Kati ya ahadi zaidi ya 40 alizotoa JK mwenyewe ni ngapi ametekeleza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya ahadi zaidi ya 40 alizotoa JK mwenyewe ni ngapi ametekeleza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, May 11, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  HakiElimu wamejitahidi kukusanya na kuchapisha ahadi za serikali ya JK zikiwemo alizotoa yeye mwenyewe.

  Source: HakiElimu
   

  Attached Files:

 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kwenye mahojiano kati ya JK na a BBC tarehe 24 Sept 2006 alisema kama inavyoripotiwa hapa: Kikwete promised to fight corruption and will not shy away from dealing with
  corrupt leaders in his government even if they are his good, long-term friends. He also promised
  to increase the salary of low level governmental officials so that they may be able to meet their
  needs lest they get tempted to be involved in petty corruption.

  Source: HakiElimu, 2006.

  Haya akiongea na wazee wa DSM kajigeuka mwenyewe katika suala la kuongeza mishara ya wafanyakazi wa chini. Haya amekwisha mshughulikia mla rushwa gani mkubwa ambaye ni rafiki yake wa siku nyingi ambaye hawajakutana barabarani?
   
 3. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ameshindwa kuwashughurikia wakurugenzi wa PPF waliojichotea vijisenti kila mmoja kati ya mil. 130 na 220 kama pension huku wakiwa kazini. Hivi sasa wana safiri nje ya nchi kama vile wanaenda Manzese kwa kujilipa dola 600 kwa siku kwa wiki mbili hadi tatu. Hivi hizi fedha zikiokolewa Wahadhiri wa vyuo vikuu wasingerekebishiwa PENSIONS zao? Serikari ichunguze UFISADI ndani ya PPF pamoja na manyanyaso ya wafanyakazi wadogo.
   
 4. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kikwete si WOZOZA
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tafadhali mkuu mimi si Kikwete!
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  We jail the petty thieves and appoint the great ones to public office. That's what his promise on corruption has amounted to.
   
 7. A

  Alpha JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  They wish they were jailed... More often than not they are beaten to death.
   
 8. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hamnazo huyooo
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  May 11, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Akishughulikia wala rushwa wakubwa atarudi vipi madarakani?
   
 10. m

  mapambano JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yeye mwenyewe ndio fisadi no. 1
   
 11. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkuu nikuulize wategemea nini kama haya yote yanaamuliwa na akina Luhanjoo na yeye kufikishiwa tuu mezani mwategemea nini Hapo IKULU kuna mambayuwayu sana kuan tatizo hapo jamani IKULU NI MAHARI PATAKATIFU SI MAHALI PA WALANGUZI sasa kama hao waliowekwa hapo na hawajui kama IKULU ni patakatifu mwategemea nini?

  Mijitu haiju hata kutunza kumbukumbu za safari za rais na mikutano yote ya rais anayo hojiwa huko nje na ndani ya nchi kwa reference tuuu ili kujiridhisha hawapendi why?
   
 12. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Asante sana HakiElimu,

  Huu ni mtaji mkubwa sana kwa upinzani.... sasa mkishindwa kutumia hii kuiondoa CCM majimboni itachukua muda sana kufanya hivyo!

  Mimi nashukuru sana HakiElimu, maana hii itazuia wanasiasa kubwatuka ovyo kwa wananchi.
   
 13. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2010
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kikwete hakuna kitu jamani
  Kuliko kuwa na president kama kikwete ni bora nchi ibaki bila kiongozi
  kwanza anatia hasira jamani
  yaani mie ndio maana hata nashindwa nianzie wapi na niishie wapi, maana huyu raisi wetu kweli zezeta
   
 14. L

  Lukwangule Senior Member

  #14
  May 12, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kweli au uzabizabina? siku nyingine naogopa kuingia mitaa hii manake watu hujenga maghorofa ya barafu yakaporomoka ushahidi unapotakiwa? Mhhhhhh!!!! manake he!:drum:
   
 15. L

  Lukwangule Senior Member

  #15
  May 12, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati fulani unajiuliza watu wanapima kwelikweli au wanajisemea kwa sababu tu hawataki kuona sura ya mkwere pale ambaye ametoka na kulelewa na CCM? Au hii inakaa vizuri sana kama mtu ataangalia nini kinafanyika kinakosewa kipi akatoa na suluhu kama china, piga risasi ukiwa umebanwa au suluhu ya Yesu yule asiye na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe? Manake wapo watu wanawasema wenzao kama vile wao ni wasafi wakiwa wazembe maofisini wamebakiza majungu na wala hawaisaidiii nchi na wanadhani kwamba ni kazi ya Mkwere kujua kila kitu kinachoendelea nchini hapa. Serikali ni pamoja na madiwani na wabunge na makatibu wakuu. na serikali ni zaidi ya hapo, wewe mwananchi unafanya kweli wajibu wako. wewe. Yaani nikuulize je unaenda kufuatilia fedha ,mathalani zilizoingia katika manispaa na zimefanya nini je unajua kwamba ni lazima uulize swali kwanini re current imezidi na unquliffied report haziongzeki? kila kitu kinakwenda kwa hatua huwezi kubadilisha mfumo wa miaka 100 kwa siku 100 na ukifanya hivyo mambo mawili yuanaweza kutokea>Ama unatengeneza jamhuri ya Somalia au Haiti chagua kaka lakini mimi nadhani unapoponda mpe naye kaisari yake mtu anaposkoa unampa anapotokota unampa wewe unatafuta dhambi tu kama chama cha upinzani badala ya kuangalia mizani na kuona dhambi na juhudi za kumaliza dhambi na umalizaji wa dhambi. Unakemea uzinzi wakati mwenyewe unazini kwa macho ha ha ha ha ha!!! wote mnakosa tu:hug:
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wenye njaa huwa wanapiga sana kelele lakini wakiingizwa kwenye system nao wanafyata.
   
 17. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Big up Haki Elimu, compilation ikmetulia kazi kwenu wapiga kura!!!!!!!!!!!
   
 18. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2010
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK sio mwanasiasa wakwanza kushindwa kutekeleza ahadi alizotoa. Kikubwa nachotaka kujua mimi, Watanzania watachukua hatua gani????....................................zaidi ya kulalama tu.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hizi zilitoka mara baada ya uchaguzi, ndo maana wakawa na bifu kubwa na Rakesh! Sasa huyu m-beijing sijui kama ana guts, manake wliahidi kutoa updates before uchaguzi! HAlima Mdee nae alishawahi kuibana Serikali kupewa updates but akaambulia majibu ya hovyohovyo! Wazee wa hakielimu najua mpo humu, hebu kandamiza hapa tafadhali!
   
 20. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuwa na KIKWETE kama rais wa Tanzania tujue kwamba watanzania IMEKULA KWETU. Ni bahati mbaya sana bado wapo watanzania wengi tu ( kama wale waliokuwa wakimsikiliza akitoa upupu wake pale Diamond jubilee) watamchangua tu tena mwaka huu mtu huyu.
   
Loading...