Mandatory Life Sentence or Capital Punishment for Corruption exceeding 1Million USD? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mandatory Life Sentence or Capital Punishment for Corruption exceeding 1Million USD?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, May 11, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Should we create a mandatory sentencing of either Life in prison (with hard labor) or capital punishment for public officials found guilty of corruption that involve the loss, missuse or embezzlement of monies exceeding 1Million USD? At the same time create mandatory 14 years sentence for ANY amount below that? Would that be excessive, harsh or unreasonably extreme?
   
 2. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2010
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji,

  I have never supported DEATH PENALTY. But I have strong conviction that was I to be in a decision making positon in my country, I would WHOLEHEARTEDLY support Death Penalty for ALL corruption Offences. Indeed that would be the ONLY offence to carry Capital punishment once an alleged perpetrator of such a crime has undergone due process to determine his/her guilty. I dont regret for this support, rather I strongly feel that Africa, kwa hapa tulipo, we really need to discard these niceties of human rights from western liberals.

  Remember: Africa is the ONLY continent which has been condemned to develop while observing human rights. Not Europe, not America..no body...(among the developed countries) reached where they are..by taking into account human rights. Wanaotuibia kidogo tulichonacho..watundikwe shaba tu

  Masanja
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,231
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji, Hata wewe unathaminisha uhai wa binadamu kwa thamani fedha!?. Mimi ni miongoni mwa wanao support capita Punishment ifutwe. Kama Caini alifanya mauaji ya nduguye Abeli and God spared him, mwanadamu ni nani atoe maisha ya binadamu mwenzake kisa kaiba mamilioni ya fedha tuu?!. Kama mleta uhai ni .ungu pekee, tumwache yeye awe ndiye mtoa uhai na sio binadamu.
  Naelewa uchungu ulionao dhidi ya mafisadi ila kwangu mimi mafisadi nao watu wanastahili kuishi tena afadhali mafisadi wa EPA wameiba fedha za kulipa madeni ambazo sio zetu kuliko mafisadi wa siasa wanaokomba mamilioni ya posho za safari kutwa kuchwa wakiponda maraha hoteli moja hadi nyingine, nchi moja hadi nyingine, lakini kuwalipa wafanyakazi wako angalau mishahara ya kujikimu, unawagomea!.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  At least waswekwe lupango kwa muda utakaoridhisha na hatua zichukuliwe kurudisha fedha za umma ili hata watakapotoka jela wasifaidi matunda ya wizi wao. At least.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  May 11, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  That's very reasonable to me because honestly, if it were up to me they would have to face a firing squad.....we can't have these thieves living a life of luxury at the expense of us. Just shoot them all or fry them...either way I don't care.
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Life sentence for Chenge and his allies should be mandatory.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  May 12, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nina support adhabu ya kifo ifutwe, na ninazo sababu zangu zaidi za kifalsafa (siyo za kidini) za kufanya hivyo. Lakini kabla haijafutwa itumike kwanza kwa muda dhidi ya mafisadi.

  Lakini Mungu hakumuacha Kaini aendelee tu kuishi huru; he didn't spare him he punished him severely by making him the first outcast! Tukifuata mtindo huo mafisadi wote tuwatenge kwa maisha yao kwa kuwatupa kwenye kisiwa kimoja ambako watatafuta wenyewe jinsi ya kuishi na wanaweza wakajipatia "wake" huko kama alivyofanya Kaini - msiniulize watatoka wapi!

  Kanuni hii kwa juu juu inaonekana ina mantiki, lakini Mungu ametupa uwezo na ukisoma maandiko utaona kuna wwakati ambapo Mungu huyo huyo aliruhusu mafisadi wauawe- kwa mikono ya wanadamu wengine.

  Kama siyo "zetu" kwanini hatuwaachii tu! hii ni dhana mbaya sana kwa sababu kama hatuwezi kulinda cha mwingine tutaweza kweli kulinda cha kwetu?

  Ndiyo maana napendekeza kuwa na mandatory sentences kama miaka 7, 14, maisha na kifo (au kuwaweka kwenye shimo fulani hivi ambapo hawatoki hadi vifo vyao vya asili)
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  May 12, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Lol thats funny
   
 9. mazeea1

  mazeea1 Member

  #9
  May 12, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  a person that steals any public funding or prevents any kind of development through corruption is not any different from a murderer!! look at it from this point of view: if someone somehow creates a situation which causes antimalarial drugs not to reach kigoma, people will die there! if a road is not built somewhere in the rural interiors, a woman in labor might end up losing her child because she couldn't reach a hospital in time etc so yes, maximum measures is the only solution since we wabongoz are so wagumu wa kuelewa tukiambiwaga!! Mwendo wa vitanzi tuuu!!!
   
 10. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2010
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Let's think of crossing the river when we reach the bridge!
  Do you think our legal system (especially DPP) is capable of leading to conviction?
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,231
  Trophy Points: 280
  Lebabu, leading to conviction ya nini, hakuna kitu pale!, kwa kifupi hakuna kesi, hizo unazoziona zikitajwa tajwa ni zuga tuu. Kwani hujui ni Kagoda ndio imemuweka Mkulu pale Magogoni?. Mwizi mkubwa wa EPA ni Jeethu Patel na nduguye Subhas Patel, huyo Jeethu ndiye mwenye Golden Tulip na tenda ya kuendesha kilimo kwanza. Subhas ndiye amemilikishwa Bwagamoyo anayejenga chain ya Mahoteli na kumjengea Mkwere hekalu la 'asante'. Nani awe convicted kwa kosa lipi?, nadhani labda ndio maana Mwanakijiji akashauri wanyongwe!.
   
 12. d

  dullymo Senior Member

  #12
  May 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  ndugu zangu sheria ya kifo ni the best one but kutegemea na kosa sio kila kosa kwa kuwa kubwa basi mtu auawe.
  mie ningesuggest ipitishwe sheria ya kiisilamu kwa majaribio japo kwa mwaka mmoja tu tuone kama itasaidia kuounguza wizi au la. na sheria hiyo inasema MTU AKIIBA ANAPASWA KUKATWA MKONO. but kama ilivyo sheria nyingine sio tu mtu kamsingizia wizi adui yake unamkamata kisha unamkata mkono bila ya kufanya uchunguzi na kujua sababu ya kuiba kwake na kama kaiba kweli au la.

  Kwa sababu WEZI WOTE WANAIBA KWA KUTUMIA MKONO ndio maana sheria hii inasema akatwe mkono. MAFISADI wamesaini mikataba ya wizi kwa MKONO, majambazi wanatumia mikono kubeba SMGs, vibaka wanakaba kwa kutumia MIKONO. so sidhani kama wakiwa hawana japo mkono mmoja kama wataweza kufanya upuuzi wao.

  ni maoni tu broz n sisz
   
 13. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Panga foleni wote kisha kama enzi mgambo vile,kila mtu alenge jichoni tu.
   
 14. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #14
  May 12, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0

  Pasco niko pamoja na wewe.Uhai wa mwanadamu unathamani zaidi ya fedha,haulinganishwi na kitu chochote..Na hata tukiamua kuwa watu wanyongwe hivi is true kuwa ndio itafanya watu wasiibe?hivi ni kweli China ni wasafi kwa asilimia zote?mbona dini zote zinakataza kufanyana dhambi na bado watu tunafanya dhambi kila inapoitwa leo?tena dhambi mpaka kwa watu wanaojiita viongozi wa dini,tena wanafanya dhambi za kutisha pamoja na kwamba kuna baadhi ya madhehebu wanawatenga watu wanaopatikana na hatia..Tatizo la wizi na rushwa halitamalizika kwa adhabu yeyote ile,iwe kifo ama adhabu ya aina nyingine mi naamani ni katika malezi tu,ambayo nchi inapaswa kutulea nayo tangu tukiwa wadogo..Lakini kwa kuwa tumeshachelewa katika malezi basi wale wanaokutwa na hatia ni kuwa very serious kuwawajibisha pamoja na kutaifisha mali zao zote kabisa..lakini Kifo no,no,no..
   
 15. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Pasco
  Mwanadamu ni mnyama wa ajabu sana kwa sababu kuu moja. Nayo ni kuwa na akili na uwezo wa kutawala wanyama wote na mazingira yao. Mwanadamu huyuhuyu kiasili ameumbwa na tamaa, tamaa ya kutaka kufanya kila awezalo ili aweze kuishi maisha mazuri hapa duniani, kwa ajili hiyo basi mwanadamu huyu huyu wakati mwingine husahau kuwa kwa kuendekeza tamaa aliyonayo matendo yake yanaweza kuwa yanawaathiri viumbe wengine na hata binadamu wenzake.

  Mwanadamu huyuhuyu akishajua kuwa matendo yake yanaweza kumuathiri yeye mwenyewe kwa kiasi kikubwa basi hapo huchukua tahadhari ambayo huenda ikamnusuru yeye na viumbe wengine wanaomzunguuka kutokana na matendo yake. Pindi mwanadamu akifahamu kuwa kwa kufuja mali ya umma kitendo chake kinafanya, barabara ziwe mbovu na kusababisha ajali na vifo, hospitali kukosa huduma bora, nchi kukosa fedha za kuwalipa vizuri wafanyakazi hivyo hufanya kazi kwa shingo upande na kutokuwa makini na hata kuchukua rushwa, basi mwanadamu huyo anakuwa amekosa sababu za yeye kuwa sehemu ya wanadamu wenzake, kama ingekuwa nyoka au simba tungemuua, mwanadamu wa aina hii kweli anatakiwa kuwekwa kwenye fungu la wanyama kama nyoka wenye sumu kali au Simba wala watu. Njia pekee ya kuepukana nao ni kuwaua (Capital punishment)

  Adhabu ya kifungo cha maisha au kifo itakuwa na sababu tosha ya kumfanya huyu mwanadamu mwenye tamaa ambayo anasahau kuwa matendo yake yanaathiri viumbe wengine kumfanya akumbuke athari hizo na kuogopa kufanya matendo hayo kwani yeye pia atakuwa ni muathirika wa tamaa yake. China wameweza kuja kasi kutokana na kumfanya mwanadamu huyu kuwa victim wa tamaa yake ambayo inaathiri viumbe wenzake na mazingira.

  Wasiwasi wangu ni kuwa Tanzania's legal system haipo clean enough kutoa haki, haki tupu kwa sababu zilezile za tamaa (rushwa mahakamani) na hivyo kutoa mwanya kwa wachache kutumia sheria hiyo kwa visasi n.k . Wakati wa mwalimu kulikuwa na ufuatiliaji wa mali za watumishi wa uma na kuzitaifisha kama zinazidi uwezo wa kipato chao kitu ambacho kilikuwa na ufanisi ila kwa sasa sijui kama hilo linawezekana. Miiko ya viongozi ilikuwa sababu tosha ya kuwakamata hawa binadamu wenye tamaa (Kama vile usiwe na hisa kwenye kampuni binafsi, usiwe mfanyabiashara ambayo itakuweka wewe kwe advantage kutokana na maamuzi yako(Conflict of interest))
   
 16. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kuwafunga ni kuitia hasara serikali. Kuwanyonga ni kinyume cha haki za binadamu. Suluhisho ni kutunga sheria ya kuwafilisi mali zao hili waanze maisha upya. Nafikiri hii ni adhabu tosha!
   
 17. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2010
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good idea Mwanakijiji. Unfortunately it wont work because almost everybody in our country is corrupt!! The ill-gotten proceeds of the "Grand-Corrupt" trickle down to the ordinary wananchi. Therefore, corruption is the lifeblood of our country.
   
 18. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2010
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, Bunge gani litatunga hiyo sheria?
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Laws are useless if there is no one willing to enforce them.
   
 20. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  La 2010 kama tukiwa makini katika kuwachagua wazalendo wenye uchungu na nchi hii. Mabadiliko yataanza na sisi hapa jamvini.
   
Loading...