Litakuwa Vipi Bunge 2010 bila akina Dr. Wilbroad Peter Slaa?

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Tukiwa tumebakiza mwaka mmoja kabla kufanyika kwa Uchaguzi mkuu wa
Wabunge, Rais na Madiwani, joto la kisiasa linazidi kupanda katika nchi yetu, katika kipindi cha Miaka Minne kumekuwa na Mapambano makali dhidi ya Ufisadi( Wizi) na Mafisadi ( Wezi) wa rasilimali katika nchi yetu, sote tutakumbuka viti hii ilipata kasi pale Mwembechai pale Dr. Slaa na Wapambanaji wengine walipotoa kile walichokiita list of Shame, ni tukio ambalo kwa kweli liliweza kuwapatia wapinzani hasa CHADEMA attention kubwa miongoni mwa wapiga kura wa nchi hii ( Tumeshuhudia impact yake katika chaguzi ndogo zilizofuatia). Baada ya tukio lile tumeshuhudia watu mbali mbali wametokea na kujipambanua kama wapinga Ufisadi na Mafisadi katika nchi hii, kundi moja wapo ni lile Linalojiita ‘Wapiganaji’ ambalo linaundwa na wabunge 11 wa chama cha Mapinduzi.

Katika kutafakari juu ya Vita hii nimekuwa najiuliza maswali kadhaa

1: Itakuwaje kama CCM watawatumia hawa Wapiganaji katika Kampeni zao za mwaka 2010 katika kuhakikisha kwamba Waanzilishi wa Mapambano haya akina Slaa, Zitto na wengine hawarejei Bungeni? Je Mnafikiri hili jambo haliwezi kutokea? Na Kama hili lkitokea, je Wapinzani wana mkakati wowote ku counter kishindo cha ‘Wapiganaji’ kama wataamua kuzunguka nchi nzima kuiuza CCM?
2: Je ikitokea kwamba Wapambanaji akina Dr. Slaa, Zitto na wengine waking’olewa na Wapiganaji pamoja na wanaotwa Mafisadi wakirudi Bungeni, je nini itakuwa hatma ya Vita dhidi ya Ufisadi katika Serikali ya 2010/15?

I’m traying to think Loudly ila nadhani nimesikika!
 
Anything possible!Angalia wako wapi wa akina Lamwai,Mabere Marando,Makongoro Nyerere ,Kaborou ambao wameua upinzani kabisa!Ni sell out !!!!!!!!!!!
 
CCM ndio mpango wao huo wa kuhakikisha kuwa watu makini kama hawa jamaa hawaingii tena Ubunge,
 
Mimi sidhani kama inawezekana hiyo scenario. Message ya akina Zitto na Slaa ni kupinga ufisadi. Message ya akina Mwakyembe ni hiyo hiyo. Kumalizana kuko wapi?

Kinachoweza kutokea: Message ya akina Mwakyembe yaweza kutiliwa mashaka kwa sababu inakigawa chama. Message ya akina Zitto na Slaa inawafanana kwa maana inapinga mfumo ulio madarakani.

Kama akina Slaa wataangushwa, itakuwa ni kuangushwa kwa mbinu nyingine, si message wanayoishikilia.
 
Tukiwa tumebakiza mwaka mmoja kabla kufanyika kwa Uchaguzi mkuu wa
Wabunge, Rais na Madiwani, joto la kisiasa linazidi kupanda katika nchi yetu, katika kipindi cha Miaka Minne kumekuwa na Mapambano makali dhidi ya Ufisadi( Wizi) na Mafisadi ( Wezi) wa rasilimali katika nchi yetu, sote tutakumbuka viti hii ilipata kasi pale Mwembechai pale Dr. Slaa na Wapambanaji wengine walipotoa kile walichokiita list of Shame, ni tukio ambalo kwa kweli liliweza kuwapatia wapinzani hasa CHADEMA attention kubwa miongoni mwa wapiga kura wa nchi hii ( Tumeshuhudia impact yake katika chaguzi ndogo zilizofuatia). Baada ya tukio lile tumeshuhudia watu mbali mbali wametokea na kujipambanua kama wapinga Ufisadi na Mafisadi katika nchi hii, kundi moja wapo ni lile Linalojiita ‘Wapiganaji' ambalo linaundwa na wabunge 11 wa chama cha Mapinduzi.

Katika kutafakari juu ya Vita hii nimekuwa najiuliza maswali kadhaa

1: Itakuwaje kama CCM watawatumia hawa Wapiganaji katika Kampeni zao za mwaka 2010 katika kuhakikisha kwamba Waanzilishi wa Mapambano haya akina Slaa, Zitto na wengine hawarejei Bungeni? Je Mnafikiri hili jambo haliwezi kutokea? Na Kama hili lkitokea, je Wapinzani wana mkakati wowote ku counter kishindo cha ‘Wapiganaji' kama wataamua kuzunguka nchi nzima kuiuza CCM?
2: Je ikitokea kwamba Wapambanaji akina Dr. Slaa, Zitto na wengine waking'olewa na Wapiganaji pamoja na wanaotwa Mafisadi wakirudi Bungeni, je nini itakuwa hatma ya Vita dhidi ya Ufisadi katika Serikali ya 2010/15?

I'm traying to think Loudly ila nadhani nimesikika!

Mkuu hapo hayo niliyohighlight yakitokea ina maanisha kuwa vita dhidi ya ufisadi imefail,na hapo unaposema "Vita dhidi ya ufisadi katika serikali ya 2010/15" una maana gani?Wapiganaji na mafisadi nani mwenye nguvu zaidi bungeni hivi sasa?na unasema kwamba wakarudi bungeni tena minus kina Slaa,sasa hapo unaulizia hatma ya vita dhidi ya ufisadi,vita gani ipo hapo tena?Kama hao wanaojiita wapiganaji ni wakweli na si politics tu,then wafanye kweli bado wakiwa bungeni hivi sasa badala ya kusubiri kuwaongopea wananchi wakati wa uchaguzi. Nani kasahau walipitisha bajeti za kifisadi? Kwa kifupi hayo yakitokea vita dhidi ya ufisadi itakuwa over na ufisadi utaprevail more than ever before.
 
Wazo kwamba ccm inaweza kupumbaza Watanzania kiasi cha Dr. Slaa kutochaguliwa na wananchi wa Jimbo lake, linaonyesha kukata tamaa au kwamba wanaChadema hawana uwezo wa kuwaeleza wananchi madhara ya ufisadi.

Imepata kupendekezwa na MwanaJF mmoja ktk thread moja kwamba Dk Willibrod Slaa mwenyewe agombee u-Rais kumpinga J.K. Chadema wakimpendekeza na kumteua kugombea, he is shoulder higher than any candidate ccm can put up, at least intellectually. Na akishinda, Tanzania will miss Slaa in the Bunge, but enjoy him at the helm.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mkuu hapo hayo niliyohighlight yakitokea ina maanisha kuwa vita dhidi ya ufisadi imefail,na hapo unaposema "Vita dhidi ya ufisadi katika serikali ya 2010/15" una maana gani?Wapiganaji na mafisadi nani mwenye nguvu zaidi bungeni hivi sasa?na unasema kwamba wakarudi bungeni tena minus kina Slaa,sasa hapo unaulizia hatma ya vita dhidi ya ufisadi,vita gani ipo hapo tena?Kama hao wanaojiita wapiganaji ni wakweli na si politics tu,then wafanye kweli bado wakiwa bungeni hivi sasa badala ya kusubiri kuwaongopea wananchi wakati wa uchaguzi. Nani kasahau walipitisha bajeti za kifisadi? Kwa kifupi hayo yakitokea vita dhidi ya ufisadi itakuwa over na ufisadi utaprevail more than ever before.

Mkuu namaanisha Katika kipindi cha 2010 mpaka 2015 kwa sababau kazi iliyofanywa na akina Dr. Slaa katika kipindi hiki imeonekana sana. Sasa swali langu ni kama watu wenye uthubutu kama hawa wasipokuwepo ni nani atakuwa mchochea kuni wa Vita hii?
 
Mimi sidhani kama inawezekana hiyo scenario. Message ya akina Zitto na Slaa ni kupinga ufisadi. Message ya akina Mwakyembe ni hiyo hiyo. Kumalizana kuko wapi?

Kinachoweza kutokea: Message ya akina Mwakyembe yaweza kutiliwa mashaka kwa sababu inakigawa chama. Message ya akina Zitto na Slaa inawafanana kwa maana inapinga mfumo ulio madarakani.

Kama akina Slaa wataangushwa, itakuwa ni kuangushwa kwa mbinu nyingine, si message wanayoishikilia.

Mkuu wangu lakini uliona Jinsi Biharamulo Magharibi akina kilango walivyobadili upepo wa Kampeni? Kitu ninachouliza ni kwamba does CHADEMA has an alternative Messege kwa sababu mimi hilo naliona Ukizingatia jinsi 'Wapiganji' wanavyoungwa mkono na akina Makamba, wasi wasi wangu i kwamba Upele unaweza ukawa umempata mkunaji
 
Tukiwa tumebakiza mwaka mmoja kabla kufanyika kwa Uchaguzi mkuu wa
Wabunge, Rais na Madiwani, joto la kisiasa linazidi kupanda katika nchi yetu, katika kipindi cha Miaka Minne kumekuwa na Mapambano makali dhidi ya Ufisadi( Wizi) na Mafisadi ( Wezi) wa rasilimali katika nchi yetu, sote tutakumbuka viti hii ilipata kasi pale Mwembechai pale Dr. Slaa na Wapambanaji wengine walipotoa kile walichokiita list of Shame, ni tukio ambalo kwa kweli liliweza kuwapatia wapinzani hasa CHADEMA attention kubwa miongoni mwa wapiga kura wa nchi hii ( Tumeshuhudia impact yake katika chaguzi ndogo zilizofuatia). Baada ya tukio lile tumeshuhudia watu mbali mbali wametokea na kujipambanua kama wapinga Ufisadi na Mafisadi katika nchi hii, kundi moja wapo ni lile Linalojiita ‘Wapiganaji’ ambalo linaundwa na wabunge 11 wa chama cha Mapinduzi.

Katika kutafakari juu ya Vita hii nimekuwa najiuliza maswali kadhaa

1: Itakuwaje kama CCM watawatumia hawa Wapiganaji katika Kampeni zao za mwaka 2010 katika kuhakikisha kwamba Waanzilishi wa Mapambano haya akina Slaa, Zitto na wengine hawarejei Bungeni? Je Mnafikiri hili jambo haliwezi kutokea? Na Kama hili lkitokea, je Wapinzani wana mkakati wowote ku counter kishindo cha ‘Wapiganaji’ kama wataamua kuzunguka nchi nzima kuiuza CCM?
2: Je ikitokea kwamba Wapambanaji akina Dr. Slaa, Zitto na wengine waking’olewa na Wapiganaji pamoja na wanaotwa Mafisadi wakirudi Bungeni, je nini itakuwa hatma ya Vita dhidi ya Ufisadi katika Serikali ya 2010/15?

I’m traying to think Loudly ila nadhani nimesikika!

Ni viwanja vya mwembe yanga na siyo mwembe chai....ebo!!
 
Back
Top Bottom