'Dr' Christian Mzindakaya na 'Dr' Getrude Rwakatare

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Viongozi wa Tanzania na CCM elites wanasumbuliwa na Acquired Phd Deficiency Syndrome!
Nimesome kwenye blogu ya Michuzi kuwa Msanii Chrisant Mzindakaya ametunukiwa
Phd ya heshima toka California State Christian University katika fani ya Business
Administration.Hicho chuo ni diploma mill.

Kitu ambacho kichekesho,ametunikiwa katika ukumbi wa Pius Msekwa Dodoma,(sio Marekani )kwenye chuo,na kuhuzuriwa na wabunge vilaza wetu kwa kumpongeza na kutoa hotuba.

The same kuhusu 'Dr' Getrude Rwakatare naye vilevile amepata Phd yake kanisani kwake
toka Chuo cha UNITED GRADUATE COLLEGE AND SEMINARY,unknown mediocre college cha USA.I feel sorry kwa waumini wake maana wengi ni very uneducated hawajui huyu mama anafanya nini .Kuona Mzungu anavalisha joho basi wanaona kama mbingu imefungika.

A big joke kwa hawa watu!
 
Vyuo vingi vya online hasa vya marekani haviko accredited na United States Board of Education, vinafanya tu biashara,ukiwa na pesa unaweza ukapata degree/masters/Phd kila mwezi, kuna kimoja kinatoa degree /masters/Phd kwa life exprience, kila degree ina amount yake ya kulipia,you just click 'order now" and within 2 weeks unareceive package yenye vyeti vyako. Na hicho ndo wenye pesa zao wanafanya kwa sasa hasa wafanyabiashara wengi wanakimbilia business administration kama mbunge wetu fulani wa kanda ya ziwa kwa sasa ni Dr, kwani bila kuitwa Dr maisha hayaendi? mbona kuna akina Bill Gates, Buffet, ni matajiri wakubwa lakini hawani initials za Dr,
Athari za Brain washing, kaazi kweli kweli....
 
Kama wanazipenda warudi darasani..
Wanadhani mchezo!!
 
Mzee huyu anaitwa Chrisant sio Christian. Kwa fani hizi ambazo hazina bodi za kitaaluma unaweza kuwa chochote kile.
 
Nilikuwa sijatembelea blog ya Mohamed Dewji kuangalia habari ya "Dr" Mzindikaya, lakini baada ya kuitembelea ile blog kunakitu kimenishangaza juu ya shahada ya Mzindikaya, tafadhali naomba ufafanuzi zaidi, ile kofia aliyovaa Mzindikaya mbona si kofia inayotumika kuwatunukia watu shahada ya uzamivu? Ukiangalia Rwakatare yes yeye amevaa kofia sahihi pia kuna daktari mwingine mule anaitwa Dr Kisui naye kavaa kofia sahihi ( ambayo ni duara hivi) , lakini Mzindikaya?! mbona kofia yake ni sawa na ile ya undergarduate na masters!?
 
Viongozi wa Tanzania na CCM elites wanasumbuliwa na Acquired Phd Deficiency Syndrome!
Nimesome kwenye blogu ya Michuzi kuwa Msanii Christian Mzindakaya ametunukiwa
Phd ya heshima toka California State Christian University katika fani ya Business
Administration.Hicho chuo ni diploma mill.

Kitu ambacho kichekesho,ametunikiwa katika ukumbi wa Pius Msekwa Dodoma,(sio Marekani )kwenye chuo,na kuhuzuriwa na wabunge vilaza wetu kwa kumpongeza na kutoa hotuba.

The same kuhusu 'Dr' Getrude Rwakatare naye vilevile amepata Phd yake kanisani kwake
toka Chuo cha UNITED GRADUATE COLLEGE AND SEMINARY,unknown mediocre college cha USA.I feel sorry kwa waumini wake maana wengi ni very uneducated hawajui huyu mama anafanya nini .Kuona Mzungu anavalisha joho basi wanaona kama mbingu imefungika.

A big joke kwa hawa watu!

These are the individuals they (westerners and now our neighbouring countries) meet everyday when they come to tz be it investing, researching or for political purposes. Unlike us they know their abilities and capabilities, kama mtu unaakili timamu yaani ni dharau kwa watanzania wote.

The unspoken word hapo ni kwamba we are so primitive yet full of grandiose ideas in our social, a society full of megalomaniacs. Its not just them (politicians) but we are all to blame, why on earth would a politician feel the need to be addressed as a DR. if we didnt think it mattered that much. The sad part ni kwamba wanatuona ni washamba kwa kuwa tuna elect on bases of qualification rather than accountability and deliverance ni aibu kwa sisi wote, na si viongozi tu.

Tatizo si viongozi tatizo kubwa ni sisi wenyewe na fyoko fyoko huyu ni msomi ana phd sijui. Well welcome to the west sijui kwingine hila UK where you meet lawyers kwenye mabox, madada wakibongo wenye masters zao kuchezea mabomba (strippers), where Phd scholars tire students to the point many think its better to wait for the lecture slides online that attending it. Where its common for Phd scholars to fail answering year one students question: yeah not just any Phd scholary im talking about reputable people in their fields such as Adam Cooper.

Politics is politics academics is academic ni sisi ndio tunahitaji kutofautisha, despite is achievement in bussinesses mpe nchi mtu kama 'Warren Buffet' usishangae akaipeleka nchi kwenye matatizo. We need to stop this as a whole, its complimentary ushamba of two sides.
 
Haya na Phd ya mkuu wa kaya ama yule jamaa anayemaliza muda wake kule Zanzibar ni zipi? mbona huyo jamaa wa Zenji alikuwa rais akiwa na form six tu, sasa hiyo phd kaipatapataje? kama wakuu wa majumba meupe wanazipata za bureeeee kwa nini tuwasakame akina Chrisant na Getrude?

Kazi kweli kweli
 
Kuupata utakatifu ni vigumu sana lakini Dokta ni rahisi, kwa kuwa kuitwa Saint "A" is impossible why not fight for Doctor "A" hii itaandikwa mpaka kwenye kaburi au siyo?
 
Haya na Phd ya mkuu wa kaya ama yule jamaa anayemaliza muda wake kule Zanzibar ni zipi? mbona huyo jamaa wa Zenji alikuwa rais akiwa na form six tu, sasa hiyo phd kaipatapataje? kama wakuu wa majumba meupe wanazipata za bureeeee kwa nini tuwasakame akina Chrisant na Getrude?

Kazi kweli kweli

ndio maana ninauliza Honorary Doctorate na PhD sawa? hebu chekini wikipedia muone! Pia what is special with Dr name? basi tumpe kila mtu jina la Dr badala ndugu fulani. Humu JF tuanze kuitana tu Dr.Mzee Mwanakijiji, Dr Luteni, Dr Mdondoaji, Dr Invisible......
 
Dr Wildcard, Dr Vincent, Dr Malaria Sugu, Dr Juma Contena tusiitane ndugu tena tuwe nation ya madr!!!!!
 
Viongozi wa Tanzania na CCM elites wanasumbuliwa na Acquired Phd Deficiency Syndrome!
Nimesome kwenye blogu ya Michuzi kuwa Msanii Christian Mzindakaya ametunukiwa
Phd ya heshima toka California State Christian University katika fani ya Business
Administration.Hicho chuo ni diploma mill.

A big joke kwa hawa watu!

Wanatafuta title za kufia na CV za kuzikiwa.
 
Wanatafuta title za kufia na CV za kuzikiwa.

Dr Chiefmtz mie nadhani hilo moja na kuna jengine zaidi ya hapo. na what will happen mtu akaenda katika forum ya wataalamu na honoraria yake akaanza kuzungumza miutumbo inakuwaje?
 
Dr Chiefmtz mie nadhani hilo moja na kuna jengine zaidi ya hapo. na what will happen mtu akaenda katika forum ya wataalamu na honoraria yake akaanza kuzungumza miutumbo inakuwaje?

Hawawezi kukanyaga mitaa hiyo ya forum ya wataalamu sana sana wataishia kwenye makanisa na chamani.
 
Dr mmakonde, we waache tu. Kuna yule jamaa aliyeandika kitabu cha ufisadi wa elimu akituhumu mawaziri na wabunge wenye phd feki. Sijui ameiona hii habari!!!! ngoja jamaa aje na revised version ya mafisadi wa elimu ndo wakome kabis. Ni mimi Dr Kaburunye
 
Back
Top Bottom