Wasiojua kusoma na kuandika wanapigaje kura? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasiojua kusoma na kuandika wanapigaje kura?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, May 28, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 6,888
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Hivi watu wazima Tanzania wasiojua kusoma na kuandika wanapiga vipi kura? Maanake ni asilimia 69 tu ya watu wazima Tanzania wanajua kusoma na kuandika (World Resources Institute, 2007). Je, wale wasio ona?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kusikia kua wanaweka sahihi ya kidole gumba!
  Sina uhakika kama ni kweli!
   
 3. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo ndipo utakapo jua kwa nini CCm hawataki hawa watu wajue kusoma
   
Loading...