Mtikila akamatwa kwa uchochezi

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
KUNA taarifa ambazo tunazifanyia kazi kwamba Mtikila yuko mikononi mwa polisi Central amekutwa na vipeperushi vinavyodaiwa kumshughulikia KIKWETE lakini kwa kutumia udini. Amekatwa leo asubuhi. Inabidi apekuliwe.
 
Huyu Mtikila nae mgumu sana kumuelewa!!!
maana huko nyuma iliwahi kuthibitika kuwa alihongwa na Rostam ili aongee ndivyo sivyo!
 
Mtikila anaweza fanya hivyo huyu!, na ana sababu zake ukionahivyo...na atashinda kesi hiyo doubtlessly!
 
Mtikila keshakuwa ze comedi sasa! Na sirikali hata haichoki kuhangaika nae. nafikiri in all these there is something going on...Either yeye ananufaika, or Sirikali inanufaika kiaina. LAkini sisi kama watanzania,...I doubt!
 
Mtikila keshakuwa ze comedi sasa! Na sirikali hata haichoki kuhangaika nae. nafikiri in all these there is something going on...Either yeye ananufaika, or Sirikali inanufaika kiaina. LAkini sisi kama watanzania,...I doubt!

Mtikila ni Ze Comedy tangu enzi zile vyama vingi haviaja Tanzania.

Kuhusu hulo la kutokunufaisha Watanzania...fikiria japo kidogo. Kesi ya mgombea binafsi hainufaishi Watanzania?
 
Afadhali ya u-comedy wa Mtikila kuliko Mrema na kundi lake la 'operesheni maalumu', serikali kuhangaika naye inampa umaarfu ama wamemtuma kubadili upepo?
 
Mtikila is a fine guy, ni mkombozi wa taifa hili katika utetezi wa demokrasia, lakini pia he is not normal, there is something wrong with him, ukimsikiliza tuu, utaelewa, mimi namkubali sana japo pia natambua he is insane.
 
Mtikila is opportunist tu na mganga njaa kama Mrema, waulize kazi zao ni nini?maana hakuna kazi ya uanasiasa
 
Namkubali Mtikila, ukitaka kujua umuhumu wake kwa jamii nenda pale Rugakingira kituo cha sheria Kijitonyama. uone wanavy omsifia kuwa ni mtu aliyeleta mageuzi ya kisheria nchi hii japo yeye si mwanasheria.

Kwa wale wanaofuatilia siasa zake Mtikila alikuwa sumu hata utawala wa Mwinyi na swala la OIC.ndo alilipinga vikali, na kwake ikulu ilikuwa kama sebuleni.

Ndo huyu aliyeingiza misamiati mipay katika lugha yetu, neno kama "MLALA HOI" tungelipata wapi kama siyo Mtikila, neno kama "Gabachori" japo halikuvuma sana, mwanzilishai ni yeye aliwa ana nadi sera zake za "SAA YA UKOMBOZI NI SASA".

Mtikila akiibua kitu anakuwa amefanya research na anajua mwanzo na mwisho wake, na ndo maana kesi zake nyingi hushinda.

Tatizo la huyu mtu ni kushindwa kujimeneji mwenyewe, angekuwa mkombozi wa kweli ktkt nchi hii.
 
Nadhani Mtikila ni among the most effective piliticians; maana kwa kutumia mahakama amewahi sababisha vifungu vya katiba kubadilishwa na sasa baada ya maamuzi yoyote ya Mahakama yatasababisha katiba kubadilishwa... ukilinganisha na akina Lipumba jamaa yuko juu.
 
Je ni kweli alishakula hongo ya Mhindi?Kama ni kweli basi hana msimamo!Ni kama Mrema tu.
 
Hii serikali yenu nayo! pini ya mgombea binafsi imewakaa na roho,wanawehukwa tu...haya tusubiri tuone hizo frame up charges.
 
Mtikila is a fine guy, ni mkombozi wa taifa hili katika utetezi wa demokrasia, lakini pia he is not normal, there is something wrong with him, ukimsikiliza tuu, utaelewa, mimi namkubali sana japo pia natambua he is insane.

Mtikila ni normal person, na anapigania kuleta madadiliko ya kisiasa TZ kwa njia tofauti na wale wapinzani wanaoonekana ni normal. Mafanikio yake wengi tumeyaona au kusikia.
 
Back
Top Bottom