Vijana Washike Wachukue Uongozi Wa Tanzania 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana Washike Wachukue Uongozi Wa Tanzania 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Oct 7, 2009.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ndugu Wadau:
  Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.

  Itakuwa vyema sana ikiwa Kizazi Cha John Mashaka , Mwanakijiji , Dr. Shayo na January na wengineo kushirikiana ili kuiokoa Tanzania. Waheshimiwa, inabidi tulijadili ili swala kwa busara siyo kujadili watu kama ilivyo kawaida yetu.

  Je Vijana hawa waingie kwenye Kinyang'anyiro cha 2010 au Wasubiri hadi 2015 mafisadi wazidi kuimaliza nchi kwanza?
   
  Last edited by a moderator: Oct 7, 2009
Loading...