Chama cha mwamko mpya wa ujenzi wa taifa CCJ kinaanza harakati za kukutana na kuzungumza na wananchi katika kujitambulisha zaidi kwa wananchi wakati kinaendelea kusubiri usajili wa kudumu. Hadi...
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli, ameiponda dhana ya polisi jamii inayotumiwa na Jeshi la Polisi katika kupambana na uhalifu kwa maelezo kwamba utaratibu huo hauwezi kusadia...
Kuna mitazamo tofauti kuhusu ni kwa nini msajili wa vyama vya siasa nchi hataki kukisajili Chama Cha Jamii (CCJ).
Kwa mitazamo yangu na uchunguzi binafsi ndani ya ngazi za juu za uongozi wa CCM...
Tumekagua hoteli, uwanja na kila aina ya utaratibu kwa ajili ya timu, tumeridhika na ndiyo maana tumeingia mkataba, alisema. Brazil watafikia hoteli hiyo ya Movenpick.
Mwenyekiti wa Kamati ya...
Tendwa apondwa kwa kutoisajili CCJ
na David Frank, Arusha
CHAMA cha Mawakili Tanzania (TLS) Mkoa wa Arusha, kimemkosoa msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa kwa kukataa kukisajili...
KATIKA kujiimarisha kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kununua na kusambaza magari katika mikoa mbalimbali nchini ndani ya wiki...
MBUNGE wa Makunduchi Zanzibar, Abdisalaam Issa Khatib (70), amedai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwamba Ikulu ilitoa ridhaa ya kuendelea na mchakato wa kumpata mzabuni wa ukaguzi wa...
Pesa wanazolipwa Wabunge ni rushwa wanayopewa na Serikali ili waburuzwe kwa hiari yao bila ya kupinga kitu. Ndio maana utaona Mbunge kasimama anaibwatukia Serikali lakini mwisho anamalizia kwa...
30th May 10
Daniel Ondigo
Moshi Urban Member of Parliament Philemon Ndesamburo shed tears on Monday as Pasua ward women in Moshi said they often depend on light from cell phones at night...
Rais JK alipokuwa anawahutubia wazee wa Dar es salaam (CCM) alisema wazi kuwa hajali kura za wafanyakazi yaani yuko tayari kukosa kura 350000 za wafanyakazi. Ni kauli iliyojaa kiburi, ubabe na...
Katika kupitia pitia mitandao mbali mbali kujaribu kubaini kwanini tumeshindwa kabisa kufanya mabadiliko kwa kuchagua viongozi wengine badala ya hawa waliotutawala kwa miaka yote hii bila kutupa...
Saturday, 29 May 2010 09:17
Jackline Masinde
MSICHANA mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, jana aliamiriwa kuvua nguo zilizoonyesha maungu yake ya ndani katika Mahakama...
Hon. Zitto Z. Kabwe's Speech at Launch of the ONEs DATA Report 2010 in Berlin, Germany
Distinguished guests, professors, ladies and gentlemen
It is a pleasure for me to be here, at the...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kuanza Mafunzo kwa Wagombea Ubunge Watarajiwa. Mafunzo hayo yanalenga kutoa Mafunzo muhimu kwa Wagombea hao ambayo yatakwenda sambamba na...
Ujio wa Brazil hapa kwetu ni Wakati Muafaka kuiuza Tanzania. Tuweka Mabango ya Utalii kwenye Hotel watakayofikia, Barabara watakazopita, sehemu za 'training' na siku ya mechi Uwanja wetu ujae...
Mwongozo huu unalenga kuwaandaa vijana kuwa mstari wa mbele katika kufanikisha shughuli zote za uchaguzi mkuu ujao
Nia na madhumuni yakuwalenga vijana ni haya yafuatayo;
Ø Vijana...
Hivi watu wazima Tanzania wasiojua kusoma na kuandika wanapiga vipi kura? Maanake ni asilimia 69 tu ya watu wazima Tanzania wanajua kusoma na kuandika (World Resources Institute, 2007). Je, wale...
Makala ya Uchambuzi
na Na Saed Kubenea
Mwanahalisi
RAIS Jakaya Kikwete anasema simu yake ya mkononi iko wazi kwa yeyote anayetaka kuwasiliana naye. Namba ambayo wengi tunaifahamu ni 0754...
Nimesoma kule kwa Ankal waziri wa nishati na madini William Ngeleja ametia saini mkataba na Kampuni ya Ophir wa utafutaji gasi na mafuta ambao utaligharimu dola bilioni 7.
Ophir Energy ambayo...
Pasco na MMKJ nafurahi kuona mnavyojitahidi kuwafanya watu waone Ccj ni mkombozi, ni kama vile namona Pasco alivyokaa akisubiria hilo tamko. Jamani tumeona na kusikia matamko mangapi we need...