SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta amemuelezea mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema kuwa amekwisha kisiasa na kipesa na sasa anahangaika kujinasua kutoka katika hali hiyo.
Spika...
Habari zilizothibitishwa na Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Ngeleja zinasema kuwa tatizo la umeme lililoikumba nchi muda mfupi uliopita linatokana na matatizo ya kiufndi kwenye gridi ya taifa na...
YADAIWA KUIKWAMISHA TAKUKURU KUSHUGHULIKIA WALA RUSHWA
Felix Mwagara
RIPOTI ya Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mpango wa Kutathmini Utawala Bora nchini Tanzania (APRM), imebainisha kuwa...
KWA mujiibu wa habari nilizozisikia hivi karibuni ni kuwa viongozi wa kijeshi wa Marekani wamesema tayari wameruhusiwa kutumia ndege zao za kijeshi ili kuihuisha serikali iliyopandikizwa huko...
Political notes: Connolly speaks against mauling in East Africa
Rep. Gerry Connolly receives a hug from Mariamu Stanford of Tanzania.
By JONATHAN HUNLEY
Published: March 10, 2010
The...
MOZAMBIQUE GETS TOUGH ON CORRUPTION: EX-MINISTER GETS 20 YEARS JAIL 27 FEB 2010 BY : DPA
In a test case for Mozambique's fight against corruption, a former government minister in the southern...
Matukio yalivyojiri katika picha...
Mhe Pius Msekwa akihutubia wageni na wanachama wa CCM Tawi la Uingereza.
Wageni waalikwa na wanachama wa CCM wakimkiliza kwa makini mgeni rasmi...
Masihara pembeni, na mimi wazee wamenishauri nigombee ubunge!
(Jamani hakuna hata mtu mmoja anayesema 'nimeamua mwenyewe kugombea' kuwa Mbunge?)
Lakini mpaka tunaenda mitamboni, sitagombea...
Diplomat's wife killed, houseboy on the run
Ambassador Andrew Daraja painfully narrating how he found his wife stabbed to death at their home in Dar es Salaam today.
By ROSE ATHUMAN...
Mahakama mkoani Arusha imemfutia mashitaka mbunge wa Simanjiro baada ya kuoana hana kesi ya kujibu.
Ole sendeka alishitakiwa na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Bwana James Millya kwa kosa la...
Habari Leo
CHAMA cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) kimekiri kutoa waraka ambao wenyewe wameuita ‘tafakari' ukikishambulia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukituhumu kuwa ndicho kikwazo...
Source.Mwananchi http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=18438
Swali: Kuna suala hili la ardhi ambapo Watanzania wamekuwa wakipinga wazo la kuwakaribisha wananchi wa nchi za Afrika Mashariki...
Naona ubalozi wetu huko London unawakilisha CCM zaidi ya serikali ya Tanzania.Tangu balozi wa sasa ateuliwe balozi nyingi zimefunguliwa karibu nchi nzima.Juzi alihudhuria mnuso wa CCM huko mjiniu...
OMBI MAALUM:
Nimeamua kuliweka hapa hili ombi kwa sababu kuu mbili; Yakwanza ikiwa hapa ndipo wana-JF wengi zaidi wanafika ukifananisha na majukwaa mengi na sababu ya pili ikiwa ombi langu...
Mi nashangaa sana eti mjadala wa sasa ni 'haki sawa kwa wote' eti wakiwa na maana kuwa mwanamme na mwanamke wote wawe sawa kwenye kila nyanja, wana hoja yao eti wanawake wamekandamizwa mda mrefu...
Wadau mwenye soft copy ya Azimio la Zanzibar aning'inize humu jamvini pls! Salute kwa wote.
======
MAAMUZI YA ZANZIBAR, 1991
HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM, RAIS ALI HASSAN MWINYI WAKATI...
Kwenye wavuti ya Bunge la Tanzania kuna sehemu ya kumuuliza Spika:
ASK THE SPEAKER
Hon.Samuel Sitta(MP)
Online interactive forum with the SPEAKER
Cha kushangaza nimemwandikia Spika na kuwa na...
Nauliza Mh Warioba mbona kimya,hapo zamani alikuwa na kawaida ya kutoa maoni au kushauri juu ya mustakabali wa nchi yetu pale Wakubwa walipokuwa wanafanya madudu yao.Lakini baadaye tukasikie kuwa...
kutokana na taarifa zilzo toka tume ya uchaguzi na nyaraka zake kutumwa kwenye vyama vya siasa nchini kuhusu ushiriki wa vyama vya siasa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ambalo dar ni 22...