Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna Makala iliyoandikwa na aliyejiita Charles Kayoka kwenye Gazeti la Nipashe la tarehe 18/08/2010 kuhusu kichwa cha habari kama kilivyo hapo juu. Ukitaka habari zaidi bonyeza hapa. Hata hivyo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kila kitu Kina mwanzo na mwisho wake, kama Msosi unakula kisha unaisha, shibe huisha, watu hufa na duia huendelea mbele wala hairudi nyuma,, nasema hivyo Kwa sababu zifuatazo... Maendeleo yeyote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kama inavyofahamika kwa wengi, Ndugu Hussein Bashe ni kijana wa karibu sana na Rostam Aziz yeye ndio msimamizi wa miradi mikubwa pale Caspian na kwingineko kwa niaba ya RA, izingatiwe pia RA ndiye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, wasambazie watangazaji wa redio zote hii taarifa ili wahudhurie na kuweza kuwa fair wakati wa uchaguzi. Form ya Usajili Tangazo la Workshop yenyewe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa, Rais Jakaya Kikwete amesema hana tatizo na wanachama wa chama hicho wanaohamia vyama vingine,lakini wasijaribu kukihujumu. Kikwete amesisitiza...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
mgombea wa ccm upande wa nzega mimbizi wetu dk kigangwalla ameenda kukana jina lake mahakamani jana ..habari zaidi zinasema dk alienda kukaana baada ya kushauriwa na baadhi ya waanasheria ...je...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf niinajaribu kufikiri suala la katiba ya ichi yetu, nimeshindwa kuelewa vema. Rais anavunja cabinet wakati gani, lini? swali msingi sana kwanini bunge livunjwe afu cabinet ibaki na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kashibdwa kukuza michezo.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jitahidini mle hivyo hivyo, ili mkue, watapita na matarumbeta kuwaomba kura zao Mama endelea kutuchagua, tutawajengea barabara za juu na chini. Tuchagueni tutawajengea makazi na ofisi bora...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naona kijani na njano hapo chini barabarani, Ohio Street. Sijui ndio mafisadi wanatafuta nini!
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwani CUF inafika mbali inaishia DAR tu tena Buguruni haivuki mto Msimbazi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
To: Mrisho Jakaya Kikwete Kijana, Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or you just don't know what you are really doing in State House. But whatever it is, you're leading...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Government warns Mgaya for his defiant remarks By ABDULWAKIL SAIBOKO, 13th August 2010 THE government has warned the Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) Acting Secretary General, Mr...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais nchi inasambaratishwa na udini, chanzo kikiwa ilani ya uchaguzi wa chama chako cha CCM kilichoingiza mambo ya udini katika ilani ya uchaguzi, Mh rais. wewe hauioni hatari hii...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
CCM wajipanga kumzuia Dr Slaa • Waandaa mamluki kumdhamini • Waomba msaada wa vyama vidogo Na Saed Kubenea Mkakati umesukwa na viongozi ndani ya CCM ili kuzima safari ya Dk Wilbrod...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Tangu enzi za Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani, Mrema alitangaza kuwa Kambona hakuwa raia wa Tanzania na kuwa atakamatwa uwanja wa ndege akitokea uhamishoni. Salim Ahmed Salim naye alikuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kikao cha Congress ya Wafanyakazi (TUCTA) kinaendelea, Mgaya uko wapi au umenyamazishwa ?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa waratibu wa kampeni ya Mh. Slaa katika kugombea Urais 2010, Napenda kuwajulisha tu kuwa nina wazo lililonijia katika siku chache zilizopita ambalo nina amini linaweza kusaidia katika kampeni...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Napenda nianze kwa kuwaomba samahani wanawake kwa kauli yangu. Nimefanya uchunguzi na kugundua kuwa umasikini wa nchi hii umetokana na kung'ng'ania CCM. CCM ni chama ambacho kimeshauzwa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…