Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Diplomat's wife killed, houseboy on the run

03_10_r6etb9.jpg



Ambassador Andrew Daraja painfully narrating how he found his wife stabbed to death at their home in Dar es Salaam today.


By ROSE ATHUMAN,
8th March 2010
Daily News

FORMER Tanzania's Ambassador to the United States, Andrew Daraja arrived home last Sunday to find his wife, Hanna Daraja (65), stabbed to death by unknown assailants and locked into their garage in Kimara B area in Dar es Salaam.

Ambassador Daraja, who was away in Muheza, Tanga for three weeks, arrived home yesterday to find his wife dead and the houseboy gone.

The former ambassador, who has served in public office in various capacities, told the 'Daily News' today that he last contacted his wife on Saturday afternoon to inform her that he would be travelling back the next day (yesterday).

"When I tried to call again later in the evening, the call could not go through. I tried again later several times and still it didn't go through," he explained his eyes welling up with tears.

When he arrived at his home, his driver hooted but there was no response from inside.

"I tried calling again, and got no answer. I was then beside myself with worry, I knew something was definitely wrong. I asked my driver to climb over the fence and open the gate," he said.

They saw her shoes and bags strewn on the ground close to the gate, propelling ambassador Daraja to rush into the house to check on his wife.

"I looked everywhere in the whole house but I couldn't find her. My driver and I looked around the compound but did not find her either," he explained.

Just when he was about to give up, he remembered to look inside his garage and…there she was, laying on the floor with a knife sticking out on her chest.

"We unlocked the garage which was padlocked from outside but she was already dead. We reported the matter to the police and they are investigating," he whispered, tears streaming down his face.

Ambassador Daraja said the house-help, a young man aged between 19 and 20 years, was not in the house and has never been seen since. He refused to disclose the house-help's name before the police complete their investigations.

Nothing of value was stolen, but the former ambassador suspects the assailants were looking for cash.

"I think the assailants were looking for cash, because they didn't take anything of value and the bedroom was in a mess with things strewn all over," he said.

The deceased was a teacher by profession but left teaching to join her husband when he was first posted to Germany and later to the United States as Ambassador. He explained that burial preparations will take place after the police have completed conducting a postmortem.

Ambassador Daraja began his duties as ambassador to US in July 2002. Prior to that assignment, he served as the ambassador to the Federal Republic of Germany between 1995 to June 2002.

He has also held different position in Public offices including in the State House. The deceased is survived by her husband, four children, three daughters and a son who lives in the United States. Efforts to get comments from the police force were futile as telephone calls went answered.http://www.dailynews.co.tz/home/?n=8046&cat=home
 
Poleni sana wafiwa. natumaini 'justice will take its course'
 
Inatia uchungu sana hii habari, Mola ampe pumziko jema marehemu na pia ampe nguvu Balozi Daraja na ndugu wengine wakati na baada ya msiba.
 
Sad. Why stab a poor 65 year-old woman jamani? Si wangemfungia tu mahali wachukue wanachotaka?
 
eeh nimesoma kwenye gazeti kwakweli inasikitisha sana,may she rest in in peace kwakweli
 
poleni for the sad moment of your lives!....nbut it is too early to convict the house boy as a victim for that inhuman action!...how sure are we that the boy is alive? what if he was taken somewhere and being killed so as to mislead the investigation? lets leave the matter to the police so as they can come up with the truth but for the time being lets say the woman was found dead and the boy was missing....!
 
Pole kwa Bal. Daraja na familia yako kwa ujumla. Mwenyezi mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi!
 
Pole sana Balozi Daraja na familia and RIP mama Hanna!!
 
Hizi characher tunazozitengeneza za kuuana uana kama wanyama ni aibu tupu!
 
Pole sana Mhe. Balozi na familia yote. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi. Amen.
 
Mke wa Balozi auawa kinyama na shamba boi






headline_bullet.jpg
Yadaiwa alimchoma kisu kifuani kwenye titi
headline_bullet.jpg
Apora Sh. milioni mbili atokomea kusikojulikana
headline_bullet.jpg
Mumewe alikuwa safarini, kurejea akakuta maiti



kisu.jpg

Kisu



[FONT=ArialMT, sans-serif]Mke wa Balozi mwandamizi mstaafu wa Tanzania nchini Marekani, Andrew Daraja, ameuawa kinyama kwa kuchomwa kisu cha kifuani sehemu ya titi la kushoto na polisi wanamtafuta mhudumu wa shamba, James Mabakuri (22), kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Elias Kalinga, alimtaja mke huyo wa balozi kuwa ni Anna Daraja, mkazi wa Kimara Temboni, jijini Dar es Salaam.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kamanda Kalinga aliiambia Nipashe kuwa mauaji hayo yalitokea juzi nyumbani kwa Balozi Daraja Temboni, jijini Dar es Salaam wakati balozi akiwa safarini mkoani Tanga.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kamanda Kalinga alisema kuwa mtuhumiwa huyo ambaye wanaendelea kumtafuta, mara baada ya tukio hilo anadaiwa kuiba kiasi ya Sh. milioni 2 na kutoweka nazo bila kuchukua kitu kingine.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Akisimulia zaidi tukio hilo, Kamanda Kalinga alisema Februari 14, mwaka huu Balozi Daraja alimuaga mke wake kuwa anasafiri kwenda Muheza, Tanga na kumuacha na mhudumu wa shamba ambaye alikuwa akiishi kwenye nyumba hiyo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema wakati Balozi Daraja akiwa safarini, kijana huyo anadaiwa kuwa alimchoma Anna kisu kwenye titi la kushoto na kufa papo hapo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema mtuhumiwa baada ya kuhakikisha mama huyo amekufa alianza kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo, ikiwemo chumbani kwa balozi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema mtuhumiwa huyo mara baada ya kuzikuta fedha hizo sehemu zilipokuwa zimehifadhiwa, alitoweka eneo la tukio na kwenda kusikojulikana.[/FONT]
“[FONT=ArialMT, sans-serif]Nyumba hiyo ilikuwa na vitu vyenye thamani kubwa, lakini inaelekea mtuhumiwa hakuwa na nia navyo, alichukua fedha na kutokomea nazo,” alisema Kamanda Kalinga.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kamanda Kalinga alisema kuwa upekuzi uliofanywa kwenye chumba cha mtuhumiwa kilichopo nje ya nyumba kubwa ya balozi huyo kulikutwa nguo za aina mbalimbali pamoja na vitu vingine. Alisema nguo hizo ni mali ya mtuhumiwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema uchunguzi wa awali uliofanyika kwenye nyumba hiyo, umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alifanya kitendo hicho cha kikatili usiku kutokana na mazingira waliyoyakuta.[/FONT]
“[FONT=ArialMT, sans-serif]Tukio hili lingefanyika mchana huyu mama angepata msaada, lakini inaonyesha wazi kuwa mtuhumiwa alimvizia usiku ndipo akafanya mauaji hayo,” alisema Kamanda Kalinga.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema juhudi za kumsaka mtuhumiwa huyo katika maeneo tofauti jijini Dar es Salaam na nje ya mkoa zinaendelea.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kamanda Kalinga alisema mtuhumiwa huyo inadaiwa kuwa aliletwa na fundi ujenzi ambaye hajafahamika jina lake kwa ajili ya kazi alizokuwa akizifanya.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa uchunguzi zaidi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumza kwa njia ya simu na Nipashe, Balozi Daraja alisema wakati wa tukio la kuuawa kwa mke wake alikuwa safarini mkoani Tanga.[/FONT]
“[FONT=ArialMT, sans-serif]Jana (juzi) niliporudi nyumbani kutokea Tanga nilipofika kwenye geiti la nyumba yangu, niligonga muda mrefu bila mafanikio,” alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema mara baada ya kufanikiwa kuingia ndani (bila kuelezea aliingiaje), aliukuta mwili wa mke wake ukiwa umelala kwenye gereji huku kisu kikiwa kimechomwa kwenye titi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema hadi sasa hafahamu mtu aliyefanya kitendo hicho na kwamba uchunguzi unaendelea.[/FONT]




CHANZO: NIPASHE
 
ohh My God..Huu ni unyama mkubwa sana.Hii ishu sasa inakuwaje mtu analetwa kusikojulikana au rekodi yake haijulikani vizuri halafu anaruhusiwa kufanya kazi ktk mazingara hayo jamani?

Mungu ailaze Roho ya marehemu pema peponi.Naiombea familia ya balozi wapate faraja maana ni tukio lenye kuuma sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom