Ujio wa Brazil - Tuiuze Tanzania vizuri tena 'Bure'

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Ujio wa Brazil hapa kwetu ni Wakati Muafaka kuiuza Tanzania. Tuweka Mabango ya Utalii kwenye Hotel watakayofikia, Barabara watakazopita, sehemu za 'training' na siku ya mechi Uwanja wetu ujae mapambo ya kuitanga Tanzania.

Mfano: Kuhusu Mlima Kilimnajaro - 'Njoo Tanzania na utizame mwanzo hadi kilele cha Mlima Kilimanjaro'
Tutatumia pesa chache zaidi kuliko zile zilizotumika kwenye mabango kwenye yale mabasi mekundu ya ghrofa kule kwa 'bibi' au hata CNN.

Shadow.

Samba Kings jet in on June 5

By DAILY NEWS Reporter,
26th May 2010


FIVE-time World Cup holders, Brazil, will arrive in Dar es Salaam on June 5 ahead of their international friendly match against Taifa Stars two days later, it has been revealed.

Brazil, who are the most successful national football team in the world, will play compatriot Marcio Maximo's side in their final preparatory match before going to South Africa for the FIFA World Cup tournament.


Brazilian Ambassador to Tanzania, Francisco Carlos Soares Luz, confirmed in Dar es Salaam today that the 23-man world cup squad, under the tutelage of former star Dunga, will jet in the city on Saturday, June 5.


This means that the Tanzanians will host the most decorated and most fancied football team in the world for about three days, allowing many local fans to have a chance of a lifetime of watching top players from the Land of King Pele training or roaming around Dar es Salaam for shopping.


Luz also revealed that the highly-awaited international friendly encounter will be played under floodlights at the state-of-the-art arena. The ambassador said two officials from Brazil were expected in the city today to hold final talks with the government regarding the tour.


Luz described Brazil's impending training tour in the country as a good opportunity for the team to fine tune and make final touches prior to kick-off of the 2010 world Cup, the first to be held on African soil.


He said the match would also boost Tanzania's preparation for African Nations Championship (CHAN) finals, but this is only if Maximo's men would get past Rwanda and qualify for the finals to be hosted by Sudan next year.


The day that Brazil are scheduled to land in Dar is the same day Taifa Stars will be visiting Rwanda for the return leg of the CHAN qualifiers. Following a 1-1 draw at home, the Stars must win or post a draw of more than one goal to go through into the finals.


The country is already buzzing with excitement in the wake of the confirmation that star-studded Brazil would tour Tanzania on their way to South Africa. While some still do not believe it, some are already planning to purchase their tickets early so as not to miss the ''life-time opportunity''.


Among the star players in Dunga's team, is Real Madrid's Ricardo Kaka, Robinho de Souza now playing on loan at Santos from Manchester City, trio Champions League winners, Inter Milan's Lucio, Maicon and Julio Cesar, Sevilla striker Louis Fabiano, and Barcelona's Daniel Alves.


Unlucky for those who fancy Ronaldinho Gaucho, the soccer ace has been left out for the finals by Dunga. Ambassador Luz defended the coach's decision to leave out the AC Milan star. Luz believes Dunga made the right decision, saying Ronaldinho was out of form to be considered.


Other household names not included in the squad are Gaucho's teammate, Alexander Pato, Neymar and Adriano.


In another development, Luz said that Brazil are favourite to win the World Cup, but also believes England, Spain, Italy and Germany have what it takes to win it. Brazil won the World Cup in 1958, 1962, 1970, 1994 and 2002).


A common quip about football is: "The English invented it, the Brazilians perfected it". It is the only team to have played in every World Cup. It goes by the nicknames Canarinho ((Little Canary), A Seleção (The Selection), Verde-Amarela (Green and Yellow) and The Samba Kings.


Source:Daily News | Samba Kings jet in on June 5
 
icon1.gif
ina maana tutaikosa hii chenga!!!!!


2yk0qoh.gif
 
sipati picha gunia la magori, kanzu kibao, chenga kama mchezo nimecheza nikiwa primary wa zubaisha mjinga akiwa anafukuza mpira ulimi njeee! tatizo la wachezaji wetu wanatumia manguvu, hawatumii akili, bora basi wangekuwa wanatumia vyote viwili. nimewawekea shilingi hadi nimechoka sasa nimeona naumiza moyo bure. kwasasa niko neutral, wacheze vizuri aminaaa, wasipocheza vizuri haleluyaa!vyovyote vile.
 
sipati picha gunia la magori, kanzu kibao, chenga kama mchezo nimecheza nikiwa primary wa zubaisha mjinga akiwa anafukuza mpira ulimi njeee! tatizo la wachezaji wetu wanatumia manguvu, hawatumii akili, bora basi wangekuwa wanatumia vyote viwili. nimewawekea shilingi hadi nimechoka sasa nimeona naumiza moyo bure. kwasasa niko neutral, wacheze vizuri aminaaa, wasipocheza vizuri haleluyaa!vyovyote vile.

Tutangaze soko la utalii ndo cha msingi hapa hayo uliyoyataja ni mingineyo. vile vile wachezaji wetu hii itakuwa ni hatua mojawapo ya kujitangazna
 
Tutangaze soko la utalii ndo cha msingi hapa hayo uliyoyataja ni mingineyo. vile vile wachezaji wetu hii itakuwa ni hatua mojawapo ya kujitangazna

utatangazaje soko la utalii wakati hata barabara za kwendea kwenye mbuga za wanyama hazijengwi vizuri? na utalii wenyewe hautiliwi kipamumbele? maneno matupu mdomoni vitendo vichache. nakumbuka kipindi kile wale watalii wa mkutano wa sulivan ambao hawakuleta faida yoyote zaidi ya kula hela ya Taifa pale kwenye lihotel la ngurudoto (si unajua mihela kibao pamoja na ulinzi kibao ulipelekwa kwaajili ya misosi ya watalii wale).... walipokuja arusha washangaa kweli kuona kuna mbuga nzuri kama ngorongoro lakini barabara haijawa nzuri hadi mwisho...ukienda ruaha national park,utalia, barabara ya vumbi la ajabu...utalii wa ndani hauhamasishwi hivyo hata wawekezaji wanakula hasara kwenye business zao. serengeti je?mikumi kuna hotel ngapi?

ministry of tourism na natural resources nakwambia wamelala fofofo, hawana hata mawazo mbadala ya kuhamasisha ili jambo...kwanini tusijifunze hata kwa kenya tu walifanyaje kuvutia utalii? south africa na botswana?,..hii world cup ilikuwa opportunity moja nzuri sana kuutangaza utalii....lakini wakija, wanaona karaha tu, barabara mbaya.
 
Hii wizara ya utalii apewe Dr. Magufuli......lakini hadi inakera hivi miwaziri mingine ikoje?? haina akili kweli?? eti mwangunga......so what???
 
Kumkosa Gaucho ni pigo sana na hii ni pamoja na Neimar, Pato, Macelo na Adriano

hao uliowataja wote aidha enzi zao zimepita au hawana viwango vya kumridhisha Captain Dunga....mkuu, wenzetu they live on the present (and plan for future) and not the past na ndiyo sababu hawashitushwi na mchezaji jana alifanya nini bali leo anaweza kufanya nini...

Gaucho ameisaidia nini Milan kwa msimu mzima uliopita zaidi ya chenga twawala? Ukipata jibu utajua kwanini hakuwa na nafasi kwa dunga.
 
Hii wizara ya utalii apewe Dr. Magufuli......lakini hadi inakera hivi miwaziri mingine ikoje?? haina akili kweli?? eti mwangunga......so what???

ndugu yangu, kati ya mawaziri wasiofaaa Tanzania, mwangunga ni wa kwanza, akifuatiwa na selina kombani. amefanya kazi sana, ni kutembelea maisha plus y akina masudi akatangaze utalii humo....ajabu kweli. hakuna anachofanya zaidi ya kuzidi kuweka wanja mwekundu mdomoni.....
 
Mkuu....ujio wa Brazil pekee ktk maandalizi yao kuelekea kwa Madiba hautoshi kuiuza Tanzania...

Tumepata uhuru mwaka 1961....mpaka sasa ni miaka 49..kama tumeshindwa kuwa na mipango madhubuti na endelevu kwa miaka yote hiyo hizo ndiyo tutaweza kwa siku mbili tu...give me a break.

Mwaka jana walikuja maswahiba wa Mkuu hapa akina Andrew young na Sullivan yao...tumepata nini? mwaka huu wamekuja wakulu wengi akiwemo mzee Zuma na hiyo WEF yao...tumepata nini?

Roma haikujengwa kwa siku moja mkuu...ni mchakato...ikiwa tunafikiri Roma ilijengwa kwa siku moja basi tuendelee na ujinga wetu wa kudhani kila anapokuja mgeni basi ndiyo pakuponea...Mgeni njoo mwenyeji apone chambilecho wahenga.
 
Tutangaze soko la utalii ndo cha msingi hapa hayo uliyoyataja ni mingineyo. vile vile wachezaji wetu hii itakuwa ni hatua mojawapo ya kujitangazna

hapo kwenye bold mkuu...

wachezaji wetu hawahitaji Brasil kuja bongo kujitangaza...ni vipaji na juhudi binafsi tu...si wachukue mfano wa Nonda...alicheza na wangapi jangwani lakini wao waliishia wapi na yeye aliishia wapi?

Hii akili ya mgeni njoo....inatuponza sana....
 
Still Kwa hicho kidogo ...tunaweza kuitangaza nchi yetu kwa gharama karibu na bure ...Tizama kama mechi hiyo inaonyeshwa live huku ukiwa umejaza mabango yakuitangaza mali asilia za Tanzania.
 
Still Kwa hicho kidogo ...tunaweza kuitangaza nchi yetu kwa gharama karibu na bure ...Tizama kama mechi hiyo inaonyeshwa live huku ukiwa umejaza mabango yakuitangaza mali asilia za Tanzania.

ni kweli, wakifanya hivyo si sawa na kukosa kabisa.
 
Al Zagawi unaongea pointi sana nakukubali ndugu yangu!,bakari malima aliondoka na nonda kwenda kujaribu soka bondeni,mwenzie alikuwa na msimamo wanini kilichompeleka akaweza,ila yeye malima alichanganya mambo,ndio mana kuna usemi mmoja unasema life is a big road with a lot of sign,so when u ride on the road do not complicate your mind!,yani maisha ni barabra ndefu yenye alama au vishawishi kibao,kwahiyo unapokuwepo ktk barabara wewe zingatia tu unataka kwenda wapi sio unaona njia hii inaenda kule unafikiri nzuri unaacha lengo lako ulilolipanga!
 
Mmeona na cost yake kwetu? Its going to cost us several million dollars!!! Sasa hapo sijui hiyo hela inatoka wapi!
 
Nimehoji kule kwemye jukwaa la michezo, inaonekana kuwa Brasil wametia Sauzi leo sasa napata shaka wafike sehemu ya mashindano kisha watoke tena? Inakuwaje imekaaje hii?
 
Brazil to play Tanzania in pre-World Cup friendly


By Emmanuel Muga
BBC Sport, Dar es Salaam, Tanzania
999999.gif


_47406236_kaka.jpg
The likes of Kaka could line up against Tanzania in Dar es Salaam

Brazil have finalised a deal to play Tanzania on 7 June in a World Cup warm-up match ahead of this summer's finals in South Africa.
The contract has now been signed and the game will take place at the National Stadium in Dar es Salaam.
The Brazilians also plan to play a friendly against Zimbabwe but no date as yet has been set.
The World Cup gets underway on 11 June with Brazil's opening game taking place on 15 June against North Korea.
o.gif
It's very exciting. Finally we've succeeded in attracting Brazil


TFF president Leodegar Tenga

The terms include an appearance fee requested by Brazil, which the Tanzanian Football Federation described as being "several million dollars".
Tanzania had been eager to play a part in the World Cup build-up by hosting one of the finalists, and the TFF president Leodegar Tenga stated it will be an exciting prospect for the east African country.
"It's very exciting. Finally we've succeeded in attracting Brazil, who are obviously the biggest team in the world, to play our national team," Tenga commented.
The government earlier this year appointed a committee led by a minister and with a budget of about $6m (£4.17m) for the purpose, but most teams contacted by the TFF turned them down.
North Korea had planned to play two friendlies in Zimbabwe, but that was shelved after protests over Matabeleland, where rights groups say a North Korean-trained army unit killed thousands of people during the 1980s.
Brazil are currently training in the southern Brazilian city of Curitiba and are due to depart on 2 June.
Taifa Stars are currently in a training camp ready for an African Nations Championship (CHAN) final round, second leg qualifier against Rwanda, which will take place on 5 June in Kigali.


Source:BBC Sport/football.

Tayari vyombo vya habari kimataifa kama BBC vimeshaanza kuitangaza mechi.Tenga na timu nzima ya wizara ya michezo,utalii wafanye juu chini kuitumia fursa hii hadimu kutangaza vivutio vya utalii eg Kilimanjaro,Ngorongoro,Manyara, na nk
 
Nimehoji kule kwemye jukwaa la michezo, inaonekana kuwa Brasil wametia Sauzi leo sasa napata shaka wafike sehemu ya mashindano kisha watoke tena? Inakuwaje imekaaje hii?

Soma ' paragraph' ya mwisho hapo chini.



2010 FIFA World Cup: El Selecao Arrive in South Africa

http://bleacherreport.com/users/23567-zaakir-hoosen by Zaakir Hoosen
Correspondent Written on May 27, 2010

97376499_cropped.jpg
Jamie McDonald/Getty Images
The anticipation and excitement has increased since the arrival of the second team in Johannesburg. Last night Australia arrived, and early on Thursday morning five-time world champions Brazil walked through OR Tambo International Airport.
The Brazilian team, who are favorites for the massive show piece, will be based at the five-star Fairway Hotel in Randburg, a northern district in Johannesburg.
Only a few fans were allowed to see the players arrive, as many who wished to get a glimpse of some of the world's best players were turned away by police due to the high security measures at OR Tambo Int.
A "special arrivals" area has been constructed just for the arriving squads.
Ricardo Kaka tweeted about two hours ago: "Just arrived in South Africa .. Amazing atmosphere !!"
A motorist phoned in to local radio stations saying they had seen the Brazil team bus and were really excited to go witness the former World Champs train in Randburg.
Brazil will face Zimbabwe and Tanzania in friendly warm-up matches, these games are still to be confirmed.
 
Back
Top Bottom