Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameushtukia mkataba baina ya Serikali ya Kampuni ya Rites ya India kuhusu ukodishwaji wa lililokuwa Shirika la Reli nchini (TRC). Akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni...
0 Reactions
161 Replies
23K Views
Amshangaa Kikwete kusema ni mpasuko kidogo Yeye asisitiza uliopo ni mkubwa unaoligawa taifa Asema tatizo ni tofauti ya kipato cha tajiri, maskini Na Nyakasagani Masenza Majira 29 September...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
BY POLYCARP MACHIRA 4th October 2009 ‘The amount of money the Indian firm is charging to lease used locomotives and wagons over five years could buy ten brand new locomotives and 48 new passenger...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kauli za Salim, Warioba zautikisa utawala wa Kikwete Rais Kikwete: Kauli za viongozi waandamizi wastaafu zinasemekana kutikisa serikali yake. *Wasomi, Wazee wa CCM waonya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tukiwa tumebakiza mwaka mmoja kabla kufanyika kwa Uchaguzi mkuu wa Wabunge, Rais na Madiwani, joto la kisiasa linazidi kupanda katika nchi yetu, katika kipindi cha Miaka Minne kumekuwa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema wanawasiliana na wanasheria wao ili kuona hatua za kuchukua baada ya kungundua kasoro nyingi katika mchakato wa uchaguzi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Deus Bugaywa INAWEZEKANA kuwa ni kiburi au jeuri ya madaraka au tu hulka inachukua mkondo wake; wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Hii ni kweli kwani kitu kikianza kuoza hakiozi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilibahatika kuwemo katika msafara wa wapiganaji wa misituni wasiokuwa na kombati wala vyeo wala pasipoti kutembelea nchi zinazoongozwa na maraisi waliokuwa wapiganaji wa misituni za Rwanda,Sudan...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni ukweli usiofichika kuwa ukiacha madhehebu ya dini, hakuna taasisi au chombo chochote chenye uwezo wa kuimbia CCM we acha unavyofanya si vizuri. Ulipotoka waraka wa Kanisa la Kikatoliki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2009-10-03 10:15:00 TRA, Tanesco in showdown over stolen taxTanesco CEO Dr Idris RashidIf the money was stolen from TRA that has nothing to do with Tanesco, says utility official BY Mkinga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salim Said Mwananchi October 2, 2009 Mkuu anayeshughulikia Sera na Bunge Philip Marmo, amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano inakwamisha utekelezaji wa mapendekezo ya Kamati teule ya Bunge...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku ya Jumatano 30 Septemba 09 Judge Warioba alinukuliwa na vyombo vya habari hapa nchini akizungumzia mambo mbali mbali ikiwemo na swala la ufisadi. Aligusia kuhusu ufisadi wa EPA, Meremeta na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Date::10/2/2009Kamati kumhoji waziri kuhusu operesheni Loliondo Exuper Kachenje WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga, atalazimika kutoa ufafanuzi mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kamati kumhoji waziri kuhusu operesheni Loliondo Exuper Kachenje WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga, atalazimika kutoa ufafanuzi mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
'Waliohukumiwa kifo watej wenzao' Written by Administrator Thursday, 01 October 2009 07:12 Na Benedict Kaguo MWENYEKITI wa Chama cha Albino nchini (TAS), Bw. Ernest Kimaya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Madiwani Korogwe wamtimua mhasibu, DED amkingia kifua Tuesday, 29 September 2009 16:30 Na Yusuph Mussa, Korogwe BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe wamemtimua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Waliofanyiwa mtihani IFM wakalia kuti kavu Thursday, 01 October 2009 08:19 Grace Ndossa na Neema Kalaliche WANAFUNZI wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) waliofanyiwa mtihani wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
RAIS wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amani Abeid Karume amesema hali ni shuwari Zanzibar na kuwataka wanasiasa katika Kisiwa cha Pemba kupingana kwa hoja na wale...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam, Niko ndani ya ukumbi huu wa AICC unapofanyika mkutano wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola. CBA. Kinachoendelea sasa ni wajumbe wameshakaa sehemu zao, unasubiriwa ujio wa Rais...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…