good luck WZN na WTZ wote.
 
nawaunga mkono wawe na sarafu yao na wajitoe kwenye muungano maana hauna maana kwao hata kidogo...Long live ZNZ
 
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza kwamba mimi nime sikia tu kama tetesi kutoka kwa mtu.

If this is true, then let them go ahead. After all the political marriage is almost over because no offsprings have been seen yet.
 
Ikiwa ni kweli wamefika hapo basi siyo kitambo naona watadai uhuru wao toka Tanzania bara.
God bless Tanzania.
.
Wamesha shtuka kumbe wanatawaliwa TANAGANYIKA. Hakuna muungano ni ukoloni tu!
 
nawaunga mkono wawe na sarafu yao na wajitoe kwenye muungano maana hauna maana kwao hata kidogo...Long live ZNZ

Mkuu vipi? sisi wengine tunajaribu kudumisha muungano ......kasoro ndogo ndogo Kamati ya Muafaka inafanyia kazi!
 
wakiondoka ni furaha kubwa. Hii mipemba niliyojaa kariokoo warudi makwao
 
Mkuu vipi? sisi wengine tunajaribu kudumisha muungano ......kasoro ndogo ndogo Kamati ya Muafaka inafanyia kazi!

Ah!! sasa ni kituko.....au naota? kwani leo wakiamua kufanya hivyo basi tutawaachia nchi yao kisha hatupokei wakimbizi maana watapigana mpaka kieleweke wamechoshwa na chama t....hata hivyo mimi naogopa kuzungumzia haya kwani ukiangalia kila kitu wanafanya wana wimbo wao wa taifa, Rais, Bendera, sasa mimi naona mtoto amekuwa sasa muache atafute mwenyewe......shit......
 
Mkuu vipi? sisi wengine tunajaribu kudumisha muungano ......kasoro ndogo ndogo Kamati ya Muafaka inafanyia kazi!

haha, mkuu kwa hilo la kudumisha unaeleweka,

On a serious note, hizi choko choko za kutaka kujiyoa kwenye muungano nazifananisha na ile hadithi ya bata na mayai ya dhahabu!
 
''Jongoo mpenda watu na watu hawampendiii, jongoo, jongoo'' Maneno haya nimeyanakiri katika wimbo wa Remmy Ongara zama zile kwenye bendi ya Ochestra Makassy. Sisi Watanganyika tumeisha kuwa jongoo. hatuna cha kung'ang'ania wala haqtuna cha kukosa Wazanzibar wakivunja Muungano!! wakithubutu kudai sarafu tuwaachie, wakidai mafuta yao tuwaache ila tuwatahadhalishe kuwa tutawakataa watakapo kuja kama wakimbizi. Hivi huyu karume ana nin huyu?? Sasa nimeelewa kwa nini Mkapa alipeleka wanajeshi huko wakati wa uchaguzi!!!!!!! hakutaka historia imhukumu kuwa Muungano ulivunjika wakati wa kipindi chake! Ni vyema JK pia aachane na mipango ya muafaka ili hawa jamaa waendelee kutoana macho wasahau mikakati ya kuvunja muungano. Let them keep on figthing so that they will keep coming on mainland to seek refugee and press and international attention. Their continued fight will make this union relevant to them. Kusema za ukweli hawa jamaa mimi wananibore sana.
 
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza kwamba mimi nime sikia tu kama tetesi kutoka kwa mtu.

Waacheni! wapate na misaada toka uarabuni! Labda watakuwa matajiri sana! kisiwa chenyewe kinaendelea kupungua kila siku!
 
Kama wana bendera,wimbo wao wa taifa. sarafu itashindikana vipi?
Mvunja nchi ni mwananchi.
 
All these coming in bse of usanii wa CCM katika issue serious, hakika imeshindwa kuzipatia ufumbuzi kero zilizopo katika Muungano na badala yake imeendelea kuzalisha zingine.

Inafika mahali wananchi wanachoshwa na usanii wanaamua kutafuta njia yoyote ya kujinasua hata ikibidi hiyo wanayoitaka sasa wazanzibar - Kudhoofisha Muungano na hatimaye kuuvunjilia mbali.

Hali hii naifananisha na kukataa tamaa kwa wabunge wapambanaji wa ufisadi, wameamua liwalo na liwe.

Endeleeni Wazanzibar ili hatimaye mpate mnachokitaka. Lakini mwisho wa yote itakula kwenu.
 
Hawa wazenji nao wanadeka sana, waelewe tu mkubwa hatishiwi nyau. Hata hivyo zile siasa za west na east ambazo ndio ilikua strategic reason ya muungano hazipo tena hivyo wakitusumbua sumbua sana tunaweza kuwaachia halafu wakaja juta.

Ila tu waelewe kwamba hata hela za bure wanazotegemea toka uarabuni hazipo siku hizi. Waarabu nao wana crisis nyingi tu.
 
hiyo currency yao itakuwa mdebwedo believe me! baadaye watarudi, unajua baba hakatai mtoto wake, tutawakaribisha tena baada ya kuona badala ya kubeba waleti basi vijana wa Kizenji wanabeba vikapu kwenda kununua dagaa tu----------Zimbabwe nyingine itazaliwa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom