Mama Maria Nyerere endorse JK for 2nd Term? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Maria Nyerere endorse JK for 2nd Term?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Companero, Oct 4, 2009.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Oct 4, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  On the second page of the Sunday Citizen (4 October 2009) there is a picture with the following caption: "Mama Maria Nyerere stresses a point when she addressed the press yesterday". In that picture Mama Nyerere is wearing a white T-shirt with a photograph of President Jakaya Kikwete.

  I wonder why our Mama wa Taifa decided to wear it in a press conference just a few days after some critical remarks about the current government from some national stalwarts. According to the accompanying article, Mama Maria said that Tanzanians would rediscover unity of purpose if they re-invoke the spirit of the independent struggle.

  Maybe that was a call to unite behind JK in 2010.
   
  Last edited: Oct 4, 2009
 2. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hajakosea, hilo ni chaguo sahihi.
   
 3. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2009
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mama Maria Nyerere amechagua lililo jema. Rais wetu JK ni kati ya marais 10 bora duniani. Ninamuombea kwa Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi ampe afya njema ili aweze kugombea tena mwakani na aendelee kutuongoza hadi 2015 ndipo amuachie mwana CCM mwingine mwadilifu kama yeye.

  Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Ni ngumu kujua anasimamia wapi isipokuwa nafikiri hakuna tabu akimsupport JK maana ndio demokrasia hiyo. Kuna anachoamini JK anajaribu kukifanya kurudisha mambo yawe sawa.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kwa vigezo vyako vya kichungaji anaweza akawa rais bora kuliko wote waliopita duniani lakini kwa watu wakini ni miongoni mwa maraisi 3 wabovu kabisa duniani
   
 6. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mama Nyerere hajakosea hata kidogo. Mimi nadhani Rais ni Rais hata kama mtu binafsi unaweza usiridhike naye au humpendi. Labda awe Rais ambaye aliingia madarakani kwa njia zisizo halali. Wengi hatukumchagua JK 2005 lakini baada ya kuapishwa ni Rais wetu, kwa shida na raha, makosa na uadilifu. Kuvaa T-shirt yenye picha yake ni aina fulani ya uzalendo kuliko ushabiki tu.

  Hata hivyo Ladslaus amekwenda mbali mno kusema Rais wetu ni 'kumi bora" hapa duniani. Kwa vigezo vipi? Au ni ule msemo wa kwamba mtoto ambaye atembelei nyumba za majirani na kula huko daima asema kwamba mama yake ni mpishi bora kuliko majirani wote!!
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Companero,
  Wengine tumeshindwa ku-comment kwa sababu hiyo picha hatujaiona. Naona umewafurahisha wana CCM dam dam.
   
 8. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu mama Maria Nyerere amesoma mpaka darasa gani huyu?

  Mimi naona anatetea ili Serikali izidi kumsitiri otherwise anaweza tukakumbana nae katika daladala huyu.
   
 9. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2009
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Yuko sahihi kwani kwa sasa huyu ndie rais wetu, sisi kama wananchi wa tz ni wajibu kuwa nyuma yake. Tunapaswa kukumbuka kuwa nafasi ya jk ni zaidi ya jk mwenyewe kama tunataka kuwa wakweli, ile ni taasisi ambayo msingi wake ulianzia 1961 na siyo 2005 wakuu. Ccm tunapaswa kujiheshimu, kuvumiliana na kuheshimu taasisi na zaidi rais wetu, yeye ana agenda za muda mfupi na muda mrefu, zile za muda mfupi zitakamilika 2010 na zile za muda mrefu kwake 2015, tumtakie kila la heri mhehimiwa rais kwa kila jambo alifanyalo. Amen
   
Loading...