Dr.Aman Walid kabourou:Kwa nini tuzuie waafrika wenzetu kuja kumili ardhi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Aman Walid kabourou:Kwa nini tuzuie waafrika wenzetu kuja kumili ardhi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ben Saanane, Mar 10, 2010.

 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Source.Mwananchi http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=18438

  Swali: Kuna suala hili la ardhi ambapo Watanzania wamekuwa wakipinga wazo la kuwakaribisha wananchi wa nchi za Afrika Mashariki kuja kumiliki ardhi Tanzania, unalisemeaje hilo?

  Jibu: hilo ni suala ambalo huwa sipendi kulisikia kwa sababu, kama tulipata uhuru ili tuishi pamoja kwa nini tena tuwazuie Waafrika wenzetu kuja kumiliki ardhi? Hilo ni suala lenye utata kwa sababu kila nchi ina sheria zake za ardhi ambazo hazifanani, ndiyo maana hata kwenye Bunge letu tumeacha kujadili, hadi litakapowekwa sawa na nchi husika, kwa sasa tunajadili mambo mengine, labda hadi nchi zetu zitakapoungana.
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Huyu ni mmoja wa watu ambao hawastahili kuliwakilisha Taifa letu kwenye baraza la kutunga sheria la Afrika mashariki kwa sababbu hajui yuko pale kutetea nini!! Anakwepa kujibu swali la msingi kwa kusema hilo suala wanaliahilisha mpaka hapo nchi zitakapoungana!! Hayo matatizo anayoyakwepa kuyajadili sasa wakati huo yatakuwa yametokomea? Hawa ndio wale ambao wapo pale kujaza matumbo yao na sio kutetea maslahi ya nchi yetu; akumbuke tu hizo faida za intergration kila nchi huvuta kwake na kufaidika kwa nchi kunategemea umahili wa representatives wa nchi husika!! Hawa wetu hawafui dafu kwasababu hawana intergrity [ kuhama hama vyama baada ya kuhongwa] na wengine wana PH.D za kuchonga as such nchi haina effective representation.
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Jamaa hilo ni ovyo, liko pale kwa ajili ya kula tu. Halijui kwanini Wakenya wanataka sana access ya ardhi ya Tanzania?!!. Hili jitu ni kaburu kabisa, forget about it.
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,886
  Trophy Points: 280
  Ndio maana Chadema alipashindwa kwa vile pale alikutana na vichwa vinavyo tetea maslahi ya nchi kwanza. Maoni aliyotoa ndio mwelekeo wa Chama chake.
   
 5. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu Kaborou has nothing to offer.
  Pamoja na kukaa state muda mrefu,ni kama mswahili wa Mtaani tu.
  Good we are all fool,anakula pesa zake EALA
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Yaani sijui niseme nini.Nahisi huyu jamaa hajui kwa nini yuko pale.

  Sijawahi ona watu waliokosa uzalendo kama huyu mkulu.


  Ofcourse kama jumuiya ya EAC ni more of economic intergration basi suala la Ardhi lazima lipiganiwe.Hiyo ni moja wapo ya factors of Production.

  Lakini sasa kumbe inaonekana serikali yetu inatuisaliti kwenye mambo fulani fulani,coz suala la Ardhi serikali ilisema halihusiani na Shirikisho,leo hii huyu jama Mbunge wa EALA anakuja kuongea utumbo wa aina hii.

  So kumbe serikali inacheza game hapa?
   
Loading...