REDET walishazungumza mapema! Watu wakawakejeli kwamba eti wanatumiwa!! Gazeti la Tanzania Daima likadai eti REDET inatumiwa na Kikwete; kwamba REDET wanapotoa utafiti kuonesha kukubalika kwa...
Jamani nimesoma magazeti ya sikumbili tatu huyu mama ati anadai kaibiwa kura nahisi awakumchagua na ni mmoja wa waheshimiwa wa sasa wanaokimbia mashangingi ya uwaziri/unaibu
anyway mama pole sana...
Siandiki uchochezi huu kwa sababu mjomba wangu kashindwa kura za maoni ndani ya CCM, naamini familia yetu haitateseka kwani alichochuma akiwa mbunge aliniambia kinatutosha kula kwa miaka 50 ijayo...
Watanzania wamechoka na maisha kuwa magumu hawaoni direction ya maisha yao
mbeya walishaonesha ukomavu wao wakampiga JK mawe. Je watanzania katika kuelekea uchaguzi watamzomea na kupiga mawe baada...
Mabadiliko Ya Katiba Visiwani Zanzibar
Na Salma Said,
WAJUMBE wa baraza la wawakilishi jana wamekutana na kujadili rasimu ya sheria ya mabadiliko ya katiba itakayowezeshwa kuundwa kwa serikali...
Jamaa kwa Jinsi upepo unavyovuma sasa hv katika Siasa za Tanzania, kutona na Kura za Maoni ndani ya JF pamoja na Kura za Maoni zinazoendeshwa na Gazeti la Serikali ya Kikwete ni wazi kwamba Dr...
I am watching live as the elections returns are announced and being desplayed on The television and other journalist..its is the first time in East Africa that a country is using these degital or...
Kwa miaka mingi CCM kimejivuna kwamba ni chama kikubwa na chenye wanachama wengi zaidi ya vyama vingine, lakini ktk chaguzi hizi zilizopita, Ktk majimbo yote hakuna hata jimbo moja lililokuwa na...
nimekuwa nikifuatilia Vyombo vya Habali,, na kusikia Mgombea Mmmoja anapiga Campaign katika mikoa mbalimbali na Juma mosi alikuwa Jangwani DSM,, na nikajaribu kuulizia nikasikia ETI ANATAFUTA...
Leo nimeona kwenye Magazeti Julius Mtatiro atagombea Ubunge katika Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya CUF.
Huyu Jamaa nilikuwa sifahamu kwamba yuko CUF, anyway kila la kheri lakini Mnyika lazima...
Akizungumza wakati wa kutangaza majina ya wagombea wa nafasi ya ubunge na uwakilishi yaliyopitishwa na Baraza Kuu la Uongozi, Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema pamoja na umakini wa Dk...
Mmhh wapnezi wa chadema na wote wa upinzani naona neema inazidi kurtufungua kupitia uchaguzi wa ccm hivi majuzi kuna kura nyingi za kawe zimekutwa msituni za kugombea ubunge na udiwani ambapo...
MMMhhhh jamani jamni sisiemu hii sio ile kabisa wapendwa najiuliza nyerere alienda zikwa na sisiemu yake
mbona aibu zinazidi kuwatokea puani siku hadi siku ni wapi rais kikwete utakimbilia na aibu...
Ndugu wana JF, nimeona hii picha kwenye mwananchi online, jana pale Tanga mambo yalikuwa yamenoga kweli. Hizi nguo nyekundu na zile sare za chadema naona zinafaa sana kuikomboa nchi yetu toka...
Katika taarifa yao ya saa moja usiku huu, kituo cha Channel Ten kimeonekana kimewafanyia Chadema uharamia kwa kutoa footage ya mkutano wa chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Jangwani...
Presidential Trust Fund(PTF) chini ya Rais Jakaya Kikwete
Huu mfuko umegeuka kuwa wa kisiasa badala ya kufanya kazi za kitendaji. Huu mfuko chini ya Dr Chijoriga, waliokopa wanaandamana...
WAKUU,
Naomba kwenu weledi wa politic hivi CCM itapata athari zozote kutokana na kufuata mfumo wzamani wa kura ya maoni kutoka kwa wananchi??Je kubwagwa kwa wabunge takribani 70 kunamtikisiko...
Taarifa iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kuwa Dokta Slaa ameanza kampeni kabla ya Muda.
Ni kinyume cha sheria maana kila anapopita anaeleza atakayowafanyia Watanzania pindi akichaguliwa...