Thinking Tank ya CCM akina nani?

Lyangalo

JF-Expert Member
Sep 10, 2009
679
234
Nimekuwa nikifuatilia vituko na vijimambo na taarifa zinazotolewa na CCM na baadae zinaanushwa ili mradi kunakuwa na mchanganyiko wa kutosha tu. Mara zote ninakuwa nafikiria thinking tank ya CCM ni kina nani?

My be Kingunge na Tambwe Hiza?
 
Back
Top Bottom