US passes Albino murder bill, will pressure TZ Govt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US passes Albino murder bill, will pressure TZ Govt

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alpha, Mar 11, 2010.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Political notes: Connolly speaks against mauling in East Africa

  [​IMG]

  Rep. Gerry Connolly receives a hug from Mariamu Stanford of Tanzania.
  By JONATHAN HUNLEY
  Published: March 10, 2010

  The House of Representatives on Wednesday voted 418 to 1 in favor of a bill by Rep. Gerald E. "Gerry" Connolly that condemns the mutilation of albinos in East Africa.
  The Democrat, who represents much of Prince William County, introduced the measure last month after meeting in December with Mariamu Stanford of Tanzania.
  Men from Stanford's village used machetes to cut off both of her arms in October 2008.
  "These horrific acts, like the crime committed against [Stanford], are perpetrated by shamans who believe that the body parts of people with albinism have magical powers and can be mixed in potions to bring the buyer good luck," Connolly said on the House floor Tuesday afternoon.
  A single limb can sell for as much as $2,000, Connolly said, which he called a "king's ransom" in Tanzania.
  Stanford was able to protect her 2-year-old son from the attackers, who struck at night while the pair was sleeping. But she was five months pregnant at the time and lost her baby when she had to wait six hours for medical treatment.
  She came to the U.S. to be fitted with prosthetic arms donated by the Orthotic Prosthetic Center in Fairfax County and to undergo physical therapy.
  "She's a rare survivor of a horrific and inhumane crime that is a growing concern in East Africa," Connolly said. "More than 54 people with albinism have been butchered in the region, most of them women and children."
  He added that he is contacting President Barack Obama and the State Department to urge them to place diplomatic pressure on Tanzania's federal and local governments to end the crimes.
  His bill had 36 cosponsors as of Wednesday, including Rep. Frank R. Wolf, who represents Manassas, Manassas Park and part of western Prince William.

  http://www2.insidenova.com/isn/news/politics/article/political_notes_connolly_speaks_against_mauling_in_east_africa/53680/
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hili suala la Albino limetia aibu sana nchi yetu.
  Niliulizwa suala hili na Mzungu mmoja anaijua Tanzania vizuri,nikakakosa la kujibu.
  Sijui Asha Migiro wa UN akiulizwa hili suala atajibu nini.

  Na tunasema Tanzania ni nchi ya amani!You are joking!
   
 3. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Spike ya hizi ritual killings imetokea baada ya hii Serikali mpya kutangazwa,na viongozi wake kuanza kuongea in ambiguous ways,kuashiria kwamba wao wamekuja madarakani kwa njia zozote zile ambazo waliona zitawawezesha kuja madarakani. Ikawa ni kichocheo kwa watu ambao walikuwa ni superstitious toka zamani kuongeza tabia zao za superstition.
  Watu wa Tanzania ni very superstitious. Tazama njisi wezi wanavyoiba Benki,halafu wanaenda kwa Mganga wa Kienyeji awasaidie wasikamatwe. lakini mauaji ya albino yatakwisha tu gradually, by evolution,baada ya generation mbili,tatu nne,za Ukristu au Uislamu. Hakuna sababu ya Polisi kufanya ukatili mubwa kuyazuia mauaji haya.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Najiuliza kama bunge lenyewe watu wachahce la nchi ya nje limepitisha sheria hiyo, na bunge la Tanzania lenye watu wengi zaidi, kwenye nchi ambayo matukio hayo yanatokea kila kukicha halijafanya lolote substantial, and then you are telling me that we will have 10 more members of Parliamnet watakaoenda kusubiri kiinuo mgongo cha mamilioni. Kwanini tusimlipe huyo mbunge mmoja tu wa marekani ambaye anaonekana kutufaa zaidi.
   
 5. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280

  Wabunge waliopo hawajaweza kuonyesha kutufaa na bado wanafikiria kuongeza idadi. Majimbo yanagawanywa kisiasa kumtafutia mtu fulani ulaji. Eti ili kuonyesha na sisi tunashiriki ktk gender iquality. Walikuja na wazo la fifty fifty kwa maana ya kupanua ukumbi wa bunge ili na wanawake waje bungeni kwa idadi ya wanaume waliopo sasa. IT IS DOUBIOUS!!! Nani kawaambia wingi wa panya unamwogopesha paka?
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Hii ni aibu kabisa,inaweza hata kufunika yale mazuri ambayoTanzania imekua ikisifika nayo.
   
Loading...