CHADEMA, imetoka kwenu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, imetoka kwenu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Selous, Oct 6, 2009.

 1. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jana usiku nilipata msg hii
  I have no problem kwa kuwa nilishasikia through general meeting. I feel proud of it as i have no any contact with senior leaders for CHADEMA. Does this msg hold the truth?

  Tuambie tusambaze, tupate habari zenu kila kukicha.
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  +255769955123 vp si upige hiyo number umuulize aliekutumia au not reachable?

   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  tutachanga tu hakuna mbaya kama tunawapigia kura mamiss ,Bongo star search ,Tusker project fame ,the comedy tupate gari kwa nini tusichangie maendeleo
   
 4. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Namba halisi ya CHADEMa bado hajaanza kufanya kazi, kwa taarifa kuwa bado wanafanyia kazi database yao kwa ajili ya kufanyia kazi na kutunzia kumbukumbu hivyo wote hawa ni macybers wanaotaka kujipatia pesa toka kwa watu mbalimbali.Hiyo namba sio ya CHADEMA ni ya watu wa kawaida
   
 5. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Viongozi chadema waje na taarifa kamili hapa
   
Loading...