Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwan Kikwete alikuwa kwenye uchaguzi wa Yanga?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Selous, Jul 19, 2010.

 1. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,308
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimesikia jina la huyu mtu kule kwenye uchaguzi wa Yanga...... Imekuwaje tena? au sikio langu halikuwa makini? Nisaidie jamani.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,788
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  vipi bana, kwani yeye hana haki? let the boy live his life
   
 3. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,308
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haki zote anazo mpaka kuchaguliwa pia.....
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 19,487
  Likes Received: 10,950
  Trophy Points: 280
  Yes,inapaswa kuwa hivyo. Tatizo lake kila anapoweka mguu anachafua hali ya hewa. Kumbuka kule UVCCM alivyowavuruga, sasa nasikia hata kwenye uchaguzi Yanga kaleta mgogoro.
   
 5. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,602
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280

  IQ ngapi?
   
 6. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,156
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280
  Tamaa imemtawala ... mara wakili, mara mwanasiasa UV, kiongozi wa sports, msimamizi wa kampeni ya baba yake, nk. .. he need Psychiatrist help
   
 7. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 341
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona ana muda wa kufanya yote hayo na sio wa kwanza. Mbona hata leo wapo watu ni wabunge, mawaziri, wajumbe wa bodi, viongozi wa jumuiya za kidini, na wana miradi wanaimiliki na isitoshe ni mafriends wa vilabu. Kama una ubavu jaribu na wewe
   
 8. K

  Kijunjwe Senior Member

  #8
  Jul 19, 2010
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Topic hii ipelekwe jukwaa la Michezo
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,570
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ana haki kama mwanachama yeyote kuhudhulia. Nilimsikia mwenyewe BBC akikili kwamba yeye ni mpenzi wa Yanga na Liverpool.
   
 10. O

  Ogah JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,195
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna tatizo gani kwa kijana kuwa mpenzi wa michezo?.........hata Baba yake ni mpenzi wa Yanga..........
   
 11. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,557
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kweli De Novo huyu kijana anapewa umaarufu ambao hata hastahili, iko siku atajamba mtu atatuwekea thread kwamba Ridhwan Kajamba!
   
 12. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,712
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kinachonishangaza ni nafasi aliypewa. Kwa kweli hakustahili nafasi ya kusimamia uchaguzi na ndo maana aliuvuruga na kujishushia heshima maana tayari alikuwa na upande anauegemea na ndo maana mgombea mmoja akajitoa. Ni kama vile Tume ya Uchaguzi (NEC) inavyosimamia uchaguzi wa Tanzania na ndiyop maana akauvuruga uchaguzi wa Yanga.
   
 13. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wizi mtupu.kote yuko?na mkutano ulikuwa unamshinda kama sio Mzee Joel BENDERA
   
Loading...