JK haamini ufisadi na tawala mbovu unachangia umasikini katika nchi za Afrika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK haamini ufisadi na tawala mbovu unachangia umasikini katika nchi za Afrika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 21, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  President Jakaya Kikwete has outlined seven reasons why Africa is poor, and suggested how the continent can overcome the grinding poverty it is grappling with.

  Addressing a high level meeting in Madrid on Monday, President Kikwete said the effects of colonialism, trade imbalance, lack of reliable markets. Armed conflicts and imposed economic and political systems were the major factors that contributed to poverty in Africa.

  President Kikwete made the remarks at the closure of the African Progressive Conference, which discussed the role of progressive politics in sub-Saharan Africa.

  …………….”Other factors include lack of political tranquility, armed conflicts and toppling of democratically elected governments” he said amid thunderous applause.

  More in today’s The Citizen.

  My take:
  Sijui Muungwana anafanya makusudi au bado hajui lolote kwa nini Bara la Afrika ni masikini ukilinganisha na mabara mengine. Katika sababu zote alizotaja, hakuna ile ya ufisadi uliokithiri katika tawala za nchi za Afrika pamoja na utawala mbovu unaoendeshwa na viongozi wao.

  Lakini pengine asilaumiwe sana… kidogo kap[iga hatua kartika uelewa wa suiala hili. Miaka minne iliyopita, alipokuwa Paris, aliwaambia waandishi wa habari kwamba alikuwa hajui kwa nini nchi yake ni masikini!
   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Karibia sababu zote alizotoa ni za kunyoshea kidole nguvu toka nje...kusema ufisadi ni kujimaliza mwenyewe manake utaulizwa umefanya nini kupambana nao
   
 3. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Sababu alizozitoa ni zile zile wanazokariri wanaomwandikia,
  Mikataba mibovu, kuficha vijisenti nje, Tz kufanywa shamba la bibi n.k vyote vinachangia kujenga kwa wenzake na kwake kunaporomoka.
  Tanzania inaweza kutumia majirani ambao hawajatulia kuwa tajiri, mbona hakuna maendeleo kuliko majirani?
   
 4. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mbali ya kuamini tu,pia hawezi kuutaja ufisadi kuwa nao ni chanzo cha umasikini uliokithiri barani Afrika kwani yeye mwenyewe(kama rais wa nchi)ni tunda la ufisadi!
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Effects of Colonialism....!!!!!??? same old s**t

  fifty years when they chased the colonialists away from controling our natural resources mbona wanawapa wakoloni hao hao to control our natural resources today??
   
 6. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hawa viongozi wetu wa sasa hawana tofauti na wale machief wa zamani waliouza wenzao kwa Waarabu kwenda utumwani
   
 7. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Effect of colonialism! yes nakubaliana nae kwa hili na hasa ninapoliangalia kwa jicho la tatu! Wakoloni walikuwa wakijilimbikizia mali zetu na pia walihamishia mali nyingi kwao, wakoloni hawakujali ustawi wa jamii walioyoitawala, wakolono waliongeza pengo kati ya tajiri na maskini, wakoloni hawakupenda mabadilliko na hasa demokrasia ya kweli na mwisho wakoloni walipenda kuishi kifahari hasa maeneo ya Oysterbay (Dar), Capri point (Mwanza), Raskazone (Tanga) na kwingineko Tanzania ambako baadae kulikuja julikana kama Uunguni! Na ni haya haya mambo ndio leo tunayaona Viongozi wetu (akiwemo JK mwenyewe) wakiyatenda! so mi nakubali kabisa tatizo ni Effect of colonialism na hasa lime affect viongozi wetu!
   
 8. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kabisa, yaani tofauti baina yao ni times we live in: morals have evolved and we have human rights laws lakini kwa dhana za kifikra hawana tofauti kwa kweli.

  Pengine hawa wa sasa are worse kushinda wale wa kale, unaweza sema mababu walikuwa kidogo hawana ufahamu wa hivyo kielimu. Lakini hawa wa sasa wasomi na madudu yao kwa kweli ni worse.
   
 9. a

  allydou JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,485
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  you can these factors into what you know.

  Modern economics are of opinion that there are different caused of vicious of poverty. These are under utilization, higher growth rate of population, employment opportunities are limited, excessive dependence in indirect tax, feudal lords and tribal heads, misuse of limited resources.

  Natural resources are available in poor countries for development. But the government of these countries are not capable of properly utilize the resources. Peoples live in poor conditions. The population in poor countries is increasing rapidly. The increased population nullifies the growth of the economy. There is no significant improvement in living standard. The rate of investments in public and private sectors is very low. There is no expansion in industrial sector. Labor force remains unemployed. The limited resources are misused by the rulers and civil administration. The allocated funds are not properly used for the welfare of people.

  The governments in developing countries mainly get revenue from indirect taxes. The income of the government is not adequate to undertake
  development projects. Rich peoples evade taxes. The feudal and tribal heads enjoy social status in these countries. They do not like to change the traditional society. Poor people are more obedient and serve properly.
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni kweli. Q Jr: Tunda la ufisadi haliwezi kutaja ufisadi.
   
Loading...