Kampeniya nyumba hadi nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeniya nyumba hadi nyumba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MIGNON, Jun 20, 2010.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Marmo amebariki kampeni ya nyumba hadi nyumba lakini hajatufafanulia kuhusu kukusanya habari za wapiga kura nyumba hadi nyumba hasa zinazofanywa na chama tawala.
  Kabla ya kupiga kura kuna chama ambacho kitakuwa na data za watu wake na wasio watu wake na hii ni hatari kawni ikitokea vurugu ya kuchomea nyumba ni kiasi cha tawi la chama kuamua ipi iunguzwe na ipi ibaki.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  maji ya shingo haya!...watabariki hata kusalimia SHIKAMOO watoto wakati wsa kampeni!
   
 3. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bado kazi ipoooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hii ni njia ya kutoa kanga, kapello, sukari, chumvi, twanga pepeta za china, na uniform za shule na ada ya shule, rushwa kwa mbele na yeye ndio waziri wa nchi kushughulikia usalama wa wala rushwa
   
Loading...