Obama kuanza kuporomosha ndege na mabomu Afrika ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama kuanza kuporomosha ndege na mabomu Afrika ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwalimu Jr., Mar 10, 2010.

 1. m

  mwalimu Jr. Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  KWA mujiibu wa habari nilizozisikia hivi karibuni ni kuwa viongozi wa kijeshi wa Marekani wamesema tayari wameruhusiwa kutumia ndege zao za kijeshi ili kuihuisha serikali iliyopandikizwa huko Somalia huku ikijifiia yenyewe maana haina mizizi kabisa nchini humo.

  Kwa Afrika hili litakuwa kosa la kwanza la Obama barani kwetu. Ni vyema AU ikatae katakata na isiyumbishwe na nchi za Kiafrika zenye njaa ya fedha za Marekani kama vile Uganda, Kenya, Burundi, Djibouti ambazo baada ya kuwaibia na kumaliza fedha za wananchi wao na sasa zimeishiwa ziko tayari kulamaba kinyesi chini ya buti za Obama na watu wake ili zipate fedha za kuendelea kutanua.

  Vita Somalia vinavyofanywa na watu wa Magharibi penda tusipende ni chuki dhidi ya Uislamu na El-shababu na haina malengo kabisa ya kuleta amani ya kudumu na kuiepusha Afrika na madahra ya uingiliwaji na nchi kama Marekani kama ilivyotokea huko Vietnam, Marekani ya kusini na Marekani ya kati.

  Ikiwa Marekani inatutakia amani kweli basi izipe nchi kama Tanzania, Msumbiji, Sudani, Malagasy na Kenya meli ndogo za kivita ziwe zetu ili kwanza tuanze kumaliza tatizo la utekaji meli za kibiashara nyara.

  Kuanza kugeuza sehemu hii ya Afrika kuwa uwanja wa kurushia mabomu kutachangia sana kuharibu hali ya hewa pande hii ambayo kwa hivi sasa tayari imeshaanza kuzua mtafaruku.

  Je, kazi ya kurusha mabomu huko Iraq na Afghanistan imekwisha ? AFRIKA TUNASEMA NOOOO, BALOZI WA MAREKANI TANZANIA NOOOO MABOMU RASI YA GUADAFUI NA AFRIKA MASHARIKI!!!!!!
   
 2. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mwalimu JR,
  Sidhani kama mbinu ya kutaka kumaliza tatizo la Somalia kama ni kupiga vita uislam na El-Shababu, tujiulize hao El-shababu wanatekeleza nini pale Somalia??? Je wao tunaona ndio wanaweza kuleta suruhu pale somalia?? au wanataka kuigeuza Somalia uwanja wa mafunzo kwa alqaeda???

  Ninachokiona, hali ya mambo ya Somalia isipopata msaada kutoka nje (nchi zenye uwezo) inaweza kuathiri nchi jirani kama Kenye, Tanzania, Ethiopia, Eritrea na nyingine nyingi. Utekaji nyara meli hauangalii kwamba meli ni za nchi ya Marekani au la, nchi zote zinaathirika, uchumi wa nchi nyingi na huduma za kijamii vinazorota, Sasa ni vema tuachie hali hiyo iendelee??? na kwamba nchi nyingine zikiingilia kati tunasema wanaingilia uislam???kwani uislam ni kutekeleza uharamia???ni kuua watu wasio na hatia????Kumbuka vurugu za juzi nchini kenye El-Shababu walikuwemo na bado wametishia kuzipiga mabomu Uganda na burundi, Somalia lazima isaidiwe ili patulie na kutulia kwa Somalia ni kutulia kwa nchi za Afrika mashariki
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mwalimu Jr,

  Yaani unataka upewe meli na USA? Kwani wamekukatazeni mjenge zenu? Unalalamika Uganda na Rwanda wanafaidi na wewe pia unataka kufaidi. Unafikiri hata ukipewa meli ndiyo utaweza kumaliza tatizo? Kipande cha bahari ni kikubwa sana na gharama za ulinzi zinakuwa aghali sana. Ni heri Somalia iwe nchi kweli na wao ndiyo walinde fukwe zao za bahari, kazi ambayo inakuwa rahisi kuliko kuja kusema uwawinde baharini.

  Somalia bila kuna na serikali ya kweli, ile sehemu milele itabaki kuwa hatari. Sintashangaa kuwa Russian Mafia, Italian Mafia na vibaka wengine sasa hivi nao wanafaidika na utekaji nyara wa meli hizo.

  Mkuu, kama ungelikaa na Msomali akuambie jinsi kwao watu wanavyoteseka, wala usingeliamini. Hata uwaone nje ya Somalia, lakini wengi wana ndugu na jamaa kwao. Wanakuwa wanaishi kwa shida sana. Kuna kijana alinionyesha mama yake na ndugu zake wanaishi Somalia, anaishi kwa wasiwasi sana. Si kama wewe hapa Tanzania ambapo unalia na Mafisadi ila nchi ipo. Wenzetu kwanza wanalia wapate nchi na ndiyo wahamie kwenye ufisadi.
   
 4. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,810
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  hizo meli tukipewa utazikuta masaki na oysterbay na kigamboni kwa wakubwa washazifisadi wanastarehe nazo au zinapiga tripu za zanzibar na pemba.
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Marekani nao wafuate sheria za kimataifa.Basi kuna njia mbadala,watoe Msaasda kwa kupitia UN through security council.Hizi hatua za marekani ndizo zinazo-paralyse UN.

  Hatua hii ya Marekani inaweza kumbana na upinzani wa hali ya juu

  UN Charter izingatiwe,kimsingi kupitia AU mataifa jirani walitakiwa kushirikishwa ili kuchukua wajibu wa jumla katika operesheni yoyote huko somalia
   
 6. m

  mbarbaig Senior Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  umesikia wapi hizi habari? source?
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Udini utakumaliza wewe!!! Kila ukitoa hoja huwa ni ya udini tu. Tena mimi nafikiri marekani wamechelewa kuingilia kijeshi somalia, mnaposea waislamu wanaonewa je, hao al-shabab wanaua watu gani? siyo waislamu? au kwa sababu waislamu mnaruhusiwa kuua basi?
   
 8. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,400
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Na wewe ni Mwalimu,
  Ama kweli;
  1. Wewe lazima huna huruma kabisa na watoto wa Somalia. Somalia imesambaratika mwaka 1990/91. Vizazi viwili vishakosa malezi ya Elimu na transition kwenye maisha, wewe unaona bado Somalia ipo sawa?

  2. Vita na Somalia? Na chuki na Uislamu; ipi chuki hiyo? Nani anawapiga Wasomali? Wewe Mwalimu kweli au Please? Fafanua.

  3. Eti Marekani akupe meli? My God; why? Why don't buy them? You're a country!

  I think sometimes we think differently from the humans, Somalia needs help. If Obama have plan to help Somalia, inabidi afanye hivyo sasa. Wale watu watakuwa Wanyama si muda mrefu TWO decades without education and peace!!
   
 9. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wakuu, naona hamjamuelewa mleta mada, issue hapa ni dini, hayo mengine ya wanao kufa ama kulala njaa haya muhusu! jamani hizi dini? naona sasa zinazidi hata utu wa mtu!
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hizi ndio twaita akili za kukamua kinyesi maiti. Vita dhidi ya uislamu ikapiganiwe Somalia? Hii akili au matope?

  Kaa Marekani ingetaka kupigana na Usilamu ingeenda Indonesia, a most populated Muslim country.
   
 11. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Marekani haiwezi kuingia sehemu kama haina maslahi binafsi, na katika hili sio kwamba waunapiga vita uislam.
  Nadhani kinachotokea ni kwamba Marekani wanataka kuipa support Serikali ya Somalia iweze kusimama yenyewe na kuweza kuzuia uharamia unaofanyika katika pwani ya Somalia.

  Ishu ya msingi ni kwanini wanataka kuisaidia serikali ya Somalia.
  Taasisi zote zinazoshukiwa kuwa ni za kigaidi ziko katika hali ngumu sana kifedha kwasasa.
  Kwahiyo wanatumia udhaifu uliopo Somalia kwa kuteka meli na kudai fedha nyingi, na fedha zinapotolewa zinachukuliwa na vikundi vya kigaidi.
  Kwahiyo kutokana na udhaifu wa serikali ya Somalia, na hali mbovu ya kimaisha. Inakuwa rahisi sana hawa magaidi kuwatumia wasomali katika vitendo vyao vya kiharamia na kupambana dhidi ya serikali halali ya nchi humo kwa kuwalipa ujira unaotokana na utekaji wa meli.
  Kwahiyo kama Serikali ya Somalia itakuwa imara, then ugaidi utakuwa katika hali ngumu zaidi kuliko waliyonayo sasa. Na ndio maana wanaeneza propaganda kuwa wamerakani wanataka kuua uislam, ili ulimwengu uwatetee waweze kuendelea kuwa na chanzo cha mapato.

  Kwa hiyo maslahi ya Marekani katika hili ni kupambana na Ugaidi kwa kuhakikisha wanakata mianya yote ya fedha kwa magaidi
   
 12. O

  OpenMinded Member

  #12
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 15, 2007
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani hujapata pointi hapa. Kwanza ni lazima uelewe kuwa kupiga vita dini fulani haina maana ya kwenda katika nchi ambayo ina idadi kubwa ya waislamu bali inategemea na malengo. Besides where America decides to fight islam is america's choice not subject to your opinion, so get it together na utoe hoja zenye mashiko.
   
 13. bona

  bona JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  unatakiwa ufahamu miaka yote toka 90's wakati wasomali wanapigana wenyewe kwa wenyewe kulikua kuna jeshi la nchi yoyote? mbona mapigano hayakuisha? kama una kumbuka clinton alijaribu kupeleka majeshi kutuliza amani ili nchi iwe stable lakini wakawaua na mwishowe clinton alitoa majeshi yake lakini pamoja na marekani kutoa majeshi mbona mapigano hayakuisha? ili liwe fundisho kwa wale wanaodhani kuwepo majeshi ya marekani mahali fulani kunachochea vita!
  waathirika wa kubwa wa mtazamo wa kijinga kama uu ni wanawake na watoto, wanaume wanajua kuzalisha na kushabikia vita pasipo kustabilize nchi, wasomali wangapi sasa ni wakimbizi hadi kenya imezidiwa au waje uwape hifadhi nyumbani kwako? inabidi tuishukuru marekani kuja kuingilia kati kwani mgogoro wa somalia unatuathiri nchi zote ktk ukanda uu!
   
 14. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe ndio unapaswa kutoa hoja zenye mashiko,maana hapa hujatoa hoja ya maana.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Achana naye.

  Sometimes kwenye hizi forums it come a moment you feel like you are talking to a wall. Sasa sijui mtu kama huyu 'Openmind??' sijui unaanza kumsaidia kuanzia wapi?
   
 16. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani musije mkauana kama ndugu zenu wa Mara, Source hii hapa na habari ndiyo hiyo hapo chini.

  http://www.nytimes.com/2010/03/06/world/africa/06somalia.html?ref=africa


  U.S. Aiding Somalia in Its Plan to Retake Its Capital
  A version of this article appeared in print on March 6, 2010, on page A1 of the New York edition.

  MOGADISHU, Somalia - The Somali government is preparing a major offensive to take back this capital block by crumbling block, and it takes just a listen to the low growl of a small surveillance plane circling in the night sky overhead to know who is surreptitiously backing that effort.

  Jehad Nga for The New York Times
  Forces of the transitional government in Somalia control only a part of the capital, Mogadishu.
  "It's the Americans," said Gen. Mohamed Gelle Kahiye, the new chief of Somalia's military, who said he recently shared plans about coming military operations with American advisers. "They're helping us."
  That American assistance could be crucial to the effort by Somalia's government to finally reassert its control over the capital and bring a semblance of order to a country that has been steeped in anarchy for two decades. For the Americans, it is part of a counterterrorism strategy to deny a haven to Al Qaeda, which has found sanctuary for years in Somalia's chaos and has helped turn this country into a magnet for jihadists from around the world.
  The United States is increasingly concerned about the link between Somalia and Yemen, a growing extremist hot spot, with fighters going back and forth across the Red Sea in what one Somali watcher described as an "Al Qaeda exchange program."
  But it seems there has been a genuine shift in Somali policy, too, and the Americans have absorbed a Somali truth that eluded them for nearly 20 years: If Somalia is going to be stabilized, it is going to take Somalis.
  "This is not an American offensive," said Johnnie Carson, the assistant secretary of state for Africa. "The U.S. military is not on the ground in Somalia. Full stop."
  He added, "There are limits to outside engagement, and there has to be an enormous amount of local buy-in for this work."
  Most of the American military assistance to the Somali government has been focused on training, or has been channeled through African Union peacekeepers. But that could change. An American official in Washington, who said he was not authorized to speak publicly, predicted that American covert forces would get involved if the offensive, which could begin in a few weeks, dislodged Qaeda terrorists.
  "What you're likely to see is airstrikes and Special Ops moving in, hitting and getting out," the official said.
  Over the past several months, American advisers have helped supervise the training of the Somali forces to be deployed in the offensive, though American officials said that this was part of a continuing program to "build the capacity" of the Somali military, and that there has been no increase in military aid for the coming operations.
  The Americans have provided covert training to Somali intelligence officers, logistical support to the peacekeepers, fuel for the maneuvers, surveillance information about insurgent positions and money for bullets and guns.
  Washington is also using its heft as the biggest supplier of humanitarian aid to Somalia to encourage private aid agencies to move quickly into "newly liberated areas" and deliver services like food and medicine to the beleaguered Somali people in an effort to make the government more popular.
  Whenever Somalia has hit a turning point in the past, the United States has been there, sometimes openly, sometimes not.
  In 1992, shortly after the central government imploded, Marines stormed ashore to help feed starving Somalis. In early 2006, when an Islamist alliance was poised to sweep the country, the C.I.A.teamed up with warlords to stop them, and when that backfired, the American military covertly supported an Ethiopian invasion.
  Last summer, when Somalia's transitional government was nearly toppled by insurgents linked to Al Qaeda, the American government hastily shipped in millions of dollars of weapons.
  Since then, the insurgents' imperative to retake the capital, and eventually other parts of the country, has grown, American officials say, as Al Qaeda has even considered relocating some of its leaders from Pakistan to here.
  American officials said several high-ranking Qaeda agents were still active in Somalia, including Fazul Abdullah Mohamed, one of the suspected bombers of the American Embassies in Kenya and Tanzania in 1998, who is now believed to be building bombs for the Islamist insurgent group known as Al Shabab.
  The Somali government has tried limited offensives before and has failed, leaving much of the country in the hands of Al Shabab, who have chopped off heads, banned music and brought a harsh and alien version of Islam to Somalia.
  But officials say that this offensive, or at least the preparations for it, feels different. First, the government has the advantage of numbers, about 6,000 to 10,000 freshly trained troops, compared with about 5,000 on the side of Al Shabab and its allies.
  In the past six months, Somalia has farmed out young men to Djibouti, Ethiopia, Uganda, Kenya and even Sudan for military instruction and most are now back in the capital, waiting to fight. There are also about 5,000 Ugandan and Burundian peacekeepers, with 1,700 more on their way, and they are expected to play a vital role in backing up advancing Somali forces.
  The government is also better armed and equipped. Parked in neat rows behind Villa Somalia, the president's hilltop villa in the center of Mogadishu, are newly painted military trucks, tanks, armored personnel carriers and dozens of "technicals," pickup trucks with their windshields sawed off and a cannon riveted on the back of each one. The government also recently bought 10 Chevrolet ambulances.
  There seems to be a qualitative difference, too. Somalia's forces are now led by General Gelle, a colonel in Somalia's army decades ago who most recently was an assistant manager at a McDonald's in Germany. He is known among Somali war veterans as one of the best Somali officers still alive.
  Many Somalia observers are confident that the offensive will push back Al Shabab. The question is what will happen afterward. "To take you need force, to hold you need discipline," said Ahmed Abdisalam, a deputy prime minister in the last Somali government. "What's going to guarantee those troops don't turn on the population?"
  Or turn on themselves: many Somalis worry the troops could split along clan lines, which is what brought down Somalia's government in 1991. One lingering criticism of Somalia's president, Sheik Sharif Sheik Ahmed, is that he has been too holed up in Villa Somalia and has not engaged with local power brokers and played clan politics better.
  Even though there is a new religious overlay to Somalia's civil war, with a moderate Islamist government battling fundamentalist Islamist insurgents, clan connections still matter and could spell success - or disaster.
  That said, the government did recently strike a political agreement with a powerful moderate Islamist militia, which may join the offensive from the inland regions of the country. There has also been talk of a militia made up of Somali refugees living in Kenya advancing from the Kenyan side.
   
Loading...