Ole Sendeka afutiwa mashitaka

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,893
31,101
Mahakama mkoani Arusha imemfutia mashitaka mbunge wa Simanjiro baada ya kuoana hana kesi ya kujibu.

Ole sendeka alishitakiwa na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Bwana James Millya kwa kosa la kushambulia na kujeruhi.
 
Pigo kwa mafisadi, huyo Millya anatumiwa na EL kumchafua mpiganaji Ole Sendeka.
 
What did one expect from such baseless prosecutions!

Yule mshitaki alikuwa kondoo wa sadaka..hajui anachokifanya!
 
Mahakama mkoani Arusha imemfutia mashitaka mbunge wa Simanjiro baada ya kuoana hana kesi ya kujibu.

Ole sendeka alishitakiwa na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Bwana James Millya kwa kosa la kushambulia na kujeruhi.

Nimefurahi sana ushindi wa Ole Sendeka ni ushindi wa kundi la wapiganaji dhidi ya kundi la mafisadi.kundi la wapiganaji ambalo limeanza kupoteza muelekeo baada ya kukubali kuifunga hoja ya RICHMOND linaweza kujipanga mikakati yake upya ingawa kupinga ufisadi ndani ya CCM ni kazi ngumu inayohitaji moja na ujasiri wa hali ya juu.
 
Mahakama mkoani Arusha imemfutia mashitaka mbunge wa Simanjiro baada ya kuoana hana kesi ya kujibu.

Ole sendeka alishitakiwa na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Bwana James Millya kwa kosa la kushambulia na kujeruhi.
PESA SI JAWABU LA KILA KITU.

Tusubiri what next.
 
Sasa inabidi nae awafungulie kesi ya malicious prosecution, adai fidia ya mamilioni ili huyo Millya asaidiwe na EL kulipa.
 
Hongera Sendeka kwa kushinda kesi.
Lakini hawezi kuwafungulia kesi kwa sababu aliyemshitaki Sendeka ni Jamhuri kwa kessi ya jinai (kushambulia). Millya alikuwa kama shahidi.
Sendeka alikuwa na mawakili wazuri sana. Nimebahatika kusikia mahojiano ya hiyo kesi na ilikuwa very interesting!
 
Naaona Sendeka kama hataki kuizungumzia tena ile kesi sijui kuna nini hapo..........isije kuwa wameelewana nje mahakama.....ndio maana haoni ushindi wake kama ushujaa...........
 
What did one expect from such baseless prosecutions!

Yule mshitaki alikuwa kondoo wa sadaka..hajui anachokifanya!

Teh teh teh teh

Tupe tupe news huko mkuuu, nilisikia hadi mkuu wa mkoa fulani aliye angushwa katika hilo jimbo la Ole Sendeka kila kukiwa na kesi hiyo yuko Mkoani hapo kumtetea M/Kiti huyo wa Vijana Mkoa wa Arusha?

Me nadhani UVCCM arusha wanatumiwa vibaya sana na nasikia siasa ya hapo arusha ni ngumu sana na inamajungu kupita kiasi

 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Haeluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Wadumu wazalendooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Pigo kwa mafisadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Kilio kwa mafisasi Uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Bottom line tusikubali siku zote kutumiwa. Matokeo yake kama ilivyokuwa kwa kesi hii, unapoulizwa maswali na wanasheria mahiri uhakiki ushahidi wako jasho linakutoka, kigugumizi kwa wingi, vijambo vya mfululizo. Hii ni hatari sana. Tusitake hela za chapu chapu.Hivi ile pesa aliyohongwa huyo jamaa si imeshakwisha?? Na ile nyumba ya nani hii alikuwa anaishi bado yupo huko?? Acheni mchezo mchafu mafisadi, vitawajeukia na mtaona aibu. Pole sana mzee mamvi.
 
Dakika 90 za mpira kumalizika ni huko jimboni kwao maana M/Kiti wa Mkoa UVCCM anaenda kugombea Jimbo la Ole Sendeka sasa sijui wapiga kura wao watamchagua nani huko sasa tusubiri hizo dakika 90 za huo mpambano
 
Zilikuwepo tetesi kuwa hiyo ilikuwa na njia ya yuli laiboni aliyejiuzuru kumshusha kisiasa Sendeka. Sasa ni aruta kontinua ndani y!a chama
 
Habari zilizotufikia na kuthibitishwa kutoka Arusha,zinasema kwamba Mbunge Wa Simanjiro Mhe Christopher Ole Sendeka Ameshinda katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kumjeruhi na kumtishia kwa bastola mwenyekiti wa UVCCM- Mkoa wa Arusha Ndg Milya
 
big up olesendeka ,naona ukweli umepatikana na ndio kazi ya mahakama ,mapambano dhidi ya wala rushwa ni lazima yaendelee
 
Hongera sana Ole Sendeka na pia sasa ukweli umejulikana kwa kiasi fulani na pia vyombo vyetu vya mahakama lazima viwe huru ili kuleta usawa katika jamii
 
Hongera sana Mh. ole Sendeka. Sasa nenda kafungue civil case ili ole Miliya akulipe fidia kwa kuchafua jina na heshima yako mbele ya jamii. Labda EL atamsaidia kulipa.
 
Back
Top Bottom