Elections 2010 Nini nafasi ya upinzani uchaguzi 2010

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Katika kupitia pitia mitandao mbali mbali kujaribu kubaini kwanini tumeshindwa kabisa kufanya mabadiliko kwa kuchagua viongozi wengine badala ya hawa waliotutawala kwa miaka yote hii bila kutupa maendeleo tunayo stahiki. kila chaguzi wanashinda eti kwa ushindi wa kishindo, hebu tembelea http://en.wikipedia.org/wiki/One_party_dominant_state upate kuhabarika ni mfumo gani tunao utumia nchi hii. hapa ndipo utakapo baini katiba nimoja ya suluhisho la haya yote, hakuna lisilo wezekana tukiamua kweli kweli, lakin vinginevyo kazi bado ni ngumu uchaguzi wa mwaka huu kwa wapinzani
 
kumbe zipo nchi nyingine kama ccm inavyofanya bongo, lakini ipo siku watang'oka tu, mbona kenya, zambia,malawi imewezekana
 
Back
Top Bottom