Kwa kifupi, someni yanayowakera wenzetu wa Nigeria:
Rebellion over Nigeria's expensive politicians
By FUNKE ADETUTU in Lagos
June 22 2010 at 11:54
In different corners of Nigeria, most of...
Nimesikia kuwa kwenye Chadema kuna kasheshe kubwa ya kumpata mgombea Urais mwaka huu. In fact, wazee wa chama hiki wanaombea kigogo atoke CCM kutoka miongoni mwa Wabunge maarufu au viongozi...
HABARINI WANA JAMVI?
Katika mishemishe zangu nimepitia maeneo ya Mbezi Beach baada ya kipindi kirefu. mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2005 kipindi cha karibu na uchaguzi mkuu. Mwaka ule 2005...
From MASATO MASATO in Dodoma, 14th June 2010 Daily News
THE government has defended its secondary education development programme, saying the country was already reaping the 'sweetest fruits' of...
This action has been long overdue. Or is it a prelude to the coming elections? Hope we see more of the likes of this!
By Dominic Nkolimwa
17th June 2010...
Mbunge Ismail Jussa ambaye hana muda mrefu bungeni na hajafaidi matunda ya Bunge, ameomba bungeni mishahara ya wanasiasa ipunguzwe kufidia kipato duni cha wafanyakazi wa umma, kauli yake imepingwa...
Ame-hint Pinda leo wakati akihitimisha bajeti yake. Mmoja utaitwa Njoluma, utahusisha wilaya za Njombe, Ludewa na Makete. Mwingine ni Simiu utakaogawanywa kutoka Shinyanga na mkoa wa Geita.
Pia...
Ukitaka kujua tofauti ya kimitazamo hasa kuhusu siasa na uendeshaji wa serikali yetu basi tazama bunge. Bado bajeti za mawizara zinaendelea kujadiliwa huko. Juzi msemaji wa kambi ya upinzani...
MCHAKATO wa ubunge wa Viti Maalum jimbo la Segerea kupitia Chama cha Wananchi (CUF), juzi uliingia dosari baada msimamizi wa uchaguzi huo kutoweka na masanduku ya kupigia kura huku baadhi ya...
Wana JF,
Ni muda mrefu kidogo sijawa na mawsiliano na mtandao huu hii ni kutokana na shughuli nzito ya kuvuna mpunga inayonikabili hapa tongi (Nzega) nimeamua kuandika hili ili basi tuendelee...
Mozambique drug network includes SA: US
June 10 2010 at 12:02PM Get IOL on your
A Mozambican businessman designated a druglord by the United States trafficked drugs to South Africa among...
Jamani yule mgombea wa Chadema Finias Magesa yupo wapi?
Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana, amekuwa kimya sana na sijasikia kama anampango wa kurudi tena Busanda...
Marmo amebariki kampeni ya nyumba hadi nyumba lakini hajatufafanulia kuhusu kukusanya habari za wapiga kura nyumba hadi nyumba hasa zinazofanywa na chama tawala.
Kabla ya kupiga kura kuna chama...
Nimeifuma habari hii ya kutisha kuhusu aina ya siasa zinazofanyika katika jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.
Wastaarabu someni TAMKO hili la Katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro na...
Ndugu zangu hebu ioneni hii na baadae mhipatie jibu!
Sitta amlaumu Mkulo kuchelewesha fedha Send to a friend Friday, 18 June 2010 09:31 0diggsdigg
Salim Said
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta...
Nina mawazo mchanganyiko jinsi tunavyoimba wimbo wetu wa Taifa,Mimi nikiwa shule nilifundishwa kuimba nikiwa wima mguu sawa kifua na macho mbele mita mia moja(Sijui maana yake...
Lowassa amhujumu Mwandosya
Na Saed Kubenea
NYARAKA za siri zinazoonyesha mpango wa kumtokomeza kisiasa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya zimevuja.
MwanaHALISI limepata...