Juja wa Majuja
Member
- Nov 6, 2009
- 7
- 0
Sera hii iliyoshikiwa bango na CCM ndio ninayotaka kuijadili hapa kwa nia ya kuonyesha jinsi inavyohitaji umakini mkubwa katika kuitekeleza.
Yakifanyika makosa, nchi itaingia matatani kwelikweli.
Hebu tuchukue mifano michache ambayo inaweza kuchukuliwa kama mwongozo wa kufanya maamuzi mazito kwa Taifa.
Tunapata picha gani kwa matukio/vituko vilivyofanywa na akina mama wanaoonekana ni wenye heshima zao tena mbele ya hadhara !!!!
Jenista Mhagama vs Hawa Ghasia. Ilibaki kiduchu wangechaniana magauni pale mjengoni. Kwenye uchaguzi wa UWT - CCM, watu almanusura wavaane maungoni. Ya sasa nayo kali. Sophia Simba vs Anne Kilango Malecela, Yameingia hata ya maisha binafsi ???. Halafu tunazungumzia MAADILI YA JAMII. Hiyo ni MIFANO michache TU. Mnaweza kuwa mmpeleka ujumbe UNO mkastukia wajumbe wenu wamegaragazana kwenye makoridooo !!!! AIBUUUU !!!!!
WANA JF wenye mifano mingine CHANGIENI PAMOJA NA HOJA ZENU. Lakini mimi nasema, bado tunahitaji kuwa makini zaidi. Tukifanya kazi kwa KUBEBANA, TUTALIANGAMIZA TAIFA. ANAYESTAHILI NA APEWE KULINGANA NA SIFA NA UWEZO WAKE.
Haiwezekani kazi za TAIFA ZIKAGAWIWA KISHKAJI. Hiyo ni HUJUMA na UFISADI.
Kukosana kupo. Lakini, sikumbuki. Hivi na wanaume wamekwisha fikishana hivyo hadharani ?.
Wana JF karibuni tuchangie!!!