Kuna taarifa kwamba mmoja wa wapiganaji wa vita dhidi ya ufisadi ndani ya CCM, kijana Nape amezidi kuweka mizizi jimbo la ubungo kuhakikisha anashinda kupitia ccm, huku wakati huohuo, kijana...
Maaskofu zaidi ya 200 toka barani Afrika wanakutana jijini Rome, Italia kujadili namna ya kuondoa ufisadi, mapinduzi na namna ya kukomesha unyonyaji mataifa madogo ya kiafrika dhidi ya mataifa...
05 Oct 2009
The United Republic of Tanzania has extended US$200 000 in budgetary support package to be deployed in aiding the Short Term Emergency Recovery Programme, STERP.
The US$200 000...
Nimekua nikifuatilia maoni mbalimbali katika Forum hii na vyombo vya habari nikawa sijapata jibu halisi kuhusiana na msimamo wa chama cha CUF ( ´chama cha wananchi´) katika mambo kadhaa...
Barack Obama
Play Video AP Obama. Lawmakers weigh future in Afghanistan
Slideshow:Afghanistan
Play Video Video:American Soldiers Killed In Afghanistan CBS 3 Philadelphia...
Naam, tusidanganyane jamani. Suala sio kukataa udikteta. Suala ni uongozi wa nchi umetushinda. Na hili wamelionyesha mapadri. Kisha Masheikh. Mamaneja kama wale wa NHC, NSSF, TANESCO, BOT na...
Ndugu Wadau:
Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.
Itakuwa...
Mzee Salim,
Labda kwanza nianze na utambulisho mfupi -
Mimi ni mmoja wa vijana wa kitanzania ambao tulikutana nawe kwenye moja ya hotels kule Cairo na kufanya mazungumzo ya kina nawe kuhusu...
Asema Indonesia wanavaa batiki
Habel Chidawali, Dodoma
SIKU moja tu baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutaka viongozi waandamizi waache kununua magari ya kifahari, jana alikuja na lingine...
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimeanza harakati za kuzishawishi nchi za Jumuiya za Ulaya kuweka vikwazo kwa Tanzania kutokana na matatizo yanayojitokeza katika uandikishaji wa daftari la kudumu la...
BoT gold reserves financed radar deal
THIS DAY
THE third phase government of former president Benjamin Mkapa used national gold reserves from the Bank of Tanzania to secure a $40m loan from...
...Aikana sera ya maisha bora, Asema si yake, ilikuwapo tangu uhuru Source: Majira, Monday, 05 October 2009 08:16 Na Mwandishi Maalumu, Mwanza
WAKATI kaulimbiu ya kampeni zilizomweka...
Jana usiku nilipata msg hii
Tafadhali tuma neno CHADEMA kwenda 15710 kwa mchango wako wa sh 300 tusaidiane kukiimarisha chama kwa ukombozi wa nchi yetu dhidi ya mafisadi tafadhali julisha na...
Unleashed Vol. 1 Fikira tofauti za mabadiliko ni mfululizo wa makala sita (moja ni ya Rev. Kishoka) ambazo zote zina lengo la kuzidi kuchochea mabadiliko ya fikra ambayo hutangulia mabadiliko...
On the second page of the Sunday Citizen (4 October 2009) there is a picture with the following caption: "Mama Maria Nyerere stresses a point when she addressed the press yesterday". In that...
Ndugu wanabaraza,
Kumekuwa na michango mbali mbali kuhusiana na hili suala la katiba ya Tanzania ya Mwaka 1984 kuwa na mapungufu makubwa. Kulingana hayo na ukiangalia watanzania toka uhuru...
Tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi:
Serikali yasema ni uzushi mtupu
(Kutoka gazeti la Uhuru)
NA MWANDISHI WETU
BAADA ya serikali kufuatilia kwa kina tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa...
MKAKATI wa kuwadhoofisha kisiasa baadhi ya wabunge waliojipambanua kuwa wapambanaji wa vita ya ufisadi ambayo imekigawa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na Bunge umebainika.
Wabunge...
Waheshimiwa hawa wameyasema yote,lakini mbona hawasemi nini kifanyike?Na tuanzie wapi?...........Ni dhahira uongozi ulioko madarakani umeshindwa na kwa makosa hayo hayo...