Makamba na ukinyonga wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba na ukinyonga wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amulike Noel, Sep 18, 2009.

 1. A

  Amulike Noel Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika taarifa ya habari ya ITV jana jana usiku katibu mkuu wa CCM Mh. Yusuph Makamba akiwa jimboni kwa Spika wa Bunge Mh Sitta huko Urambo Mashariki amemsifia Spika huyo kwa maneno mengi ya kisiasa nakielimu. Je, huyu Makamba huu ukinyoga wake mpaka lini ? Maana aliyoongea kwenye NEC na jana yanakanganya.
   
 2. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 872
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  ...mwambie ASIDANGANYIKE!
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mropokaji hovyo hovyo mara nyingi huwa hakumbuki alichokisema.
   
Loading...