Wanajamvi naomba mnijuze kama Mh Basili Mramba bado amechukua fomu kutetea kiti chake cha ubunge Rombo huku kesi yake ya matumizi mabaya ya madaraka ikiwa bado yaendeleaa!!!!
Kisheria imekaaje...
Mwandishi wetu
UFISADI umeishika nchi pabaya. Tukiendelea kuwa na wabunge legelege na madiwani legelege, watendaji wetu wa halmashauri wataendelea kufanya vitendo vya ajabu hujapata kuona...
(This was my contribution in one othe threads in 'Tanzania 2010 election' forum but I think it should be new thread in this forum) Since I was born about four decades ago, now I see the light at...
Na Maggid Mjengwa
INATUHUSU sisi Watanzania. Mnyama simba ana uwezo wa kumfukuza, kumkamata na kumla panya pori. Lakini, simba huyu atakuwa si mwenye busara kwa kutumia muda na nguvu zake...
President Jakaya Kikwete has cited unfriendly international environment for Africa as a key factor accelerating poverty in the continent and suggested seven steps to get the continent out of...
Viongozi wa Tanzania na CCM elites wanasumbuliwa na Acquired Phd Deficiency Syndrome!
Nimesome kwenye blogu ya Michuzi kuwa Msanii Chrisant Mzindakaya ametunukiwa
Phd ya heshima toka California...
Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu jinsi vyombo vya habari vya IPP vinavyoripoti matukio ya Raisi mstaafu wa awamu ya tatu, Mh B.W.Mkapa nikagundua kuna kachuki binafsi ya vyombo hivyoo na...
President Jakaya Kikwete has outlined seven reasons why Africa is poor, and suggested how the continent can overcome the grinding poverty it is grappling with.
Addressing a high level meeting...
kama mtu kapoteza kitambulisho chake cha mpiga kura na tayari anayo Police Loss Report, afanye nini ku-replace kitambulisho chake? anaishi jimbo hilo hilo aliliojiandikishia.
Wadau, niliibabatiza hii kutoka stesheni flani ya redio flani asubuhi hii ktk mishe zangu za kuhemea..!
John Momose Cheyo(UDP): Ubunge ni wa wazee... nawashauri vijana wajenge maisha... waoe...
MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Siasa, Tanzania Labour Party[ TLP] juzi kilifanikiwa kumpitisha Mutamwega Mugahywa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao.
Mkutano huo...
WanaJF nimekuwa najiuliza kwanini CHaDEMA mpaka sasa hawajatangaza Rais atakayechuana na JK au Chibuda etc. Kimya hiki kinanipa wasi wasi kinaweza kuwa kizito na cha kutingisha Medali ya siasa za...
na Mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameondoka nchini jana kwenda Hispania kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kujadili maendeleo ya Afrika na nafasi na wajibu wa siasa za kimaendeleo katika...
Ndugu yetu Yohanna Mashaka kaanzisha mjadala huko kwa mithupu, ila kula vilaza wengi, napenda tu kujua kutoka kwa wachambuzi wa humu kama kweli kuna ukweli wowote humu ndani..
Source: Issa...
Nape katangaza kuwania ubunge kupitia jimbo la ubungo. Kati ya wagombea watano wa ccm waliotangaza nia ni wazi kuwa nape atapenyeza na hatimaye kukutana na kijana mwenzie, mnyika kwenye mchuano wa...
Ati mgombea mmoja wa urais waganga wake wamedhibitiwa na mmoja wa watu wake wa karibu kiasi kwamba ameambiwa hawezi kumtimua huyo jamaa kwa sababu akimtimua tu mambo yake yataenda kombo. Kumbe...
Jk alipo ingia madarakani mwaka 2005 mimi ni mmoja wa watu walio kuwa na matumaini makubwa sana na awamu ya tatu. Labda ilikua ni utoto. Labda kama wengine nili bumbuwazwa na ujio wa "raisi"...
Wapendwa wanaJF,
Wabunge waliomaliza ngwe ya kwanza ya awamu hii ya nne wanaranda sana majimboni kumwaga vijisenti ambavyo yumkini wamelambishwa toka Bungeni baada ya kutumikia Bunge kwa miaka...