Elections 2010 Mramba anatetea tena kiti chake cha ubunge rombo???

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Wanajamvi naomba mnijuze kama Mh Basili Mramba bado amechukua fomu kutetea kiti chake cha ubunge Rombo huku kesi yake ya matumizi mabaya ya madaraka ikiwa bado yaendeleaa!!!!

Kisheria imekaaje na hizo fomu zo za maombi suala la kuwa na kesi mahakamani sio kikwazoooo???
 
kuwa na kesi nadhani siyo kikwazo,ndiyo maana aliendelea kuwawakilisha wanachi wa rombo mjengoni.
 
Ana haki ya kuomba kugombania ubunge. You are innocent until proven otherwise.
 
Huyu bwana anatakiwa afungwe liwe fundisho kwa wengine ama sivyo hizi kesi za mafisadi zitakuwa kama michezo ya kuigiza!!Is it by accident or by design kuwa kesi hizi za mafisadi zinapigwa tarehe mpaka hapo baada ya uchaguzi halafu wazifute?
 
Kwa Tanzania hata akikutwa na hatia atapeta tuu ..... si umeona ya Ismael Aden Rage!?
 
Amechukua fomu na kurejesha jana kwa ajili ya kugombea tena jimbo la Rombo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom