Hv, CCM kuna biashara gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hv, CCM kuna biashara gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amulike Noel, Sep 18, 2009.

 1. A

  Amulike Noel Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama katibu wa CCM mkoa wa Lukuvi anamilki Mercedes Benz lamamilioni ya pesa, halafu m2 mwenyewe ni std 7, najuliza hv humu chamani kuna biznesi gani mpaka mtu akareizi from ukapuku mpaka kumiliki benz ?
   
 2. K

  Kinyikani Member

  #2
  Sep 19, 2009
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 65
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wizi mtupu. Kumbuka huwezi kuwa CCM bila ya kuwa fisadi wala huwezi kuwa fisadi bila ya kuwa CCM
   
 3. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,969
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Though i am not a SISIM member but this is unfair comment i think you have a problem in your brain system.Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kuongea lugha za namna hizo.
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mr.SaidSabke,
  Penda kujua kuwa Mr.Kinyikani amepatwa na ghadhabu kusikia kuwa mtu ndani ya chama kwa na kwa elimu aliyo nayo na umilikaji wa mali aliyo nayo ukizingatia watu wanamfahamu fika ndio imempelekea kutoa hayo maneno makali sawa hatukatai kuwa ni maoni yake na ana uhuru wa kutoa hayo maoni,

  Ila kwa upande mwingine tukitizama hawa viongozi wetu wameisha poteza mantiki ya mtu kuwa kiongozi na anastahili kuwaje. lets be honesty here viongozi wengi wa sasa wanapenda starehe sana na mambo ya kifahari kwanza kwa nafsi zao na familia zao na sio kuwajibikia watanzania walio wachagua kuwa ongoza, hebu nitajie ni viongozi wangapi wewe wazania kweli at least few, they've devoted themselves to server for this country? am sure is none zero!!!

  Sasa kama ndani ya chama tu watu wanaonekana hivi na kwa muda mchache tu kabadirika yuko vingine ukifuatilia utapata tu minong'ono ya watu, me nadhani twapaswa kuwa na makampuni ya ku audit miradi ya hivi vyama, maana hivi vyama vyapaswa kwanza kuwa na miradi yao binafsi ya kujiendeshe, maana kila kukicha hivi vyama vyapokea mikopo na misaada je wanapeleka wapi?? hivi vyama si vingeshindana kuanzisha miradi na kuwataftia ajira wanachama wao na kujenga imani kwa wanachama wao ili kupunguza mianya ya rushwa kati yao wao wenyewe???
   
Loading...