Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Govt admits poverty rampant in rural areas By Polycarp Machira 18th April 2010 Minister for Finance and Economic Affairs, Mustapha Mkullo The government has failed to...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KUNA taarifa ambazo tunazifanyia kazi kwamba Mtikila yuko mikononi mwa polisi Central amekutwa na vipeperushi vinavyodaiwa kumshughulikia KIKWETE lakini kwa kutumia udini. Amekatwa leo asubuhi...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Wadau naomba niulize muda wa kupiga kura unakaribia, tangu nifike korea nilipewa taarifa kuwa hakuna ubalozi wa chancelor muwakilishi wa korea. Nikataarifiwa na wwenyeji wangu kuwa nikiwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tumeona wenzetu mara nyingi mmekuwa mkionekana mkifungua mjadala ama kuona marafiki zenu hospit za serikali..nahisi hili ndilolinachangia kutothamini hosp za serikali na kuzifanya zikiwa kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Uki zingatia kuna wanaJF wengi tu ambao ni diaspora nadhani thread hii itagusa wengi. Swala linalo endelea sasa la dual citizenship(uraia wa nchi mbili) imenifanya nikae nitafakari jinsi haswa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Waislamu nchini na wapenda amani kususia bidhaa na huduma zote kutoka Uswisi. Tamko hilo limetokana na hatua iliyochukuliwa mwaka jana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya watanzania wanatamani bora tupigane vita ya wenyewe kwa wenyewe ili tuweze kuondokana na hili wimbi la viongozi warafi(mafisadi) ambao kila kukicha wanazidi kuongezeka.pia kuna...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
JESHI la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za wizi wa Sh3 bilioni za posho za askari kwa mwezi Februari mwaka huu. Ufafanuzi huo, uliotolewa jana na msemaji wa jeshi hilo, Abdallah Mssika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MFANYABIASHARA maarufu ambaye pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajabu Maranda, anayedaiwa kuiibia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Sh bilioni 1.8 za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), amekiri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa ninasikia kwa juu juu tu juu ya kuwepo kwa wapangaji wa Shirika la Taifa la nyumba ambao wanajihusisha na uuzaji au upangishaji wa Nyumba za Shirika hilo kwa njia za Panya.Lakini majuzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitafakari jinsi Marais wanapokuwa madarakani katika ungwe ya awamu ya miaka mitano ya mwisho ya uongozi wao, mara kadhaa Marais hao kwa kuwa hawana tena cha kupoteza hubadilika sana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ukiwa na ndugu yako au mtu wako wa karibu ana nia ya kugombea uheshimiwa andika maumivu. Jana mamsap alipokea simu toka kwa kaka yake wa baba mkubwa akamwambia ana kadi yake. alipoulizwa kadi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watanzania kwa ujumla wetu tunasubiri kwa hamu kubwa hukumu ya rufaa iliyokatwa na serikali kuhusu mgombea binafsi. Nampongeza sana mhe jaji mkuu Augustino Ramadhani kwa namna alivyoshtukia janja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Ndugu Zangu, Serikali imetoa rasimu ya MKUKUTA kwaajili ya kupata maoni ya wadau. Tumia link ifuatayo uweze kupata nakala yako kama ungependa kuchangia mawazo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Baada ya kuchomwa na jua mpaka jasho kukauka katika harakati zangu za kujenga taifa letu 'changa' pia ikiwa kama niia ya kupata mkate wa kila siku,hatimae nabahatika kupata msamaria mwema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sadick Mtulya MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Cag), Ludovick Utouh amesema kuwa upo uwezekano wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufilisika baada ya kubaini kuwa kila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
By Jerry Okungu The contradictions in Kenyan politics have refused to go away. Today our MPs can pass a motion in Parliament and oppose it in other forums tomorrow! They need a tight...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia vituko na vijimambo na taarifa zinazotolewa na CCM na baadae zinaanushwa ili mradi kunakuwa na mchanganyiko wa kutosha tu. Mara zote ninakuwa nafikiria thinking tank ya CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VIONGOZI WETU WA UPANDE WA UPINZANI, IWAPO WAKIBAHATIKA KUINGIA IKULU WANAWEZA WAKAFANYA JAMBO TOFAUTI KABISA NA WENGI WALIVYOFIKIRIA,JAMBO HILO LAWEZA KUWA ZURI AU BAYA KWA MTAZAMO WAKO.HIYO NDIO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku zote tumekuwa tukielezwa na wanasiasa kuwa wananchi ndo mwajiri wa serikali yoyote hapa duniani. Na mimi naamini nadharia hiyo ni sahihi. Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ukweli wa jambo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…