Viongozi Afrika kuupinga "waraka" wa kanisa katoliki?

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Maaskofu zaidi ya 200 toka barani Afrika wanakutana jijini Rome, Italia kujadili namna ya kuondoa ufisadi, mapinduzi na namna ya kukomesha unyonyaji mataifa madogo ya kiafrika dhidi ya mataifa makubwa.

Mkutano huu ni maarufu kama SINODI YA AFRIKA.

Mkutano ambao huandaa pamoja na mengine,mpango kazi wa kanisa na hutoa waraka kwa makanisa juu ya kile walicho azimia.

JE SERIKALI ZA AFRIKA ZITAUPINGA WARAKA HUO KAMA ILIVYO TZ SASA KWA WARAKA WA WAKRISTO? NAULIZA HIVYO KWA SABABU KATI YA AJENDA NI NAMNA YA KUTOKOMEZA UFISADI AMBAO UMEKUWA UKIKUMBATIWA NA NCHI NYINGI ZA KIAFRIKA, KUKOMESHA MAPINDUZI YA KIJESI NA UNYONYAJI WA NCHI TAJIRI KWA MASIKINI.
 
.

1. Hivi waraka huu ni wa wakristo wote wa huko Tanzania au wakatoliki pekee?
2. Hivi wakatoliki ndio Think tank ya wakristo wote wa huko Tanzania?
 
Back
Top Bottom