Appeal court ruling denounced | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Appeal court ruling denounced

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Jun 20, 2010.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,172
  Trophy Points: 280
  Appeal court ruling denounced Saturday, 19 June 2010 10:12

  By The Citizen Reporters
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Jun 20, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Nilisoma ile ruling ya mahakama nikaona kuwa wanatambua kuwa kuwazuia wagombea binafsi ni makosa, lakini wakaogopa kutoa hukumu sahihi na kudai jambo hilo liamuliwe na bunge. Hapo ndipo nilipoona kuwa Tanzania hakuna pa kukimbilia kama ukionewa na serikali kwani hata mahakama itakuambia rudi mkajadiliane na serikali hiyo hiyo iliyokuonea.

  Kifungu cha katiba kinachopingwa na Mtikila vile vile kinakiuka Article 20(2) ya UNIVERSAL DECLARATION OF HUMAN RIGHTS ya Umoja wa Mataifa inayosema kuwa : "No one may be compelled to belong to an association," na Article 21(1) inayosema "Everyone has the right to take part in the government of his country, directly or through freely chosen representatives."

  Mahakama Kuu ilitakiwa iangalie swala la haki za binadamu kwa upana zaidi na kuiambia serikali kuwa mmekosea. Cha kushangaza, ni kuwa mahakama yetu pia imekuwa kama ni sehemu ya utawala au inaogopa majukumu yake. Inawezekana majaji wanaogopa kuvuliwa nyadhifa zao na Rais Kikwete.!!!!
   
 3. H

  HUBERT MLIGO Member

  #3
  Jun 21, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Majaji hawaogopi kuvuliwa nyadhifa zao, wanauhuru na ulinzi wakutosha waliopewa na katiba kwa mujibu wa Ibara 107A na 108. Wanaogopa kunyimwa uongozi wa kisiasa mara baada ya kustaafu nyadhifa zao. Majaji wengi ni wanachama wa chama fulani japo sheria hairusu jaji au hakimu kuwa mwnachama wa chama chochote cha siasa,...Wanaona ni heri kupora haki kuliko kutoswa na chama mara baada ya kustaafu.
   
Loading...