Nimekutana na hii habari katika Michuzi Blog na kujikuta nikijiuliza maswali kadhaa:
1. Ni haki kwa mfanyabiashara binafsi kutumia Mali ya Umma kukopa benki?
2. Kama hii kampuni ikifilisika...
Investors reject Tanzania's "distorted" mining law
Reuters, Wednesday April 28 2010
* Mining companies slam new mining law
* Minister says companies acting like spoilt child
By...
Mashati ya rangi ya kijani,Khanga na Tshirt za UWT pamoja na wanafunzi wa kike kutoka shule mbali mbali Jijini Dar wamejazana Blue Pearl Hotel Ubungo Plaza tangu asubuhi...
Imenichukua zaidi ya siku mbili kuitafakari riport ya REDET waliyoitoa juzi kuhusu mwelekeo wa siasa nchini, mwanzo nilikuwa siiamini lakini nilipoiangalia kwa undani nimeona kuna ukweli fulani...
Kwa mara ya kwanza, wagombea uwaziri mkuu wa Uingereza walikutana ktk mdahalo na kuelezea sera zao na maono yao ya jinsi na wapi wanataka kulipeleka taifa lao kama wakibahatika kuchaguliwa...
WABUNGE 143 kati ya 232 wanaotoka katika majimbo ya uchaguzi hawachaguliki, hivyo ni vigumu kurejea bungeni baada ya uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu, kwa mujibu wa utafiti...
Hii ni makala katika The East African la wiki hii, nimeiweka hapa ukumbini tuweze kuijadili. Hawa jamaa wa Nation media siku za nyuma mtazamoa wao kwa JK haukuwa positive na hivi tunaelekea kwenye...
Thursday, April 29, 2010 1:34 AM
Ilimbidi spika wa bunge la Ukraine aombe hifadhi chini ya miamvuli kujikinga na mayai aliyokuwa akivurumishiwa na wabunge kabla ya wabunge wa chama tawala na cha...
Naomba wadau tuangalie vyanzo vya fedha vya CCM kwa ajili ya kununulia Kapelo, Pilau, T-shirt na kadhalika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na madhara yake, Mimi nimejaribu kuangalia vyanzo hivi...
WIKI chache kabla ya mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Sophia Simba kufanya ziara mkoani Arusha, mambo si shwari ndani ya umoja huo mkoani hapa baada ya wanachama kujipanga kuwashitaki...
Hivi sasa kuna harakati za uchaguzi katika chuo cha mzumbe lakini cha kujiuliza ya kuwa kwanini wasomi wetu tuliotarajia watoe mfano bora kwa kuchagua watu kwa sera na si nini wamewapa ...
Mimi si mwanasiasa na kwa bahati mbaya sana nimejikuta nikiichukia siasa kutokana na ulaghai na majigambo ya baadhi ya wanasiasa wa Tanzania. Nikiwa mkazi wa jimbo la kawe nimefikia mahali...
Katibu wa Kikwete aibuliwa jambo zito
*Adaiwa kuanza kampeni za ubunge kwa jina la Ikulu
*Akanusha kudai kuandaliwa Uwaziri Mkuu
WAKATI mjadala wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ukiwa...
Mgomo ulioitishwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umeingia dosari baada ya kubainika kutokuwa na tija kwa uchumi wa nchi na ustawi wa jamii.
Ikiwa mgomo huo unaotarajiwa kuanza...
Utafiti wa kura za maoni uliotangazwa na REDET umeonyesha kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo, CCM na Kikwete wangeshinda kwa zaidi ya asilimia 70.
Sources: Channel Ten, StarTV, TBC
VUTA nikuvute kati ya viongozi waandamizi wa Chadema wilayani Same mkoani Kilimanjaro iliibuka juzi wakati walipolumbana hadharani wakigombea kubaki kwenye kikao cha ushauri cha wilaya hiyo huku...
Mbio za urais za Bilal zaanzia Ikulu Dar
Na Patricia Kimelemeta,
Mwananchi
WAZIRI kiongozi wa zamani wa Zanzibar, Dk Mohammed Ghalib Bilal ameweka bayana nia yake ya kuwania tena kiti cha...
Zitto aenda kutibiwa Ujerumani
Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe, amekwenda Ujerumani kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa mwishoni mwa wiki akiwa bungeni mkoani...
On behalf of President Obama and the American people, I congratulate the people of the United Republic of Tanzania as you celebrate the forty-sixth anniversary of the union of Tanganyika and...