The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,057
- 115,410
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu, kila nikifiria jinsi nchi inavyokwenda naona sioni mwanga kila kitu kinakatisha tamaa, naona nakosa furaha kila siku,skendo ndo zinaongezeka watawala ndo kama viziwi,
Nahisi afya yangu itaathirika nikiendelea kuwa so concern na hali ya nchi hii inavyokwenda, i feel like quiting, labda sio lazima kuendelea kuwa mtanzania, labda nitafute nchi nyingine nihamie, hata huko ntakapohamia kukiwa na mambo kama haya,at least nitasema moyoni hii sio nchi yangu ya asili,may be i will feel beter.
But tanzania hii inavyokwenda, i cant bear it no more, nimekubali kushindwa,hii nchi imenisaliti, i deserve better than just kuongelea ufisadi kila siku, i need to be happy and optimistic about the future,