http://www.alternet.org/story/141734/why_corporations,_emerging_powers_and_petro-states_are_snapping_up_huge_chunks_of_farmland_in_the_developing_world
That exponential process will only be...
Waraka wa Kanisa Katoliki umeungwa mkono na pia umepingwa na watu wa aina mbalimbali. Lakini watu wengi waliweza kusema kwa jumla tu kuwa ni mzuri au mbaya bila kusema ni mambo gani yamewagusa...
Mkataba wa TRL hauvunjwi ng'o !
17 September 2009
Majira
Waziri wa Miundombinu Dkt. Shukuru Kawambwa akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu azma ya...
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu, kila nikifiria jinsi nchi inavyokwenda naona sioni mwanga kila kitu kinakatisha tamaa, naona nakosa furaha kila siku,skendo ndo zinaongezeka...
Kabla ya kuletwa tena na serikali ripoti ya utekelezaji wa maamuzi ya bunge juu ya richmond Lowassa atakuwa amesafishwa rasmi-siyo na bunge, siyo na magazeti bali na rafiki wa siku nyingi na...
Mara nyingi sana huwa napata shida sana katika kujua Taifa letu linahitaji katika Ustawi wake, Waziri Mkuu wa Tanzania Mh pinda hivi karibuni alikuwa katika Mataifa mbalimbali ya Asia kwa ajili...
...
Imefikia wakati sasa nchi yetu inahitaji msukumo mpya, msukumo wa kifikra na kiuongozi (kila siku huwa tunalilia uchaguzi lakini matokeo ya uchaguzi mara zote huwa tunayafahamu hakuna...
UPELELEZI wa kesi inayomkabili mlemavu Anney Anney (58), ya kumkashifu Rais Jakaya Kikwete, umekamika na itaanza kusikilizwa kwa mshitakiwa kusomewa maelezo ya awali, Septemba 30.
Kesi hiyo ipo...
Nini kiliongelewa katika kikao cha NEC?, mkweli ni nani?
Balozi zashituka Sitta kuandamwa
Wa Sweden aenda hadi ofisi za CCM
Msekwa aziandikia waraka kuzipoza
Akiri NEC ilikosea taratibu...
Kama katibu wa CCM mkoa wa Lukuvi anamilki Mercedes Benz lamamilioni ya pesa, halafu m2 mwenyewe ni std 7, najuliza hv humu chamani kuna biznesi gani mpaka mtu akareizi from ukapuku mpaka kumiliki...
2009-09-18 07:36:00
Loliondo: Tamwa slams state
By Florence Mugarula
The Citizen
Human Rights activists in Dar es Salaam have criticized the government for arresting residents of Loliondo...
Kwanini sitta na wenzake hawaondoki CCM?
Watu wengi wakiwema hata wasomi wakubwa katika nchi hii wanajiuliza kwa nini sitta na watu wenye msimamo kama wake hawaondoki CCM na kuunda chama chao au...
Baada ya kutokea mshangao mkubwa kwa wanaJF na maswali mengi kubaki wazi kutokana na kitendo cha Wazee wa Chadema kumwomba Mh Zitto kutogombea Wenyekiti wa Chadema, nadhani walifanya kitendo hicho...
Katika taarifa ya habari ya ITV jana jana usiku katibu mkuu wa CCM Mh. Yusuph Makamba akiwa jimboni kwa Spika wa Bunge Mh Sitta huko Urambo Mashariki amemsifia Spika huyo kwa maneno mengi ya...
Pemba kwachafuka
Askari wapigwa mawe, Maalim Seif atuhumiwa
na Mwandishi Wetu, Pemba
HALI ya amani kisiwani Pemba si shwari, baada ya jana kuibuka vurugu kubwa zilizosababisha nyumba ya...
Tumeongea sana, tumelalamika sana, mbaya zaidi TUMEPUUZWA sana.
Matatizo yetu yameongelewa sana, yanajulikana sana, mipango mingi sana imewekwa lakini hatujaona utatuzi wake. Ufisadi unaendelea...
A clear picture is slowly begin to emerge in the unfolding political drama in the run-up to the Kyela elections! The battle that has pitted two unlikely political bedfellows against each other in...
Kwa wiki hii nimeona taarifa kama mbili zikiripotiwa na Steven Chua wa ITV aliyeko Nyamongo huko Tarime - Mara kuhusu ile ishu ya uchafuzi wa mazingira ulioleta mgogoro na wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.