Style gani Wimbo wa Taifa ;Tanzania

Style gani Wimbo wa Taifa ;Tanzania

Kiroroma

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2009
Posts
370
Reaction score
116
Nina mawazo mchanganyiko jinsi tunavyoimba wimbo wetu wa Taifa,Mimi nikiwa shule nilifundishwa kuimba nikiwa wima mguu sawa kifua na macho mbele mita mia moja(Sijui maana yake hapo halisi).Nikiwa National Service msisitizo ukawa huo huo.Lakini cha kushangaza eti siku hizi baadhi ya watu wanaimba wakiwa wameweka mkono kifuani kwenye moyo kama vile wamarekani wafanyavyo.Sasa nashindwa kuelewa ni kipi au style ipi ndiyo halisi.Maana kama ni kuiga hadi kwenye sala basi hapo kuna kasoro.Wanajamii nijuzeni katika hili nipate mwangaza nami niende na wakati.
 
Copy and Paste, enzi hizo tulikua hatu sug trouser tulikua twatia kamba mashati yanakua puto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom