Bado mkanganyo mkubwa Kura ya Maoni ZANZIBAR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado mkanganyo mkubwa Kura ya Maoni ZANZIBAR

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by stringerbell, May 11, 2010.

 1. stringerbell

  stringerbell Member

  #1
  May 11, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAMAD2010
  WAUNGWANA ZA KALE.
  MIMI NAOMBA BAADA YA MUDA MREFU NIINGIE KWENYE JAMVI HILI NIKIWA NA MAWAZO YAFUATAYO NA STRICTLY HAYA NI MAWAZO YANGU NA ATAKEONA MIMI BADO NI MJINGA AU SINA ELIMU KAMA YAKE HASA YA UELEWA BASI ANISAMEHE.
  KWANZA NAOMBA KUUNGANA NA SHEIKH ALI SALEH INGAWA KIDOGO NITATOFAUTIANA NAE.
  NA HII NI KWA SABABU SISI CUF SIKU ZOTE TUNALICHUKULIA KILA JAMBO LETU LWAMBA NI SAHIHI NA KILA MTU NI LAZIMA ALIELEWE KWA KIWANGO KILE KILE WANACHOELEWA AU KUTAKA VIONGOZI WETU.
  KWENYE HILI, MIMI NAOMA KUSEMA HIVI, KWANZA NI UKWELI KWAMBA HOJA YA KURA YA MAONI NI CONCEPT MPYA KABISA KWA WATU WENGI HASA KWA GENERATION HII, WENGI WA VIJANA WETU HUWA WANAPENDA KUJIONYESHA KWAMBA NI WA JUZI WA KILA KITU, ILA NI UKWELI KWAMBA WENGI WAO HAWANA UELEWA WA KUTOSHA JUU YA HILI, HIVYO HOJA YA KUWAPA WATU WOTE ELIMU NI SUALA LA MSINGI NA TUSICHUKULIE KWAMBA UELEWA WA WATU WOTE NI SAWA, INGAWA KWETU SISI TUNAPENDA TULISUKUME HHILI ILI TUKIDHI MATAKWA NA MATASHI YETU YA KUWA KWENYE SERIKALI, LAKINI NI UKWLEI KWAMBA CONCEPT HII KWA WATU WETU WENGI, BILA YA KUJALI CCM AU CUF, HAWALIELEWI VYA KUTOSHA, NA KWA MAANA HII HAWAJUI HASA FAIDA NA KHASARA, ZAIDI YA HILI TUNALOWATAKA WAAMININ KWAMBA SERIKALI YA MSETO NI PEPO ISYO SHAKA KWA MAISHA YAO, MIMI NAOMBA TULIO WENGI TUAMINI KWAMBA WATU HAWAKO HIVYO NA NI NGUMU KUIPOKEA HII UNLESS WAPEWE ELIMU TEN YA KUTOSHA ILI WAPATE KUFANYA MAAMUZI YA KWAO WENYEWE TENA BILA YA PRESURE.
  PILI:
  HOJA YA UPATIKANAJI WA TAARIFA YA HOJA YENYEWE, NI WATU WACHACHE SAAN WEBYE ACCESS YA KUPATA TAARIFA ZA UKWELI NA ZA UHAKIKA JUU YA HILI, HIVYO KUWAPA ELIMU NI PAMOJA NA KUWAPA TAARIFA ZA UHAKIKA JUU YA JAMBO LENYEWE ,MANA UKWLEI KWA KAULI ZA MITAANI KILA MTU ANA UFAHAMU WAKE NA HII NI KUTOKANA NA NJIA ZA MAWASILIANO KATI YETU SOTE. HIVYO NI VYEMA TUONE NA TUKUBALI SIO WATU WENGI WENYE KUPATA TAARIFA ZA UKWELI NA UHAKIKA ,INGAWA SISI WACHACHE TUNGEPENDA TUJIAMINISHE KWAMBA WATU WOTE TAYARI WANAJUA KILA KITU BALI HAWATAKI KUFUATA TUNAYOTAKA KWA FAIDA YAO WENYEWE, HILI NI KOSA NA KILA SIKU LINATUPA GHARAMA HASA SISI CUF MANA TUMEZOEA KULAZIMISHA KILA TUNALOLLITAKA, MFANO, UTAMSIKIA KILA MWANA CUF KWAMBA NI KHARAMU KWA MPEMBA KUWA KWENYE CHAMA CHENGINE ZAIDI YA CUF, HIVYO TUJIULIZE KWANI CHAMA CHETU NI DINI YA KIISLAMU MANA HII NDIYO DINI YA HAKI KULIKO ZOTE NA IMEANDIKWA, HIVYO SISI TUMEKUWA NA TABIA HII AMBAYO KI UKWELI TENA BILA YA UPENDELEA NI TABIA MBAYA NA HAIJENGI WALA KULEA MISINGI YA DEMOKRASIA, ZADI NI ULE ULE MTINDO TUNAOUKATAA KWAMBA NI MTINDO WA KULAZIMISHA AU KWA JINA JENGINE NEO DICTATORSHIP.
  TATU:
  UWASILISHWAJI WA HOJA TOKA KWA VIONGOZI KWENDA KWA WANANCHI.
  NI UKWLEI KWAMBA SISI TULIOLIANDAA HILI WA PANDE MBILI TULIPENDA KILA MTU ALIELEWE KWA HARAKA NA IKIWEZEKANA ALIUNGE MKONO KAMA TUNAVYOTAKA, ILA UTARATIBU UNAOTUMIKA NA NGUVU ZINAZOTUMIKA KULIPELEKA KWA WATU, HILI LINATIA MASHAKA, MFANO, VIONGOZI WENGI WA CCM, UKIANZA NA KARUME KILA WANAPOKWENDA WANALIZUNGUMZA HILI ,LAKINI MAPOKEO YA HOJA HII KWA WANA CHAMA WAO NI TOFAUTI, LAKINI PIA JINSI WANAVYOLITETEA NA KUTAKA LIKUBALIKE KWA NGUVU LINALETA MGAWANYIKO,LAKINI KUBWA ZAIDI LINAJENGA TASWIRA YA KUKATALIWA ZAIDI KULIKO KUKUBALIKA, MFANO. KARUME AMEZENGUMZA NA WANACHAMA NA VIONGOZI WENZAKE MARA MBILI NA MARA YA MWISHO ALIFIKIA KUWAMBIA WENZAKE ATAWAUMBUA WALE WASIOLITAKA NA KULIUNGA MKONO, SASA HAPA NDIPO KWENYE HOJA, KAMA KWELI WALIKUBALIANA KWA NIA MOJA, IWEJE TENA WAANZAE KUONANA WASALITI NA WASIOPENDA MABADILIKO JUU YA HOJA MOJA? HIVYO KI UKWLEI UKILIANGALIA UTAGUNDUA CCM HAWAKULIKUBALI HILI NA HAWAKUWA WANAZUNGUMZA LUGHA MOJA, ILA ZAIDI NI KUTUMIA VIKAO VYAO KULAZIMISHA JAMBO HILI NA NDIO MAANA PAKAZALIWA MAKUNDI MAWILI HADI MATATU NDANI YA HOJA MOJA. AIDHA HAJA YA KARUME YA KUTAKA KILA MTU APIGE KURA YA NDIO NA KUONYESHA ANAVYOKERWA NA WENZAKE WASILIUNGA MKONO NA KWAMBA NI LA WATU WOTE KWA FAIDA YA WOTE, LAKIN WAKATI HUO HUO, AHADI NA MAKUBALIANO NI KWAMBA WANANCHI WATAAMUA WENYEWE NA MAAMUZI YAO NDIYO YATAKAYO HESHIMIWA, LAKINI UKIONA JINSI WALIVYOGAWANA NA WANAVYOPATA TABU KUWASHAWISIH HATA WANACHAMA WAO, AU KUPINGWA N WANACHANA WAO WENYEWE KWENYE KILA NGAZI UTAONA JINSI HOJA YA KUWAPA WATU ELIMU NA UHURU WA KUAMUA INAVYOLETA UMUHIMU, VYENGINEVYO TUNATENGENEZA MGOGORO MWENGINE, NA KAMA TUSIPOKUWA MAKINI TUTAKUWA TUNATENGENEZA KUNDI MOJA LINALOLETA MAWAZO YAKE NA KUDHANI KWAMBA KILA MTU NI LAZIMA AYAKUBALI, JAMBO AMBALO SIO LA HAKI NA SI SAWA KUWALAZIMISHA WATU KUKUBALI NA KUFUATA UNAYOYATAKA.
  HOJA YA NNE:
  KWA KAWAIDA, KAMA SERIKALI INAHITAJI JAMBO LAKE NA ILISHAFANYA MAAMUZI BASI INAKUJA NA KITU TUNAKIITA WHITE PAPER, HII MAANA YAKE SERIKALI INAKUJA NA MSIMAMO WAKE NA HIVYO HOJA YA KUILETA KWA PRETEXT YA KUWAPA WATU MAMLAKA YA KUAMUA BASI NI VYEMA UWAPE ELIMU NA WAJUE FAIDA NA KHASARA NA WAMUE NA SISI TUHESHIMU MAAMUZI YAO, NA SIO MTINDO HUU UNAOONYESHWA NA WENGI WETU KWAMBA KILA ASIYETAKA AU KULIKUBALI BASI NI MBAYA NA HAITAKII MEMA ZANZIBAR, HUU NI UDIKTETA NA NI ULIMBUKENI. KAMA NILIVYOSEMA KARUME NA TIMU YAKE KUBWA ANAYOAMINI KWAMBA INA UWEZO WA KUSHAWISHI, UKWLEI NI KWAMBA TIMU YOTE ALIYONAYO HAINA UWEZO WA KUSHAWISHI ZAIDID NI KULAZIMISHA, MUANGALIE MTU KAMA FERUZI, HUYU NI KIONGOZI KWA MUJIBU WA KATIBA YAO, LAKINI FERUZI HAKUBALIKI HATA NA TAWI LAKE PALE KISIWANDUI AMBAPO YEYE NDIYE NAIBU WAO NA KIONGOZI MKUU UKITOAK KARUME,M LAKINI KWA SABABU, KAMA AMBAVYO TUNAVYOWAONA SISI VIONGOZI WA CCM KWAMBA HAWANA UWEZO BASI NA WANA CCM WANAWAONA VIONGOZI KAMA KARUME NA FERUZI HAWANA UWEZO NA SIO WA KUWAAMULIa mambo yao. HII MAANA YAKE HAWANA NGUVU NA MVUTO KWA WANACHAMA WAO WENYEWE, ANGALIA MTU KAMA MOHD ABOUD AMETUMWA KWENDA PEMBA KUFANYA KAMPENI, LAKINI AMESHINDWA KUWASILISHA HOJA IKAELELWEKA NA ALILAZIMIKA KUAMBIWA HOJA YA MSETO AENDE NAYO NAKWAMBA KURA YA MAONI AKAPIGE YEYE NA FAMILIA YAKE, HII SIO KWAMBA HAWAMTAKI, ILA HAWAJAELEWANA KWA IMANI YA WANA CCM PEMBA NI KWAMBA BILA YA KUWA NA SERIKALI YA CCM PEKEE BILA YA CUF NDIO USALAMA WAO, NA KWAMBA WAO WANA CCM WA PEMBA WANAAMINI BILA YA CCM PEKEKE MAISHA YAO YAKO TABUNI NAK WAMBA MASHAKA,MADHILA NA MATESO WANAYOYAPATA TOKA KWA CUF PAMOJA NA KWAMBA HAIPO MADARAKANI, HAIWAPI MWANGA KWAMBA WAKINGIA MADARAKANI WATAKUWA NA RAHA YA MAISHA, NA KWAO WAOCC WA PEMBA BASI CUF KWAO NI MATESO NA WANA KILA SABABU YA KUONA WKAMBA MSETO AU KURAA YA NDIO KWAO NI KUWALAZIMISHA, NA HIVYO WAMEWAMBIA WAZI VIONGOZI WAO KWAMBA KURA WAKAPIGE WAO NA FAMILIA ZAO, ILA WAO HAWATAKI.
  SASA HII SI WKAMBA HAWATAKI, ILA KWA SABABU, HAKUNA KIONGOZI WA CCM MWENYE UWEZO WA KUWA WIN NYOYO ZAO NA KUBWA KUWEZA KUWATHIBITISHIA KWAMBA HILI LIKITOKEA NI USALAMA ZAIDI KWAO. BALI WANACHOONA SASA NI KULAZIMISHWA NA NDIO MAANA WAMEJENGA UKUTA WA KUTOKULIKUBALI HILI.
  HIVYO PAMOJA NANGUVU KUBWA INAYOTUMIWA NA VIONGOZI WAO, LAKINI BADO HALIJAELEWEKA NA UWEZEKANO WA KUKATALIWA NI MKUBA, NA HILI NI TATIZO KUBWA KWA CCM/CUF NA ZANZIBAR KWA UJUMLA, MAAMNA YAKE TUNAELEKEA KWENYE HUNG VOTE.
  HOJA YA TANO.
  NI UKWLEI KWAMBA KARUME AMETUMIA MAGUVU SANA KULITETEA HILI, LAKINI HAJAONYESHA UKAOMAVU NA UELEWA WA NINI HASA HATA YEYEY MWENYEWE ANATAKA TOKA KWA WANACHAMA WAKE, NA NDIO MANA SASA ANAONA KAMA VILE WATU HAWAMUELEWI, NA SASA AMEAMUA KUTUMIA VITISHO, JAMBO HILI LINAMUWEKA PABAYA, NA NI UKWELI KWAMBA KARUME HANA CALIBRE YA KUELEWA HASA WATU WNA HISIA GANI AU NJIA GANI ATUMIE ILI KUWASILISHA HOJA YAKE NA ATUMIE NJIA GANI ILI IKBALIKE, NA NDIO UTAONA SASA AMEANZA KUTAFUTA MCHAWI NA KWAMBA KAAM HUKUPIGA KURA YA NDIO WEWE NI MSALITI NAKWAMBA AKIKUJUA ATAKUTAJA HADHARANI KAMA NI TRAITOR, HII MAANA YAKE NI KWAMBA ANGEPENDA HOJA YAKE ISHINDE KWENYE KURA, ILA NJIA MUAFAKA ZA KUSHAWISHI, LAKINI PIA KUELEWA KWAMBA, KUWA KWENYE CHAMA KIMOJA HAINA MAMANA KWAMBA KILA UTALOLITAKA WEWE KIONGOZI NI LAZIMA WATU WAKO WALIKUBALI AU WALIELEWE KAMA UNALOLITAKA WEWE, MAANA YAKE BADO JARUME PAMOJA NA KUWA RAIS AU KIONGOZI WA CCM KWA MIAKA KUMI SASA BADO HANA UELEWA HASA WA NINI MANA YA POLITICS NA NI VIPI ANAWEZA KUTUMIA USHAIWISHI KUJENGA HOJA BILA VITISHO, LAKINI PIA KUELEWA KWAMBA IN POLITICS KUNA NJIA YA KUKBALI NA KUKATAA, LAKINI PIA IPO YA KUWAACHA WATU WAAMUWE WENYEWE, YEYE AMELEWESHWA NA MADARAKA NA ANADHANI KWA KUWA KWAKE RAIS BASI ANA UWEZO WA KUWALAZIMISHA WATU WOTE KUFANYA LILE WALITAKALO.
  LAKINI KUBWA ZAIDI NI UWEZO WAKE WA KUPAMBANUA MAMBO YA WENGI KWAMBA NI MDOGO NA BAHATI MBAYA, TENA MBAYA SANA HANA WASHAURI WAZURI WA KUMSHAURI AU HAFUATI USHAURI WA WATU WAKE AKIAMNI KWAMBA HE IS ALWAYS RIGHT.
  HIVYO. NIKIJARIBU KWA UFUPI TU KUSEMA NI KWAMBA HOJA YA KUWAPA WATU ELIMU NI MUHIMU NA KWAMBA NI VYEMA TUAMINI NA TUELEWE NA KUKUBALI KWAMBA WATU WANAHITAJI ELIMU YA KUTOSHA NA KWAMBA SIO KWELI KWAMBA WATU WOTE WANAELEWA NINI WAKUBWA WETU WANACHOKITAKA NA KUKIONA,HIVYO TUNA WAJIBU WA KUWAPA ELIMU YA KUTOSHA,NA TUSI ASSUME KWAMBA KILA MTU ANAELEWA TENA KWA KIWANGO KILE AMBACHO SISI TUNAKITAKA.
  MWISHO KWA KUWA HATA VIONGOZI WETU WALIOLETA HOJA HII HAWAJUI KWAMBA IMWKUJA KWENYE MFUMO WA REFERUBDUM, INGAWA KI UKWELI REFERUNDUM HUWA HAIITISHWI NA SERIKALI, BALI NI WATU WENYEWE, HIVYO KWA KUWA IMEITISHWA CHINI YA JINA LA REFERUNDRM, HIVYO NI VYEMA WATU WENYEWE WAKAACHIWA KUAMUA, NA SIO KWA MTINDO HUU, MANA TUNAWALAZIMISHA WATU KUFANYA LILE TULITAKALO NA SIO MAAMUZI YAO. HIVYO NI VYEMA TUKAKUBLIANA NI VYEMA TUWAPE WATU ELIMU NA MALAKA YA KUAMUA WENYEWE NINI WAFANYE BADA YA KUWA LAZIMISHA JUU YA HILI.
  MIMI NAPATA TAABU KUJITOFAUTISHA AU KUTOFAUTISHA KATI YA UONGOZI WA CCM NA CUF, HASA LINAPOKUJA SUALA LA LUWAPA WATU HAKI YAO YA KUAMUA NINI WANACHOKITAKA, SISI HUWA TUNAAMINI KWAMBA VIONGOZI/KIONGOZI IS ALWAYS RIGHT. KUMBE KWA KAWAIDA KIONGOOZI HAJAWAHI KUWA SAWA UNDER THE EYES OF THE PEOPLE HASA LINAPOKUJA SUALA LINALOWAHUSU WAO MOJA KWA MOJA NA FAMILIA YAO, LAKINI KUBWA KAMA HILI LINALOHUSU KUBADILISHA MFUMO MZIMA WA UONGOZI NA UTAWAL WA CHI.
  JAMBO HILI TUSILIBURUZE NA TUKAWALAZIMISHA WATU.LITAZALISHA KUNDI JENGINE TENA KUBWA , MANA HILI NI GENI KWA CCM WALIOZOEA KUTAWALA, LAKINI NI GENI KWETU PIA TUNAOAMIN KWAKMBA SISI PEKE NDIYO TUNAOJUA KUONGOZA /KUTAWALA NA KWAMBA TUTAKAPOINGIA SISI BASI NCHI ITAGEUKA PEPO.
  TWENDE NALO TARATIBU NA TUTOE NAFASI YA KUTOSHA ILI WATU WAAMUE WAKIJUA NINI WANACHOAMUA NA NINI HASA KHATMA YA MAAMUZ YAO.VYENGINEVYO TUNARUDISHA MAPINDUZI MENGINE YA 1964, NA HAYA YANAWEZA KUWA MABAYA ZAIDI KULIKO TUNAVYOJUA, ILA HILINDILO NNALOGOPA KULIGUSIA MAANA KWA KAWAIDA MIMI NAKUWA MKOROFI NA MARA NYINGI KWA KAULI YA RAFIKI YANGU MRFROASTY MIMI NI SHEIKH YAHYA/MNAJIMU.
  A/ALAIKUM. MNISAMEHE WALE NTAKAOWAKWAZA.
   
Loading...